Relationship Driving School

Relationship Driving School Nawezesha wanawake kudhibiti ndoa kuzuia michepuko kupitia; Kozi 4, Ushauri na Maelekezo.

27/11/2025
27/11/2025

Wanawake Emotions (Hisia) Nyingiii
VS
Wanaume Logic (Mantiki) Nyingiii πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

NI KIJANA WA KIUME, NINA UMRI WA KUOALAKINI MMMMHHH!! πŸ₯ΆπŸ˜–MSHAURI MZOEFU NA MWALIMU:Umekua kijana mkubwa, Sasa uoe ili Mba...
16/10/2025

NI KIJANA WA KIUME, NINA UMRI WA KUOA
LAKINI MMMMHHH!! πŸ₯ΆπŸ˜–

MSHAURI MZOEFU NA MWALIMU:
Umekua kijana mkubwa, Sasa uoe ili Mbaraka wa Bwana Ukukalie kichwani

KIJANA:
Shida wanawake pasua kichwa zama zetu hizi ni hatar Bora zenu.

Mshauri Mahusiano Ufoo K.:
Hata nyie wanaunaume ni pasua kichwa.

Hivyo mnapasuana mabichwa πŸ˜†πŸ˜†

KIJANA:
Daaah na tunapasuana haswa yaaan ni balaaa 🀣🀣🀣

Mshauri Mahusiano Ufoo K.:
Lakini hamna ni nyinyi wenyewe mumeenda mbali na Muumba
Hamjali Neno lake

KIJANA:
Aaah mambo yamebadilika sio kila homa ni malaria.

Saiz mambo ni tofauti sanaaa

Mshauri Mahusiano Ufoo K.:
Mambo yakibadilika
Unapaswa na wewe ubadilike

Kilichowa-cost Israelites kufia Jangwanani ni "Refused to Change their Egyptian mindset to Canaan Mindset"

Achana na "Enzi Zetu sisi wazazi wenu"
"Embrace Enzi Yenu"
Becoz:
Kila Enzi ina Good & evil zake. Kazi yako ni kuishi kwa Imani kuwa;
Warumi 8
28: Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na *wale wampendao* katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.

Hakikisha upo kati ya "Wale Wampendao Bwana Mungu kwa Moyo Wote, Amekuita na upo ktk Kusudi Lake."

KIJANA:
Sure aisee. Uwezi Amin na mchungaji Leo kaongelea kitu k**a hiki k**a mlikuwa wote vile πŸ”₯πŸ”₯
Nmejifunza kitu

Mshauri Mahusiano Ufoo K.:
Bwana Yesu Asifiwe
Roho wa Mungu Anakuita Kumsikia na Kufanya Sawa sawa.

Kumbukumbu la Torati 28
1: Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;

2: na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana, Mungu wako.
NAKUENDELE MPAKA MSITARI WA 15.

Warumi 10
8 Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.

9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.

Waliookoka wengi wanaishi pasipo Imani kwa kuyatamka mabaya yanayoendelea kwenye jamii, yale ambayo ni kinyume na Neno la Jamie,

Kumkiri Bwana Yesu ni pamoja na kukiri Neno lolote la Biblia ili libadilishe hali zilizo kinyume na Ahadi za Mungu.

Isaya 11
3 na furaha yake itakuwa katika kumcha Bwana; wala hatahukumu kwa kuyafuata ayaonayo kwa macho yake, wala hataonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake;

KWA HIYO MUNGU ROHO MTAKATIFU ANATAKA UUNGAME HAYO MAKOSA NA UMUOMBE TOBA (MSAADA TELE WA KUGEUKA ZABURI 46).
AMEN

Mshauri Mzoefu na Mwalimu:
Wasiliana Nasi Chat kwa +255758600428

ARISE, SHINE & GLOW WITH AMASTAR NATURAL COSMETICS
24/09/2025

ARISE, SHINE & GLOW WITH AMASTAR NATURAL COSMETICS

23/09/2025
20/09/2025
03/09/2025

MCHEPUKO AKIWA NYUMBA YA IBADA 😲🀭

Address

Kinondoni
1100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Relationship Driving School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share