28/10/2026
Tunatafuta kijana mchapa kazi na mwenye malengo
Sifa:
✅ Umri: Miaka 18 - 27
✅ Awe tayari kujifunza na kufundishika
✅ Awe tayari kutafuta masoko / wateja
✅ Awe mchangamfu, muongeaji na mwenye nidhamu
✅ Elimu sio kigezo kikubwa, juhudi ndio kigezo!
Tunachotoa:
• Mafunzo ya bure ya marketing & mauzo
• Mazingira mazuri ya kujifunza na kukuza kipaji
• Malipo mazuri kulingana na juhudi
Mawasiliano:
Tuma jina lako, umri, na sehemu unayoishi WhatsApp kwenda: 0758862128