Afya Yako ni utajiri wako

Afya Yako ni utajiri wako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Yako ni utajiri wako, Business service, Morogoro.

Karibu tukuhudumie Afya ni muhimu

Tahadhari usile dawa k**a chakula ila kula chakula k**a Dawa

Karibu kwenye Afya ya Virutubisho Rishe vyenye ubora wa Kimataifa

18/03/2022

JITAHIDI SANA KUJALI AFYA YAKO IPE KIPAUMBELE KULIKO KITU KINGINE UTAISHI KWA FURAHA.

SOMO LA LEO:  UMUHIMU WA MATUMIZI YA MAFUTA YA SAMAKI KIAFYA.Kumekuwa na taarifa mbali mbali juu ya umahili na ufamisi m...
18/08/2020

SOMO LA LEO: UMUHIMU WA MATUMIZI YA MAFUTA YA SAMAKI KIAFYA.

Kumekuwa na taarifa mbali mbali juu ya umahili na ufamisi makazini kwa watu watokao nyanda za maziwa makuu kutokana na ujali wa samaki kwa kiwango kikubwa sana na hii hutokana na faida zifuatazo:

1. Mafuta ya samaki huboresha mwonekano wa ngozi ya mtumiaji kwani inakiwango kikubwa sana cha madini ya Collagen.

2. Hupunguza uzito kwa mtumiaji, kwani Omega 3 hupambana na mafuta mabaya (bado cholestrol)

3.Huboresha ufanisi wa ufikiri kwa kuwepo kwa DHA (Brain stimulus).

4. Hutibu na kuondoa Magonjwa ya Moyo. kwa kusafisha mishipa ipitamo damu na kusababisha damu kutiririka kwa utartibu mzuri.

5. Humfanya mtoto kuwa mkini kwa kila jambo alifanyalo kwa kuwepo kwa ADD na ADHD.

6. Huboresha na kuimarisha kinga ya mwili kwa kuwepo kwa Omega3.

7. Husaidia kuleta stamina kwa wanamichezo.

8 Huboresha afya ya viungo (Joint)

9. Huondoa maumivu ya misuli kwa haraka sana baada ya mazoezi makali sana.

10. Huondoa na kupunguza msongo wa mawazo pmoja na madhara yake.

11. Hutibu na kupunguza pressure ya macho.

12. Huondoa uwezekano wa kuwa na nywele zenye mvi kwa kwepo kwa Vitamin A na D

13. Hukuza na kuongeza kimo cha maziwa ya mama bila madhara.

14. Hutumiwa na mama mjamzito ili kumjenga mtoto ubongo vizuri na kulainisha nyonga hivyo husababisha mama kuepuka upasuji wakati wa kujifungua. Hapa nina ushuhuda wa mke wangu aliyejifungua mapacha lkn aliambiwa mtoto mmoja hajakaa sawa lkn siku ya mwisho alijifungua bila operation.

15. Huondoa Vimbe za aina zote mwilini.

16.hutibu watu wenye stroke kwa kusafisha mishipa na kuepusha madhara ya msongo wa mawazo.

HIZO NI FAIDA ZA MATUMIZI YA MAFUTA YA SAMAKI, K**A UMEGUSWA KARIBU SANA KWA MASWALI NA MAJIBU PAMOJA NA HUDUMA.

kwa mawasilino zaidi piga +255747295942

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje y...
03/08/2020

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.

CHANZO CHA TATIZO

chanzo halisi cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni

👉KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE.

👉KUHARISHA KWA MUDA MREFU.

👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO.

👉MATATIZO YA UMRI.

👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU.

👉UZITO KUPITA KIASI.

👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU.

DALILI ZA BAWASIRI:

👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali.

Kwa Usahauri na Tiba Piga +255747295942

Au

Gusa hii link kuja kwenye group la whatssap kwaajiri ya mafunzo Zaidi.
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://chat.whatsapp.com/JMKFok5cLRP70LQBivNa2v

*FAIDA ZA LIVEN ALKALINE COFFEE  KWENYE TENDO LA NDOA*👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👩‍❤️‍👨Husaidia kuupa mwili nguvu,Hamu, na stamina wa...
03/08/2020

*FAIDA ZA LIVEN ALKALINE COFFEE KWENYE TENDO LA NDOA*
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

👩‍❤️‍👨Husaidia kuupa mwili nguvu,Hamu, na stamina wakati wa tendo la Ndoa.

