Sapro General Supply

Sapro General Supply Watengenezaji wa milango na madirisha ya kisasa ya aluminium. Pia tunatoa huduma ya ushauri bure.

04/02/2025

Karibu Sana kwa kazi nzuri ya Madirisha ya Aluminum πŸ™0655699819

04/02/2025
04/02/2025

Kwa mahitaji ya Madirisha ya Aluminum, karibu tukuhudumie. 0655699819

04/02/2025

Karibu tukutengenezee Tv show case ya Aluminum. 0655699819

02/01/2025

Kazi nzuri Sana kutoka Kwetu,
Pata huduma nzuri ya Madirisha ya Aluminum na chochote kinachohusiana na Aluminum

Tupigie au WhatsApp No. 0655699819
Huduma ni kwa Cash na Mkopo.
Karibuni Sana.

Je, umekuwa ukitamani nyumba yako kuwa ya kisasa kwa kuweka madirisha ya Aluminium&glass lakini huna uwezo?Sasa utaweza ...
30/01/2023

Je, umekuwa ukitamani nyumba yako kuwa ya kisasa kwa kuweka madirisha ya Aluminium&glass lakini huna uwezo?

Sasa utaweza kulipa kidogo kidogo kwa muda hadi wa miezi 4.

Si hilo tu, na πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ˜ƒ
πŸ“Œ Utapata ushauri BURE kabisa.
πŸ“Œ Tunakuja site na utapimiwa vipimo na kupigiwa hesabu BURE.

Hiyo itakusaidia kutoharibu bajeti zako nyengine za kimaisha na kupata Dirisha la kisasa linalodumu kwa miaka mingi.😁

Tuna aina na size tofauti za Aluminium piaπŸ‘‡πŸ½
πŸ‘‰ Double glass Aluminium 8cm 175,000/- per 1 SQM
πŸ‘‰ Single glass Aluminium 10cm 165,000/- per 1 SQM
πŸ‘‰ Double glass Aluminium 10cm 230,000/- per 1 SQM

Lakini pia tuna πŸ‘‡πŸ½
βœ… UPVC Single glass 240,000/- per 1 SQM
βœ… UPVC Double glass 275,000/- per 1 SQM

πŸ“£ Size za Aluminium 8cm single glass
πŸ‘‰4 x 4 - tsh 195,000/-
πŸ‘‰4 x 5 - tsh 248,000/-
πŸ‘‰5 x 5 - tsh 286,000/-
πŸ‘‰5 x 6 - tsh 322,000/-
πŸ‘‰6 x 6 - tsh 355000/-

Utatengenezewa MILANGO yenye uimara wa kudumu na yenye kuvutia kwa kutumia either πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
πŸ“ŒMlango kwa kutumia body 280,000/-
πŸ“ŒMlango kwa kutumia kioo 300,000/-
πŸ“ŒMlango kwa kutumia Alicobond 450,000/-

Yawezekana hujui uzuri wa madirisha ya Aluminium soma kidogo hapa πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ˜ƒ
πŸ“£ Aluminium ni imara na huvumilia joto na baridi wakati wote hivyo utaweza kuishi nayo miaka mingi kuliko madirisha yote bila kupauka wala kufubaa kwa maana itawezesha madirisha yako kuiweka nyumba katika hali nzuri miaka yote.

πŸ“£Dirisha la Aluminium hutengenezwa jembamba hivyo hukuwezesha kupata mwanga angavu katika nyumba kwa maana nyumba yako itaonekana yenye mvuto.

πŸ“£ Aluminium haishiki moto na huvumilia majanga mengi hivyo huwezesha nyumba yako kuwa imara zaidi kwa maana hutapata gharama za kurepair madirisha mara kwa mara.

πŸ“£ Aluminium ni nyepesi hivyo haihitaji nguvu kubwa ya ukuta wa nyumba yako kuishikilia kwa maana itafanya nyumba yako kutopata majanga k**a ufa kwa miaka mingi.

K**a unahitaji huduma/ushauri BURE/Kuuliza wasiliana na sisi kupitia πŸ‘‡πŸ½
Piga simu/Whatsapp sasa hivi: 0655699819

βœ… Watu 5 wa kwanza watapata OFA endapo k**a watachukua huduma ndani ya masaa 24.πŸ™‚

Tunapatikana BOMAROAD - MOROGORO.

Je, umekuwa ukitamani nyumba yako kuwa ya kisasa kwa kuweka madirisha ya Aluminium&glass lakini huna uwezo?Sasa utaweza ...
29/01/2023

Je, umekuwa ukitamani nyumba yako kuwa ya kisasa kwa kuweka madirisha ya Aluminium&glass lakini huna uwezo?

Sasa utaweza kulipa kidogo kidogo kwa muda hadi wa miezi 4.

Si hilo tu, na πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ˜ƒ
πŸ“Œ Utapata ushauri BURE kabisa.
πŸ“Œ Tunakuja site na utapimiwa vipimo na kupigiwa hesabu BURE.

