14/07/2021
Karibu SUA, karibu ujipatie miche bora ya kisasa.
Mbegu bora na miche bora ya kisasa yenye uzao mkubwa ndani ya muda mfupi inapatikana chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Morogoro mjini.
Muhimu kupata miche hii ya matunda kutoka kwa wauzaji wanaoaminika kupunguza upotevu wa mali na fedha.
Njoo SUA,njoo ujionee mwenyewe.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie/tuma meseji kwa namba 0766028485.
Miche tunatuma mahali popote Tanzania kupitia mabasi ya mikoani.KARIBUNI SANA