RuppelGrifonstars

RuppelGrifonstars business

Shughuli ni moja, Tuenjoy maisha matam
18/06/2024

Shughuli ni moja,
Tuenjoy maisha matam

10/03/2020

Habari , karibu tunauza maji ya jumla ya udzungwa madogo na makubwa tunakuletea hadi ofisini kwako tupigie cm. 0789700673. Au 0718276985. Au 0783786893 RUPELS WATER SUPPLY MISUFINI. Kilombero-morogoro

Safari ndogo ,kilimanjaro ndogo, castle light na lager , serenget kubwa pamoja na reds  zinapatikana kwa sh 2,000/= Tu.S...
16/10/2019

Safari ndogo ,kilimanjaro ndogo, castle light na lager , serenget kubwa pamoja na reds zinapatikana kwa sh 2,000/= Tu.

Serenget light, lager ndogo, balimi,eagle,plesner zinapatikana kwa sh 1,500/= Tu

Burudani k**a zote kesho mambo ya mamtoni na raggae kwa wingi

Yote haya ni ndani ya rupels pub msolwa ujamaa kilombero

Tupo ukingoni kumalizia pub yetu, ukumbi  bila kusahau  VIP  hall.  Rupels Pub tupo misufini msolwa ujamaa kilombero Mor...
25/07/2019

Tupo ukingoni kumalizia pub yetu, ukumbi bila kusahau VIP hall.

Rupels Pub tupo misufini msolwa ujamaa kilombero Morogoro. 0718276985/ 0689274107

August  will happen  at msolwa ujamaa...  So pengine ni ndani ya Rupels Pub misufini msolwa ujamaa kilombero Morogoro
20/07/2019

August will happen at msolwa ujamaa... So pengine ni ndani ya Rupels Pub misufini msolwa ujamaa kilombero Morogoro

NUKUU _"Umasikini hauji kwa bahati mbaya k**a ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya ...
11/04/2019

NUKUU

_"Umasikini hauji kwa bahati mbaya k**a ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P)_

_"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)._

_"Kile unahokifanya muda huu ndicho kinachoashiria na kutoa picha kamili ya baadae yako"(Mahatma Gandhi, R.I.P)_

_"Ukizaliwa maskini sio kosa lako, ila ukifa maskini hilo ni kosa"(Bill Gate, The richest man in the world)._

Mwalimu wangu wa chuo aliwahi kuniambia kuwa, "mstari unaomtenganisha maskini na tajiri ni mwembamba sana, kwa hiyo ni rahisi sana kuwa tajiri pia ni rahisi sana kuwa maskini". Mpaka leo sijaelewa alimaanisha nini.

*Watu wote waliofanikiwa katika nyanja mbalimbali za maisha, kwenye uongozi, biashara, kilimo, elimu, siasa, michezo, uandishi, muziki, afya, imani, utangazaji, nk huwa hawana hizi tabia 9 nilizokuandalia leo, kwa hiyo k**a una kiu ya mafanikio kwa hicho unachopambania, achana na haya mambo 9 yafuatayo;*

*1. KUTOKUJARIBU.*
Katika kutafuta mafanikio huwa kuna vitu viwili tu vya kuchagua. Tambua kuwa maisha ni vita. "Chagua kufa, au kupambana". "Siogopi kufa, naogopa kutokujaribu'(Jay Z). Hakuna alie zaliwa anajua, jiamini, jaribu utafanikiwa.

*2. KUTOKUJIFUNZA.*
Che Guava mpaka anafariki library yake ilikuwa na vitabu zaidi ya 2000, mwenzangu na Mimi sijui hata k**a una Biblia au Quran ghetoni kwako. Nkwameh Nkrumah library yake ilikuwa na vitabu zaidia ya 3000, Obama anakuambia kila akiamka asbuhi lazima asome kitu kipya. "JOSEPH=Jifunze, Ona, Soma, Elimika, Pitia, Hamasika.(Prof Jay)

*3. WOGA & WASIWASI.*
"Tunaweza tukamsamehe mtoto anayeogopa gizani, lakini sio mtu mzima anaeogopa mchana"(Plato, R.I.P). Kitu cha kuogopa katika maisha ni woga wenyewe. K**a hujiamini hutakuja kuwa mshindi katika jambo lolote. Fanya hicho unachofikiria kukifanya kwa moyo wa dhati, k**a unaamini ni cha harali na kia manufaa kwako na familia yako, na jamii nzima. Acha tabia ya kuogopa kitu ambacho hakijatokea.