Hiyo itakusaidia kutoharibu bajeti zako nyengine za kimaisha na kupata Dirisha la kisasa linalodumu kwa miaka mingi.😁

Tuna aina na size tofauti za Aluminium piaπŸ‘‡πŸ½
πŸ‘‰ Double glass Aluminium 8cm 175,000/- per 1 SQM
πŸ‘‰ Single glass Aluminium 10cm 165,000/- per 1 SQM
πŸ‘‰ Double glass Aluminium 10cm 230,000/- per 1 SQM

Lakini pia tuna πŸ‘‡πŸ½
βœ… UPVC Single glass 240,000/- per 1 SQM
βœ… UPVC Double glass 275,000/- per 1 SQM

πŸ“£ Size za Aluminium 8cm single glass
πŸ‘‰4 x 4 - tsh 195,000/-
πŸ‘‰4 x 5 - tsh 248,000/-
πŸ‘‰5 x 5 - tsh 286,000/-
πŸ‘‰5 x 6 - tsh 332,000/-
πŸ‘‰6 x 6 - tsh 385,000/-

Utatengenezewa MILANGO yenye uimara wa kudumu na yenye kuvutia kwa kutumia either πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
πŸ“ŒMlango kwa kutumia body 280,000/-
πŸ“ŒMlango kwa kutumia kioo 300,000/-
πŸ“ŒMlango kwa kutumia Alicobond 450,000/-

Yawezekana hujui uzuri wa madirisha ya Aluminium soma kidogo hapa πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ˜ƒ
πŸ“£ Aluminium ni imara na huvumilia joto na baridi wakati wote hivyo utaweza kuishi nayo miaka mingi kuliko madirisha yote bila kupauka wala kufubaa kwa maana itawezesha madirisha yako kuiweka nyumba katika hali nzuri miaka yote.

πŸ“£Dirisha la Aluminium hutengenezwa jembamba hivyo hukuwezesha kupata mwanga angavu katika nyumba kwa maana nyumba yako itaonekana yenye mvuto.

πŸ“£ Aluminium haishiki moto na huvumilia majanga mengi hivyo huwezesha nyumba yako kuwa imara zaidi kwa maana hutapata gharama za kurepair madirisha mara kwa mara.

πŸ“£ Aluminium ni nyepesi hivyo haihitaji nguvu kubwa ya ukuta wa nyumba yako kuishikilia kwa maana itafanya nyumba yako kutopata majanga k**a ufa kwa miaka mingi.

K**a unahitaji huduma/ushauri BURE/Kuuliza wasiliana na sisi kupitia πŸ‘‡πŸ½
Piga simu/Whatsapp sasa hivi: 0655699819

βœ… Watu 5 wa kwanza watapata OFA endapo k**a watachukua huduma ndani ya masaa 24.πŸ™‚

Tunapatikana BOMAROAD - MOROGORO.

βœ…UKIANZA SISI TUNAMALUZA.LIPIA SEHEMU YA GHARAMA YA MADIRISHA YAKO YA ALUMINUM,ITAKAYOBAKI UTALIPA KIDOGO KIDOGO MPAKA M...
18/09/2022

βœ…UKIANZA SISI TUNAMALUZA.

LIPIA SEHEMU YA GHARAMA YA MADIRISHA YAKO YA ALUMINUM,ITAKAYOBAKI UTALIPA KIDOGO KIDOGO MPAKA MIEZI MINNE

πŸ“ž Tupige kupitia 0655699819
Tunapatikana MOROGORO MJINI
Karibu Sana

Karibuni kwa Vifaa vya umeme na Taa Nzuri
10/09/2022

Karibuni kwa Vifaa vya umeme na Taa Nzuri

Sisi ni Kusupply tu Vifaa vya UJENZI.vitu vizuri waone Sapro General supply.Aluminum,Taa &Tiles.Wewe TU.Kwa wakazi wa Mo...
07/09/2022

Sisi ni Kusupply tu Vifaa vya UJENZI.vitu vizuri waone Sapro General supply.
Aluminum,Taa &Tiles.
Wewe TU.

Kwa wakazi wa Morogoro na wilaya zake Unaweza pata TILES/ ALUMINUM kwa kutoa sehemu ya gharama ya mahitaji ya Nyumba Yako,na kitakachobaki uk**alizia mpaka MIEZI MINNE kwa kulipa kidogo kidogo.

Haya Mambo yanawezekana,karibu Sana Tuzungumze

Hii Taa Ina maajabu/Kazi k**a matatu Hivi,1.Ni taa nzuri kabisa yenye mwanga wa kutosha,2.ni Feni na 3.Ni pambo Sebuleni...
07/09/2022

Hii Taa Ina maajabu/Kazi k**a matatu Hivi,1.Ni taa nzuri kabisa yenye mwanga wa kutosha,2.ni Feni na 3.Ni pambo Sebuleni kwako.Karibu Sana tukuhudumie

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sapro General Supply posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sapro General Supply:

Share