👩‍❤️‍👨Huimarisha misuli ya Uume uliolegea kutokana na kujichua(Punyeto).

👩‍❤️‍👨Husaidia kwa wenye tatizo la kuwahi kufika kileleni.

👩‍❤️‍👨Husaidia kubalance hormones kwa wenye tatizo la Hormones imbalance.

👩‍❤️‍👨Husaidia kutoa mbegu zenye afya na zenye uwezo wa kuogelea na kulifikia yai kiurahisi.

👩‍❤️‍👨Husaidia kuzibua uchafu kwenye mirija ya uzazi, hivyo kuepusha kuasithirika kwa tezi dume
👩‍❤️‍👨Husaidia kupunguza msongo wa mawazo.

🤔Huondoa Sumu mwilini,Kutibu na Kukinga magonjwa mbalimbali.

NB: Hii ni bidhaa ilyothibitishwa na Mashirika na Taasisi za Afya za Kimataita kwa watumiaji.
Kwa Ushauri na Namna ya kupata bidhaa hii piga
+255747295942

Au Gusa link iliyopo chini kuingia kwenye Group la Mafunzo ya Afya ya Kila siku.
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
https://chat.whatsapp.com/JMKFok5cLRP70LQBivNa2v

UGONJWA WA HOMA YA              INIHOMA YA INI ni UGONJWA unaoambukizwa kwa njia ya VIRUSI ambavyo vikishaingia MWILINI ...
31/07/2020

UGONJWA WA HOMA YA
INI

HOMA YA INI

ni UGONJWA unaoambukizwa kwa njia ya VIRUSI ambavyo vikishaingia MWILINI hushambulia INI kabla ya kugeuka kuwa MARADHI SUGU.VIRUSI ivyo vinaitwa HBV - HEPATITIS B VIRUSES.

VIRUSI hivi husambazwa kwa njia ya DAMU au MAJIMAJI mengine ya MWILINI mfano MATE au JASHO.

UGONJWA huu k**a haujatibiwa hutengeneza UVIMBE katika INI na kusababisha KANSA ya INI na baadaye KIFO.

JINSI UNAVYOAMBUKIZWA.
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Katika maeneo hatari zaidi DUNIANI,virusi vya HEPATITIS B ( HBV ) kwa kawaida husambazwa kutoka kwa MAMA kwenda kwa MTOTO wakati wa kuzaliwa au kutoka kwa MTU mmoja hadi mwingine hususani nyakati za UTOTONI.

K**a ilivyo kwa UKIMWI virusi vya HOMA ya INI navyo huambukizwa kwa njia ya KUJAMIIANA ,MATE,JASHO, na mwingiliano wowote wa DAMU.

NJIA KUU
ZAMAAMBUKIZI
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
👉🏾 Kujamiiana bila kinga.
👉🏾Kunyonyana NDIMI ( Denda )
👉🏾MAMA mwenye Ugonjwa kumwambikiza MTOTO wakati wa kujifungua.
👉🏾Kuchangia DAMU isiyo salama.
👉🏾Kuchangia vitu vya ncha kali k**a SINDANO ,WEMBE n.k
👉🏾Kuchangia MISWAKI .
👉🏾Kuchangia TAULO na mwenye Ugonjwa huo.
👉🏾Kubadilishana nguo au kukumbatiana wakati mkiwa mnavuja JASHO .

📚Tafiti zinaonesha kuwa VIRUSI hivi ni HATARI kuliko hata vya UKIMWI kwa sababu vinaweza kuishi NJE ya MWILI wa BINADAMU ( yaani nje ya mfumo wa damu ) kwa siku SABA.
VIRUSI vya UKIMWI ( VVU ) havina UWEZO wa kuishi NJE ya mfumo wa DAMU hata kwa DAKIKA moja.

Kutokana na USUGU wa HBV maana yake ni kwamba k**a kirusi kipo kwenye NGOZI,kitaendelea kuwa HAI kwa siku SABA na katika kipindi hicho MTU anaweza kuambukizwa kwa njia ya DAMU au JASHO. Kwa wastani kirusi cha HBV kikishaingia MWILINI hupevuka ndani ya SIKU 75.Hata hivyo upo uwezekano wa kupevuka kati ya SIKU 30 hadi SIKU 180.Ndani ya SIKU 30 mpaka SIKU 60, MTU mwenye HBV anaweza kugundulika ikiwa atapimwa.

