19/10/2023
WANAJESHI WA MAREKANI WAJERUHIWA KWA KAROKETI KUTOKA KWA WANA-HARAKATI NCHINI IRAQ
Wana-harakati waliopo nchini Iraq walifanya shambulio la maroketi dhidi ya kambi ya jeshi ya Marekani ya Al-Assad na kusababisha majeruhi kwa wanajeshi hao kambini hapo.