Wigo pu

Wigo pu We can

Our cature
07/03/2021

Our cature

Tabia yako inatokana na unacho kiwaza na unacho kihisi
23/11/2020

Tabia yako inatokana na unacho kiwaza na unacho kihisi

12/11/2020

Fahamu kuusu akili ya mwanao wa kiume 🙇🙇
Mtoto wa kiume uwezo wake wakufikilia yani akili đź‘€ kwa 100% analisi kutoka kwa mama yake
Hii ni kwasababuu zifuatazo
đź’ĄMtoto wa kiume ana XY
đź’Ąkwa 100% X inatoka kwa mama na Y kwa baba kuunda XY
đź’ĄSasa chromosome X pekee ndio yenye uwezo wa kubebaa intelligent gene ambazo ndio akili zenyewe
đź’˘Kwaiyo kuchagua mama mwenye akili ndio sababu ya kupata mtoto wa kiume mwenye akiliđź’Ś
đź’¤Kwa upande wa mtoto wa k**e ni 50% kwa 50% kulisi akili kutoka kwa baba au mama kwakuwa yeye anachukua X kutoka kote

Unaweza kujua fikra za mtu kwa kusikiliza maneno yake @ na pia  faham moyo wake kwa matendo yake@
16/10/2020

Unaweza kujua fikra za mtu kwa kusikiliza maneno yake @ na pia faham moyo wake kwa matendo yake@

Makuzi ya mtoto uwanza tangu akiwa tumboni
03/10/2020

Makuzi ya mtoto uwanza tangu akiwa tumboni

Mama Kuacha vilevi , msongo wa mawazo na kufuta lishe bola na tiba kipindi cha ujauzito wake ndio sababu ya Mimi kuwa Bora kiafya ya mwili na akili. Mama dada penda afya ya mwanao.by psychologist kayela

JINSI KUDUMISHA MAHUSIHANO.  Watu wengi wamekuwa mahusihano yao hayadumu au hayafiki mbali kwa sababu mbali mbali moja y...
04/07/2020

JINSI KUDUMISHA MAHUSIHANO. Watu wengi wamekuwa mahusihano yao hayadumu au hayafiki mbali kwa sababu mbali mbali moja ya sababu hizo ni

1.perfectionism, Hilo ni neno la kitahalamu lenye mahana yani mtu anakuwa yeye pekee ndio anaye paswa kusikilizwa ukiwa ivyo ndugu mahusiano yako yatayumba.
2.kutojali ,apo uta usisha kujali kwa mawazo yake na kujali kwa kumpa mda wako usipo fanya ivyo mahusihano lazima yatayumba.
3.kuthamini , usipo thamini huto thaminiwa kuwa makini.
""""”kesho tutaangalia matendo ya kawaida yanayo saidia KUDUMISHA mahusihano.

Ety nini wigo pu come back, etiiii kwanini mahusiano yanavunjikaaa wigo pu come with answer
04/07/2020

Ety nini wigo pu come back, etiiii kwanini mahusiano yanavunjikaaa wigo pu come with answer

21/02/2020

Napenda kuwapa kilefu cha "Wigo pu" (""widely goal to psych up.") Lenye maana ya malengo mapana ya kuweka fikra zetu kisaikolojia sawa.

21/02/2020

Ndugu na jamaa mliopenda ukulasa wetu tuna washukuru na tunapenda mwendelehe kufutilia machapisho yatayo anza kuchapishwa,. vile vile mwalike jamaa na ndugu yako kupenda Wigo pu.

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wigo pu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share