obms_app

obms_app Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from obms_app, Business service, Msamvu Bus Terminal, First Floor, Room 21, Morogoro.

08/09/2020

Tangaza, Simamia na kuza biashara yako na OBMS App.

Biashara yako kiganjani mwako .

OBMS Ap imekuja na suluhisho sahihi l biashara yako ,get it on Google play store  .otieno .otieno             .t.a_lodge...
05/09/2020

OBMS Ap imekuja na suluhisho sahihi l biashara yako ,get it on Google play store .otieno .otieno .t.a_lodge_morogoro_659636332 @azamtvtz .point

HAKUNA HAJA YA KUTUMIA MFUMO WA ZAMANI WA UTUNZAJI TAARIFA ZA BIASHARA YAKO KWENYE MAKARATASI. # # Faida za OBMS App  # ...
04/09/2020

HAKUNA HAJA YA KUTUMIA MFUMO WA ZAMANI WA UTUNZAJI TAARIFA ZA BIASHARA YAKO KWENYE MAKARATASI.

# # Faida za OBMS App # #
1. Ina uwezo wa kusimamia Mapato na matumizi katika biashara.

2. Inakuwezesha kusimamia na kufatilia kwa ukaribu biashara zaidi ya moja.

3. Kuongeza uaminifu kati ya mfanya biashara na wasaidizi wake.

4. Kuandaa taarifa za mapato, matumizi na faida au kiasi kilichobaki kwa siku, mwezi na mwaka.

5. Kupata taarifa kila siku ya bidhaa zilizokaribia kuisha au kuharibika (Expire)

6. Kutunza taarifa za madeni ya wateja wako.

# # Namna ya Kujisajiri # #

1. Pakua App Google Playstore au tembelea www.obms.co.tz

2. Chagua package na utumie free kwa siku 14 free kabisa.

3. Jisajiri na anza kutumia.

# # Masaada Saa 24 # #

Piga 0757110592 au 0673264057 au 0658352580

Address

Msamvu Bus Terminal, First Floor, Room 21
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when obms_app posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share