FURSA

FURSA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FURSA, Business Supply Service, Mafinga.

09/04/2026

Hauna haja ya kubadilisha viti vya dining, Niko nà shampoo nzuri ambayo Inasafisha viti kwa urahisi kabisa kwa kutumia povu tu.

Uzur shampoo hii Inasafisha vitu vingi ikiwemo

👉Sofa
👉Zulia
👉Vioo
👉Cover za godoro
👉Seat cover za gari.

Karibu popote ulipo huduma inakufikia

0699523699

09/04/2026

Rudisha mwonekano mzuri wa sofa zako kwa kutumia sofa shampoo kutoka Sarah cleaning.

Uzur ni kwamba kwa kutumia povu tu unaweza kurudisha mng'ao mzuri wa sofa zako zikiwa ndani hapo hapo bila kuzitoa nje.

Wasiliana nami upate sofa shampoo, pia utapata maelekezo zaidi jinsi ya kusafisha sofa zako.

0699522699

Boss wangu sink lako Lina Hali gani?Sarah cleaning services tuko na suluhisho kwa Masink ambayo yana uchafu sugu , Niko ...
31/03/2026

Boss wangu sink lako Lina Hali gani?

Sarah cleaning services tuko na suluhisho kwa Masink ambayo yana uchafu sugu , Niko na super 10 ambayo Inasafisha sink kwa urahisi kabisa na kurudisha mng'ao wa sink lako ndani ya muda mfupi kabisa.

Lakini pia super 10 Inasafisha vitu vingi ikiwemo

▶️ Masink
▶️ Tiles
▶️ Majiko
▶️Ukuta uliochafuliwa na watoto au mafuta
▶️Friji
▶️ Ovener
▶️ Microwave
▶️Ni air flesh nzuri sana ukitumia kusafishia nyumba yako

▶️ Inaua wadudu wadogo wadogo k**a sisimizi, mende, na kunguni

Wasiliana nami upate bidhaa hii na maelekezo zaidi

0699522699

17/03/2026

Bosi wangu hauna haja ya kubadilisha sofa zako tumia sofa shampoo kusafisha sofa zako zitarudi kuwa na mwonekano mzuri kabisa kwa kutumia povu tu.

Uzur ni kwamba utapata shampoo na maelekezo zaidi jinsi ya kusafisha sofa zako zikiwa ndani hapo hapo bila kuzitoa nje.

Popote ulipo huduma inakufikia
0699522699

03/03/2026
19/02/2026

Boss wangu hauna haja ya kubadilisha sofa au kitambaa Cha sofa zako, sarah cleaning services tuko na sofa shampoo nzuri ambayo Inasafisha sofa kwa urahisi kabisa kwa kutumia povu tu na sofa zako zitarudi kuwa nzuri kabisa.

Wasiliana nami uweze kupata sofa shampoo

0699522699

06/02/2026

K**a unapenda usafi hii super 10 sio ya kukosa nyumbani kwako, ni bidhaa Bora ambayo inarahisisha usafi wa nyumba na kutoka gharama Inasafisha vitu vingi ikiwemo

👉 Masink
👉 Tiles
👉 Majiko
👉 Ukuta wa rangi ya mafuta
👉 Friji
👉Pasi za umeme
👉Ni air flesh nzuri sana ukitumia kusafishia nyumba yako

👉Inaua wadudu wadogo wadogo k**a sisimizi, mende, na kunguni.

Popote ulipo bidhaa hii inakufikia
0699522699

26/01/2026

Sarah cleaning services tuko bidhaa Bora ambayo inarahisisha usafi wa nyumba yako kwa urahisi kabisa.

Uzur ni kwamba Tuko na super 10 ambayo Inasafisha vitu vingi ikiwemo

👉 Tiles
👉 Masink aina zote
👉 Majiko
👉Pasi za umeme
👉 Ovener
👉 Microwave
👉 Ukuta wa rangi ya mafuta
👉Inaua wadudu wadogo wadogo k**a sisimizi, mende na kunguni.

Rahisisha usafi wa nyumba yako na super 10

0699522699

26/01/2026

Sarah cleaning services tuko na bidhaa Bora ya super 10 ambayo inarahisisha usafi wa nyumba yako kwa urahisi kabisa.

Super 10 Inasafisha

👉 Tiles
👉 Masink aina zote
👉 Ukuta wa rangi ya mafuta
👉 Majiko
👉 Friji
👉Ovener
👉 Microwave
👉Inaharufu nzuri sana

Popote ulipo huduma inakufikia

0699522699

24/01/2026

Bosi wangu seat cover za gari zinasafishwa kwa urahisi kabisa zikiwa ndani hapo kwa kutumia shampoo nzuri ya carpet glow yaani unatumia povu tu na zinatakata.

Nirahisi kabisa wasiliana nami upate shampoo hii pia utapata maelekezo zaidi jinsi ya kusafisha.

18/01/2026

Usibadilishe kitambaa Cha sofa zako tumia sofa shampoo kusafisha sofa zako zitarudi kuwa na mwonekano mzuri wa zamani.

17/01/2026

Ivi unajua kwa kutumia povu tu sofa zako zitarudi kuwa na mwonekano mzuri wa zamani.

Tuko na sofa shampoo nzuri ambayo Inasafisha sofa zako zikiwa ndani hapo hapo bila kuzitoa nje.

Wasiliana nami upate shampoo hii
0699522699

Address

Mafinga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FURSA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share