20/08/2024
Je wajua Kupata Miche bora na ya Uhakika ni Kigezo au msingi muhimu sana katika kufanikiwa kwenye Kilimo cha Matunda?
Miche/mbegu ambazo hazina ubora hata uzitunze vizuri namna gani haziwezi kutoa matokeo bora.
MICHE BORA + MATUNZO BORA= MAVUNO BORA
Karibu uwe mmoja ya mamia ya wakulima wanaofanya vizuri kwenye kilimo cha Matunda kwa kutumia Miche bora na yenye ukahika kutoka kwetu.
Amua leo kuchagua kilicho bora maana unastahili kilicho bora. Karibu tukupe kilicho bora.
Karibu sana upate miche bora ya matunda kutoka kwetu. Miche ya uhakika na iliyoboreshwa (improved).
Tunapatikana Tiba Road Ndani ya Chuo Kikuu Cha Kilimo SUA Sambamba na Maji Club Iringa Road.
Mawasiliano:
+255684872669 (WhatsApp line)
+255718489527
+255759222686