πŠπˆπ“π”ππ†π”π” π’π€π”πŒπ” π…π€π‘πŒ

  • Home
  • Tanzania
  • Mbulu
  • πŠπˆπ“π”ππ†π”π” π’π€π”πŒπ” π…π€π‘πŒ

πŠπˆπ“π”ππ†π”π” π’π€π”πŒπ” π…π€π‘πŒ Mkulima bora wa Kitunguu Saumu Tanzania

Nauza Kitunguu Saumu Kwa Jumla

Mbegu za Kitunguu saumu pia zinapatikana

WhatsApp: 0682658925

Wakulima wa Kitunguu Saumu na Maji

Pia tunauza Mbegu za Kitunguu saumu, na Kitunguu Maji pia

Tunapatikana Iringa na Manyara

Bado siku 30 tu, hizi mbegu kukomaa Wale Wakulima wanaopenda kutumia mbegu za Kienyeji, October weka oda yako itakufikia...
01/09/2026

Bado siku 30 tu, hizi mbegu kukomaa

Wale Wakulima wanaopenda kutumia mbegu za Kienyeji, October weka oda yako itakufikia popote ulipo Tanzania

u

Mambo muhimu ya kuzingatia Kwa wewe Mkulima unayetaka kuwekeza kwenye Kilimo
28/08/2026

Mambo muhimu ya kuzingatia Kwa wewe Mkulima unayetaka kuwekeza kwenye Kilimo

Kazi ya kulisha jamii ni wito haswa, imagine bei za Mazao hazitabiriki kabisa Cha ajabu bei ya chini inadumu muda mrefu ...
20/08/2026

Kazi ya kulisha jamii ni wito haswa, imagine bei za Mazao hazitabiriki kabisa

Cha ajabu bei ya chini inadumu muda mrefu Sokoni kuliko bei kubwa 😁

Wakati mwingine unarudisha mtaji au unakata mtaji kabisa

Sijui nilime mahindi msimu ujao, ila Kwa hii bei ya 300 Kwa kg 😀

Kitunguu maji bei imeanza kuamka, hasa grade one Sokoni Kwa sasa Kitunguu maji yenye ukubwa mzuri inaisha haraka Kitungu...
16/08/2026

Kitunguu maji bei imeanza kuamka, hasa grade one

Sokoni Kwa sasa Kitunguu maji yenye ukubwa mzuri inaisha haraka

Kitunguu kingi ni size ya kati,hivyo uhitaji wake mkubwa Kwa sasa

It's farmers day🎊🎊Leo ni sikukuu ya Wakulima, Tujipongeze Kwa kazi nzuri ya kulisha jamii πŸ‘πŸ‘Mwakani Mimi niwe na Banda n...
08/08/2026

It's farmers day🎊🎊

Leo ni sikukuu ya Wakulima, Tujipongeze Kwa kazi nzuri ya kulisha jamii πŸ‘πŸ‘

Mwakani Mimi niwe na Banda nanenane utakuja kujifunza ?🀷

Nikupe Nondo za Kilimo Cha Kitunguu saumu, 😁

Hizi ni bei za Kitunguu saumu shambani

Gunia 100kgs = 350,0000/

Kitunguu maji 100kgs = 60,000/

Dodoma wewe unaona Ukame? Unajidanganya 😁Dodoma ni pazuri sana Kwa Kilimo Cha Nafaka hadi Mboga Mboga Mazao yao yote ni ...
04/08/2026

Dodoma wewe unaona Ukame? Unajidanganya 😁

Dodoma ni pazuri sana Kwa Kilimo Cha Nafaka hadi Mboga Mboga

Mazao yao yote ni top quality kwenye soko

Mchawi maji tu 🀦

Bado hujakutana na bei ya fuel β›½, Mbolea Alafu Sokoni hakueleweki kabisa 🀦 Kazi ya Kilimo ni wito muda mwingine Maana ha...
01/08/2026

Bado hujakutana na bei ya fuel β›½, Mbolea

Alafu Sokoni hakueleweki kabisa 🀦

Kazi ya Kilimo ni wito muda mwingine

Maana hatuna Monopoly kwenye bei bidhaa zetu

Leo una ratiba ya kuja Sokoni kufuata mahitaji ya Jikoni kwako?Basi Pitia kwenye Meza zetu za ILALA na MABIBO ujipatie K...
31/07/2026

Leo una ratiba ya kuja Sokoni kufuata mahitaji ya Jikoni kwako?

Basi Pitia kwenye Meza zetu za ILALA na MABIBO ujipatie Kitunguu maji & Saumu

Kitunguu maji:

Reja reja: kg 1 = 1500

Gunia = 120,000

Kitunguu saumu

Reja reja robo kilo = Tsh 1300

ILALA Sokoni = 0613 443 650

Mabibo sokoni = 0764 544 037

Kilimo kinataka uvumilivu sanaHata ujipange vipi unaweza ukakutana na bahati mbaya ukachezea vitasa πŸ₯ŠHata na hivyo Uwe n...
29/07/2026

Kilimo kinataka uvumilivu sana

Hata ujipange vipi unaweza ukakutana na bahati mbaya ukachezea vitasa πŸ₯Š

Hata na hivyo Uwe na roho ngumu wa kubaki kwenye game

Scouting...Acha nikague Kitunguu saumu maana Kitunguu maji inatoa kwenye mchezo 🀦Late August mzigo utakuwa tayari, Kitun...
28/07/2026

Scouting...

Acha nikague Kitunguu saumu maana Kitunguu maji inatoa kwenye mchezo 🀦

Late August mzigo utakuwa tayari,

Kitunguu saumu inakomaa baada ya miezi minne

Address

Mbulu
4

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Friday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255682658925

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when πŠπˆπ“π”ππ†π”π” π’π€π”πŒπ” π…π€π‘πŒ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to πŠπˆπ“π”ππ†π”π” π’π€π”πŒπ” π…π€π‘πŒ:

Shortcuts

Share