29/08/2026
📢 TUNATAFUTA MADEREVA WA MALORI – NAFASI 100
Tunatafuta madereva wenye uzoefu kujiunga na timu yetu kwa ajili ya safari za Congo.
VIGEZO
✔ Angalau miaka 3 ya uzoefu katika uendeshaji wa malori (HOWO)
✔ Uzoefu wa kuendesha malori kwenye safari ndefu
✔ Leseni halali ya udereva, Class E, pamoja na cheti cha udereva
✔ Kuwa na Passport kubwa au kuwa katika mchakato wa kuipata
✔ Kuwa na GCLA Certificate
MALIPO NA MANUFAA
✔ Jumla ya malipo hadi TZS 2,700,000/=
📧 Tuma CV yako kupitia:
[email protected]
Cc: [email protected]
📞 Kwa mawasiliano zaidi, piga simu au WhatsApp:
0790 000 648 / +255 761 555 687
⏳ Mwisho wa Kutuma Maombi: 12 Septemba 2026