MTU mwenye HOMA ya INI ana wastani mdogo wa KUISHI kuliko mwenye UKIMWI.

*DALILI ZA UGONJWA HUU.*

WATU wengi hawaonyeshi DALILI yoyote.

👉🏾Kwa maana hiyo MTU anaweza kuishi na HBV na kusababisha MAAMBUKIZI kwa WENGINE bila kugundulika.
Hata hivyo WATU wengine husumbuliwa na HOMA KALI na DALILI ambazo hudumu kwa wiki kadhaa. DALILI hizo ni:-

👉🏾Uchovu
👉🏾Kichefuchefu
👉🏾Mwili kuwa dhaifu
👉🏾Homa kali
👉🏾Kupoteza hamu ya kula
👉🏾Kupungua uzito
👉🏾Maumivu makali ya tumbo upande wa INI.
👉🏾 Macho na ngozi kuwa ya njano.

👉🏾Mkojo mweusi.
Kwa WAGONJWA wengine, VIRUSI vya HEPATITIS B hukua hadi kusababisha INI kuharibika kabisa ( Cirrhosis of the liver ) au SARATANI ya INI ( liver cancer ).

KINGA.

🤝🏾Chanjo
🤝🏾Kutumia kinga wakati wa Kujamiiana.
🤝🏾Kuacha Kuchangia vitu vya ncha kali.
🤝🏾Kutochangia miswaki.
🤝🏾Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu.
🤝🏾Kutochangia damu isiyo salama.
NB;CHAKULA CHENYE MCHANGANYIKO/VIRUTUBISHO RISHE VYENYE UBORA.

AFYA YAKO NI UTAJIRI WAKO

Kwa mawasiliano zaidi piga
+255747295942
Au Gusa hii Link chini utaletwa moja kwa moja kwenye Whatssap
https://wa.me/message/JS56SBICP2JMB1

KWA  AFYA YAKO UNATAKIWA  KUCHUKUA  NAFASI  YA  SUKARI NA STEVIA Miongoni mwa njia mbadala za sukari, stevia, mmea mdogo...
30/07/2020

KWA AFYA YAKO UNATAKIWA KUCHUKUA NAFASI YA SUKARI NA STEVIA

Miongoni mwa njia mbadala za sukari, stevia, mmea mdogo kutoka Amerika ya Kusini, huanza kuchukua makazi katika nchi yetu. Kwa muda mrefu imepigwa marufuku, sasa ni ya manufaa kwa viwanda kwa ajili ya utamu wake mkubwa na ukosefu wa kalori.
Stevia ni tamu ya kalori ya kawaida ya zero ambayo imetumika k**a mbadala ya asili ya viungo vya sukari na ladha kwa karne nyingi. Stevia ni dondoo la asili la mmea wa jina moja, majani yake kwa usahihi.

Asili ya stevia

huu ni asili ya Amerika ya Kusini. Alikuwa mmea wa mtumiaji huko zaidi ya miaka 200 iliyopita, na wenyeji ambao walitumia majani ya kupendeza vinywaji au kuwatafuta kwa ladha yao tamu. Kwa kawaida, majani ya mmea pia huitwa "nyasi tamu" yalikuwa kavu na kutumika kutengeneza mate, tea na dawa. Kwa karne nyingi, dondoo ya stevia imetumiwa na watu wa Amerika ya Kusini k**a sukari na katika dawa za dawa. Tofauti na vitamu vya shaba, uwezo wa kupendeza wa stevia huhifadhiwa hata wakati wa kupikia chakula au unapoongezwa kwenye kinywaji cha moto.
Ladha na texture yake: The sweetener stevia ni nyeupe na poda. Inaweza kutumika katika mfumo wa sukari ya kikabila. Ladha yake ni kukumbusha licorice, ladha tofauti kidogo na ile ya vitamu vya kawaida.

Kwa nini kuchukua nafasi ya sukari na stevia?

• Ina nguvu ya kupendeza karibu na muda wa 300 kuliko ya sucrose
• Stevia haina kalori au wanga
• Ni mzuri kwa wagonjwa wa kisukari na yanafaa kwa ajili ya mlo
• Kulingana na tafiti za sayansi, stevia ni mmea wa manufaa kupambana na fetma na shinikizo la damu
• Inapunguza kuvumiliana kwa glucose
• Ni rahisi kutumia katika kupikia au kuoka k**a stevia inaweza kuwa joto hadi 200 ° C. Kwa upande mwingine, hutoa ladha yake reglissé maandalizi

! Stevia imekuwa imepigwa marufuku katika nchi nyingi kwa muda mrefu sana kwa sababu inapewa mali za abortifacient. Kwa hivyo haipendekezi kwa wanawake wajawazito au kunyonyesha kutumia mmea huu.