*4. KUJILINGANISHA.*
Kuna baadhi ya watu, huwa wangetamani kuwa k**a watu Fulani. Kuwa wewe pia jiamini. Usitamani kuwa Magufuli, Kassim Majaliwa au Paul Makonda. Kila mtu ni wa pekee na maalumu. Jikubali kwanza afu wengine ndo watakukubali wewe. Weka nguvu kwenye ubora wako na sio kwenye madhaifu yako. Ukijilinganisha sana utakosa furaha ya nafsi maisha yako yote.

*5. KUWEKA VINYONGO.*

"Kuweka chuki na konyongo moyoni ni sawa na kunywa sumu ukidhani atakufa mtu mwingine". Onesha upendo, sambaza upendo, hayo ndo mafanikio ya kweli.

*6. UONGO*
"Uongo utakupa ushindi wa siku moja, ukweli utaishi milele"(WEUSI), "Muongo hata akiongoea ukweli usimuamini"(FID Q). Ukiwa muongo huwezi kufanikiwa hata siku moja. "Unaweza ukawadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya watu wote, wakati wote"(Bob Marley). Ukweli k**a jua, katika safari ya mafanikio huwezi kuvificha.

*7. UVIVU & UZEMBE*
"Nyumba yenye njaa ukisizi unapata zero"(Fid Q). Mafanikio huja kwa kupenda unachokifanya. Neno "kazi" katika biblia limeandikwa mara 600. Dangote analala masaa 3 tu kila siku, Mohammed Dewj anaamka saa 11 asbuhi kila siku. We kwepa majukumu tu, kesho utakula magodoro. "Uvivu unalipa muda huu, bidii & juhudi vinalipa baadae".

*8. STAREHE & ANASA KUPINDUKIA*
Pombe, sigara, ngono, unga, bange, sh**ha, co***ne, nk vitu vibaya sana. Ni ngumu sana kufikia mafanikio makubwa k**a una tabia k**a hizi. "Sisi ni kile tunacho kula". Mafanikio ya kwanza huanzia kwenye afya yako". Afya ni utajiri. Pia starehe hupoteza muda sana. "Mavuno ya uzee, ni swaga za ujana, kwa ukila ujana kumbuka kula kiungwana"(Nikki Mbishi,).

*9. LAWAMA & UMBEA*
"Watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hujadili kuhusu mawazo, uwezo wa kati hujadili kuhusu matukio na wale wenye uwezo wa chini, hujadili kuhusu watu" We upo kwenye kundi gani? Bora ukawa kundi la kati kuliko hilo la chini kabisa, hilo ni la "wachawi". Tusilamike, tupambane,lawama hazisaidii chochote.Ukiweka malengo yako, vizuri na ukaacha hizo tabia hapo juu, muda si mrefu itazifikia ndoto zako.

Katika yote usumsahau Mungu Maana yeye ndiye atupaye nguvu za kupata utajiri

Amen

Share Tafadhali
________________________

Ndani ya a Rupels Pub misufini msolwa ujamaa kilombero Morogoro...  Usiku wa Jana....  Yalikua majaribio ya amsha p**p t...
29/03/2019

Ndani ya a Rupels Pub misufini msolwa ujamaa kilombero Morogoro... Usiku wa Jana.... Yalikua majaribio ya amsha p**p tukutane kesho jumamosi.... Karibuni tunawapenda Sana ..... Booking 0714332635

Tupo,  Pamoja  tukutane mkesha wa pasaka 20/03/2019. Pasaka yenyewe 21/03/2019 na kuimalizia jumatatu ya pasaka 22/03/20...
21/03/2019

Tupo, Pamoja tukutane mkesha wa pasaka 20/03/2019. Pasaka yenyewe 21/03/2019 na kuimalizia jumatatu ya pasaka 22/03/2019 kwa Disco /music 🎶 mkali ndani ya Rupels Pub misufini msolwa ujamaa.... Vinywaji K**a vyote Jipangeeee wahi nafasi. Mawasiliano 0714332635

Address

Kilombero
Morogoro

Telephone

+255783786893

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RuppelGrifonstars posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share