28/03/2026
MUHIMU 🔥🔥🔥
Tangazo kutoka kwa msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO).
"Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya Sheria za Tanzania ya mwaka 2023, ikisomwa pamoja na jedwali la pili la Kanuni za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Tangazo la Serikali Na 152 ya mwaka 2004, unapaswa kuwasilisha Taarifa za Kazi za Mwaka, Taarifa za fedha zilizokaguliwa za Mwaka, Kulipa Ada za Mwaka TShs. 50,000/= au Dola 100 kwa Mashirika ya Kimataifa.
Adhabu itatolewa kwa kuchelewa kuwasilisha. Lipa bili yako na uwasilishe Taarifa yako ya Mwaka kabla au ifikapo tarehe 15 Aprili mwaka huu."
Karibu RTJ Consultancy kwa huduma za usajili wa NGO, kufunga hesabu za shirika lako ili kuziwasilisha kwa mkaguzi, kuwasilisha Ritani za TRA kila mwezi na mwaka (PAYE, SDL & CORPORATE TAX) Pamoja na kuwasilisha ripoti za utendaji za kila robo na za mwaka.
Wasiliana nasi kupata ushauri juu ya uendeshaji wa NGO.
0752825904
[email protected]
(Competence, Confidentiality & Integrity)