Nkurua & Sons Farming Co. LTD

Nkurua & Sons Farming Co. LTD Ushauri Na Mafunzo Ya Kilimo Hifadhi.

Mafunzo ya kilimo kwa vitendo
19/01/2023

Mafunzo ya kilimo kwa vitendo

Pamoja na changamoto lakini tunawatembelea wakulima wetu ili kuwatia moyo...
16/12/2022

Pamoja na changamoto lakini tunawatembelea wakulima wetu ili kuwatia moyo...

Hatua kwa hatua
16/12/2022

Hatua kwa hatua

Walisubiri wakulima wetu wa Mpanda, na sasa wameona faida ya   Kichaa
16/09/2022

Walisubiri wakulima wetu wa Mpanda, na sasa wameona faida ya Kichaa

Mkulima popote ulipo una nafasi ya kufanya kazi na sisi. Huu ni ushuhuda tu kwa wadau mbalimbali nchini.Utoaji elimu, us...
04/05/2022

Mkulima popote ulipo una nafasi ya kufanya kazi na sisi. Huu ni ushuhuda tu kwa wadau mbalimbali nchini.

Utoaji elimu, usimamizi wa mradi hadi mavuno na uwezeshaji wa wakulima wa vikundi hata mmoja mmoja pia hizo ni kazi zetu sisi.
Karibu

Ni mrejesho wa kazi nzuri ya uhakika kutoka sehemu mbalimbali kwa wateja wetu.Karibu kwa kilimo cha uhakika cha mkataba ...
11/04/2022

Ni mrejesho wa kazi nzuri ya uhakika kutoka sehemu mbalimbali kwa wateja wetu.
Karibu kwa kilimo cha uhakika cha mkataba wa zao hili la pilipili kichaa.

Ni uwekezaji wenye gharama nafuu, Karibuni.
17/03/2022

Ni uwekezaji wenye gharama nafuu, Karibuni.

Kulia ni mgurugenzi wa NKURUA &  SONS FARMING Co LTD akikabidhi mbolea isiyo na sumu (Organic) kwa taasisi ya magereza S...
03/03/2022

Kulia ni mgurugenzi wa NKURUA & SONS FARMING Co LTD akikabidhi mbolea isiyo na sumu (Organic) kwa taasisi ya magereza Singida ili kuwezesha mradi wa pilipili kichaa awamu ya kwanza (Phase 1) ikiwa ni sehemu ya kuweza kupata zao bora zaidi lisilo tumia sumu (Organic).
Kampuni inakopesha mbegu na mbolea kwa taasisi na vikundi kwa 80% kwa makampuni na mtu mmoja mmoja tuwapa punguzo la la 30% na madeni yote kulipwa kipindi cha mavuno.
Karibu kufanya kazi nasi soko la zao ni la uhakika kwani kampuni itanunua zao hilo.

+255 62 484 1884 whatsApp
+255 65 844 8832 📞

FURSA ipo wazi, ungana nasi tutakuonyesha. ...........Farming Our Future.
31/01/2022

FURSA ipo wazi, ungana nasi tutakuonyesha.
...........Farming Our Future.

Kampuni itafanya yafuatayo:🎄Mkulima atalima hili kwa mkataba utakao idhinisha ununuzi wa zao hilo wakati wa mavuno. 🎄Uka...
25/12/2021

Kampuni itafanya yafuatayo:

🎄Mkulima atalima hili kwa mkataba utakao idhinisha ununuzi wa zao hilo wakati wa mavuno.

🎄Ukaguzi wa shamba na miundo mbinu k**a maji n.k.

🎄Kutoa ushauri wa mbolea na dawa kwa ajili ya kukinga mazao yakiwa shambani ili kupata mavuno sahihi.

🎄 Ununuzi wa zao hilo hapo hapo shambani na gharama za usafirishaji ni juu yetu (Kampuni).

NB: kwa waliopo kwenye vikundi watapata mkopo wa mbegu na mbolea iwapo watakidhi vigezo.

Nkurua and Sons Farming Co. LTD inawatakiwa heri ya Christmas na mwaka mpya wote.
Ahsante

24/12/2021
Anza kilimo na mvua za msimu
17/12/2021

Anza kilimo na mvua za msimu

Address

Mvomero
Morogoro

Telephone

+255658448832

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nkurua & Sons Farming Co. LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nkurua & Sons Farming Co. LTD:

Share