New LIFE biashara huria

New LIFE biashara huria KARIBU UPATE HUDUMA BORA ZA KIJANJA ZAIDI

Kuna asilimia kubwa ya huu msimamo kubaki hivi hivi mpaka ligi inamalizika.
21/05/2026

Kuna asilimia kubwa ya huu msimamo kubaki hivi hivi mpaka ligi inamalizika.

Klabu ya Zamalek SC ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi kuu ya soka Nchini humo kwa mara ya 15 kufuatia ushindi wa 1-0 dhid...
21/05/2026

Klabu ya Zamalek SC ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi kuu ya soka Nchini humo kwa mara ya 15 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Ceramica Cleopatra na kumaliza kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo wakiwa na alama 56.

Mabingwa mara 45 wa Ligi hiyo, Al Ahly wamemaliza nafasi ya tatu wakifikisha alama 53, nafasi inayowalazimu kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao.

Mabingwa wapya Zamalek na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Pyramids wamefuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.

FT: Zamalek 1-0 Ceramica Cleopatra
FT: Pyramids 2-1 Smouha
FT: Al Masry 0-2 Al Ahly

MSIMAMO 🔝 4️⃣
1. Zamalek — pointi 56
2. Pyramids — pointi 54
3. Al Ahly — pointi 53
4. Cleopatra — pointi 44

20/05/2026
20/05/2026

Ni maeneo fulani ndani ya Jiji la Green city.

Address

Fulwe
Morogoro
254

Telephone

+255625939918

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New LIFE biashara huria posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to New LIFE biashara huria:

Shortcuts

Share