12/11/2025
MWANAMKE UNAHITAJI CONNECTION.Hii sio yakukosa, Jumapil ya tar 16/11 Usibaki nyumbani,Wanawake wa Shoka watakuwepo kuzungumza na kukupa support wewe mwanamke Unayetamani kubadili maisha yako. inawezekana una ndoto lakini hujui uanzie wapi, 2025 ni mwaka wetu π₯π₯π₯π₯ Program yetu Inalenga kugusa maisha ya wanawake wa kawaida kabisa, kuisha maisha ya ndoto zao. Haijalishi wewe ni mwajiriwa,
mama wa nyumban,
mwanafunzi wa chuo,
muhitimu wa chuo,
mfanyabiashara au mwajiriwa,
Haijalishi umeshindwa mara ngapi, JUMAPIL HII YA TAR 16\11 USIPANGE KUKOSA, JUKUMU LETU NI KUHAKIKISHA UNAPIGA HATUA KIUCHUMI, EVENT YETU ITAFANYIKA DAR ES SALAAM UKUMBI NI MWENGE COMPLEX MUDA NI SAA SABA MCHANA,TICKETS NI BURE KABISA LAKINI ZIPO CHACHE Watsap NENO TICKET KWENDA 0789400175 Upate Ticket yako bure.