Tafa boy

Tafa boy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tafa boy, Business service, Kinondoni.

05/04/2026
Manenoyake
05/04/2026

Manenoyake

04/04/2026
04/04/2026

Celebrating my 9th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

04/04/2026

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Hollo Ruchanganya, mwenye umri wa miaka 60, ameuawa kikatili kwa kukatwa shingoni na mtu asiyejulikana kisha mwili wake kutupwa katika shamba la mahindi jirani na makazi yake katika kijiji cha Bunambiyu, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.

Mtuhumiwa wa mauaji hayo anatajwa kuwa mgeni ambaye bado hajafahamika aliyefika nyumbani kwa marehemu majira ya saa 3:00 usiku wa Aprili 3, 2026 na kula pamoja na marehemu chakula sambamba na wajukuu wa marehemu kabla ya marehemu kumsindikiza mtu huyo kwa ajili ya kumpeleka kwa mtalaamu wa tambiko la kuzuia kutapata watoto pacha.

Hata hivyo inaelezwa kuwa muda mchache baada ya wawili hao kutoka mieni alirejea nyumbani hapo na kurejesha tochi kisha kuwataarifu wajukuu wa marehemu kuwa ‘bibi huyo atarejea asubuhi kutoka kwa mganga ambaye ni mama yake mdogo’.

Taarifa iliyotolewa anaeleza kuwa mwili wa marehemu uligundulika baada ya mjukuu wa marehemu aliyekuwa akielekea shambani asubuhi kubaini uwepo wa damu nyingi na nguo za marehemu kisha kuwafahamisha ndugu wa marehemu ambao baada ya kufuatilia waliukuta mwili wa marehemu ukiwa umetupwa shambani ukiwa umekatwa mapanga shingoni.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP Janeth Magomi, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa uchunguzi wa awali inaonesha kuwa chanzo cha mauaji hayo ni imani za kishirikina na tayari watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Taarifa ya Kasisi Kosta.

Mhariri

Yanin upategalama kubwa ya kununu liswa compressor mpya wakati ina tengenezeka tucheki kwa no 0712905066+ 0684745787 Kwa...
11/10/2020

Yanin upategalama kubwa ya kununu liswa compressor mpya wakati ina tengenezeka tucheki kwa no 0712905066+ 0684745787 Kwa wazi wa ruaha tupo kabu nanyi na stendi ya mbuzi kwa walio mbali tucheki kupitia namba iyo popo ulipo unapatiwa uduma iyo kwa usalama zaid

Address

Kinondoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tafa boy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share