Jesca Mwakyulu

Jesca Mwakyulu Tunatoa ushauri wa matunzo ya ngozi na bidhaa

Ni kitu gani hufanya Novage+ Skincare sets kuwa antiaging bora sokoni?Jibu ni : SERUMSSERUM hizi zimetegengezwa kufaa ai...
06/08/2024

Ni kitu gani hufanya Novage+ Skincare sets kuwa antiaging bora sokoni?

Jibu ni : SERUMS
SERUM hizi zimetegengezwa kufaa aina zote za ngozi hata sensitive skin na pia kwa ajili ya makundi yote ya ngozi.

-Serum hizi ni laini hivo kiasi kidogo tu kinatosha kutumia uso mzima

-Serum hizi ni nyepesi hivo hupenya kwa haraka kwenye ngozi.

Zipo aina 4: zikikava changamoto zote za premature aging.

Lift and Firm Serum

Wrinkle Smooth serum

Bright intense serum

Blemish and age defy serum

Karibu kwenye punguzo la bei la hadi 50%
19/11/2022

Karibu kwenye punguzo la bei la hadi 50%

17/10/2022

Ngozi yako itapendeza k**a utazingatia hatua za utunzaji wa ngozi na kuhakikisha unatumia bidhaa salama zisizo na kemikali kali.

Hii ni wiki ya huduma kwa wateja nasj tunapenda kuwazadia wateja wetu kwa phnguzo la bei kwa bidhaa pendwa.Karibu!
04/10/2022

Hii ni wiki ya huduma kwa wateja nasj tunapenda kuwazadia wateja wetu kwa phnguzo la bei kwa bidhaa pendwa.

Karibu!

Ngozi ya mafuta hupata chunusi kwasababu mafuta machafu huziba pores za ngozi na baada ya muda hutengeneza bacteria..Una...
03/10/2022

Ngozi ya mafuta hupata chunusi kwasababu mafuta machafu huziba pores za ngozi na baada ya muda hutengeneza bacteria..

Unahitaji bidhaa ambayo:

🌸Bidhaa itakayoweza kupenya kwenye pires na kuondoa mafuta machafu

🌸Bidhaa ambayo ina sooth ngozi yako ili isiwe inawasha (hapa tea tree inafanya kazi hiyo)

🌸Unahitaji bidhaa ambayo unathibiti bacteria(anti bacteria)

🌸Muhimu zaidi unahitaji sunscreen ili kuzuia mionzi ya jua isipenye ndani ya ngozi yako.

Milk and honey products.For so many years this combo has been one of the best sellers.Hii bidhaa imependwa sana kwa miak...
27/09/2022

Milk and honey products.
For so many years this combo has been one of the best sellers.

Hii bidhaa imependwa sana kwa miaka mingi sana ikiwa na ubora ule ule.

K**a umewahi kutumia bidhaa hebu niambie kwenye comment hasa unachoipendea.

Mimi nikianza napenda harufu yake tulivu 🌸👌

Wengi wamekua wakijiuliza watapata wapi tena bidhaa za Oriflame na wapo ambao wanajiuliza k**a je wanaweza bado kuwa maw...
23/09/2022

Wengi wamekua wakijiuliza watapata wapi tena bidhaa za Oriflame na wapo ambao wanajiuliza k**a je wanaweza bado kuwa mawakala wa bidhaa hizi.
Majibu kwa maswali yote mawili ni ndio unaweza.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi

Ngozi inapitia changamoto mbalimbali na tunahangaika katika kutafuta vipodozi ni je vipi tutumie ili ngozi zetu ziwe nzu...
16/09/2022

Ngozi inapitia changamoto mbalimbali na tunahangaika katika kutafuta vipodozi ni je vipi tutumie ili ngozi zetu ziwe nzuri.

Kwa miaka kadhaa kampuni ya Oriflame imekua ikitengeneza bidhaa za asilia na za kuaminika kwa kila aina na tatizo la ngozi.

Karibu upate ushauri.

Novage Ecollagen Wrinkle Power.  😍
16/02/2022

Novage Ecollagen Wrinkle Power.
😍

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesca Mwakyulu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jesca Mwakyulu:

Share