Young Minja

Young Minja Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Young Minja, Business Center, Mkuranga.

01/10/2025
01/10/2025
Timu yetu ya taifa ikienda afcon huwa inatuacha hoi huyu mwamba mwaka 2019 kule misiri alitukanwa kwa kutufunga
22/01/2024

Timu yetu ya taifa ikienda afcon huwa inatuacha hoi huyu mwamba mwaka 2019 kule misiri alitukanwa kwa kutufunga

06/02/2019

Muke mboa

10/12/2018
06/06/2018

Ipo haja kubwa sana ya vijana wanaotoka ugweno na wenye asili ya ugweno kufahamiana kwa namna moja au nyingine

Kwasababu tubavyo fahamiana tutashauriana na kusaidiana ili tuweze kufanya maisha na kufanikiwa kwapamojaa.
Ingependeza kila unayebahatka kuwa mwanachama humu ushare ujumbe huu ili uweze kuonekana na wagweno wengine na kujumuika nasi kwa pamoja na kupata mawazo ya wengi coz waswahili wanasema kwenye wengi kuna mengi..

30/04/2018

karibuni ktk ukurasa wetu wa ugweno huu utakuwa na dhamira ya kuwaweka vijana wa nyumbani pamoja kushauriana kuinuana kiuchumi kimawazo na kifrikra pia.

pia tutakuwa tukifunzana lugha yetu ya kigweno kwa mapana na mapana zaidi pia tutakumbushana mila zetu ili tuweze kwenda na maadili ya kikwetu popote tulpo duniani tamaduni nazo hatutaziacha nyuma ...

tutakuwa tukisaidiana ktk shida zote za maradhi misiba nk kwa yule atakayekuwa tiari pia hata raha hususani mambo ya sherehe pia tutakuwa pamoja
matukio ya nyumbani utayapata humu humu kwanjia ya photo vidio au maelezo ili kukufanya kuwa karibu na jamii yetu ya kigweno kwa ujumla
mwisho kabisa nipende kukuomba pindi unapojiunga na ukurasa huu mjulishe na mgeweno mwwnzio
asanteni sanaaaa
na munakaribishwa kwa wingi

Address

Mkuranga

Telephone

+255658300300

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Young Minja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share