- Suluhisho kwa watu wanaoishi na kisukari

ni chaguo la asili la kupendeza kwa watu wazima na watoto wenye ugonjwa wa kisukari.

Kwa mwenye uhitaji wa kupona Kisukari mmea huu tayari umeshachanganywa na virutubisho vingine.
Kwa mawasiliano piga +255747295942
Au Gusa hiyo link kuja Whatssap moja kwa moja
https://wa.me/message/JS56SBICP2JMB1

JIFUNZE TIBA YA FIGO KWA KUTUMIA MBEGU ZA PAPAI.Papai ni tunda moja muhimu sana kwenye maisha yetu. Kwanza lina kiwango ...
27/07/2020

JIFUNZE TIBA YA FIGO KWA KUTUMIA MBEGU ZA PAPAI.

Papai ni tunda moja muhimu sana kwenye maisha yetu. Kwanza lina kiwango kikubwa sana cha Vimeng'enya chakula ndio maana ni suluhisho pia kwa wenye shida ya kukosa choo.

Namna ya kutibu au kujikinga na uhalibifu wa Figo.
HATUA MUHIMU.
1. Osha papai lako vzr sana.

2. Kata katikati

3. Chukua kijiko cha chakula chota vijiko viwili kunywa mwanzo wa wiki na mwisho wa juma.

4. usitafune meza kwa maji tu.

5. Fanya hivyo k**a sehemu ya destuli yako utaona haja ndogo itakavyokuwa nyeupe kuliko kawaida.

kwa maaelezo zaidi na matibabu ya kina mawasiana nasi kwa simu no +255747295942.

26/07/2020

Kila tatizo ulilonalo lina majibu kwenye Chakula ulacho kila siku.

Tumia Dakika chache kumsikiliza Mama huyu ambaye Miaka nenda rudi alikuwa anahangaika na Maradhi tofauti tofauti.

Sasa Chakula unachotakiwa kula kinachanganyo kwaajiri ya Kinga na Tiba.

Ukihitaji gusa hiyo link
https://wa.me/message/JS56SBICP2JMB1

Au piga +255747295942

LEO TUJIFUNZE VYAKULA MUHIMU KWA SHINIKIZO LA DAMU(BP)Hivi Ni baadhi ya vyakula/mitishamba muhimu:1.Kitungu saumu.2.Kuku...
25/07/2020

LEO TUJIFUNZE VYAKULA MUHIMU KWA SHINIKIZO LA DAMU(BP)

Hivi Ni baadhi ya vyakula/mitishamba muhimu:

1.Kitungu saumu.
2.Kukumanga.
3.Iriki.
4.Ginseng(angalia kwenye picha).
5.Nyanya.
6.Kitungu maji.
7.Karoti.
8.Uyoga(Aina ya maitake).
9.Tangawizi.
1o.Mbegu za mkatani.

HIVYO Ni Vyakula muhimu kwaajili ya ugonjwa wa presha(SHINIKIZO la DAMU)

ANGALIZO

UPO MCHANGANYIKO WA VYAKULA VYOTE HIVO.

Ukihitaji nitafute +255747295942

AFYA NI MUHIMU IJALI NDUGU YANGU
23/07/2020

AFYA NI MUHIMU IJALI NDUGU YANGU

AFYA  YAKO NI UTAJIRI WAKO SI KILA UONACHO NI CHAKULA VINGINE NI SUMU.Achana na Soda.         Tumia Maji.Achana na P**i ...
21/07/2020

AFYA YAKO NI UTAJIRI WAKO

SI KILA UONACHO NI CHAKULA VINGINE NI SUMU.

Achana na Soda. Tumia Maji.
Achana na P**i Tumia Matunda.
Achana na Mbatata Tumia Viazi vitami.
Achana na Nafaka Tumia Atta/Sayiri.
Achana na Siagi Tumia Parachichi.

Address

Morogoro
MOROGOROMJINI

Telephone

+255656568080

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Yako ni utajiri wako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share