Sasi Public Link Co. Ltd

Sasi Public Link Co. Ltd Tunatengeneza milango, partition, makabati ya vioo na madirisha ya aluminium kwa gharama nafuu sana.

Kwa mvua hi usikubali kukaa madirisha wazi,Tupo kwa ajili yako.Tunatengeneza madirisha ya Aluminium,Milango,makabati ya ...
05/10/2019

Kwa mvua hi usikubali kukaa madirisha wazi,Tupo kwa ajili yako.Tunatengeneza madirisha ya Aluminium,Milango,makabati ya aina zote na Partitions (office)kwa ubora wa Hali ya juu kulingana na mahitaji yako.karibuni Sana
Tupo Morogoro mjini Bonaroad Karibu na KCB Bank.pia unaweza kutupata kupitia 0754538747kwa what sap kwa ajili ya picha Zaidi.Pia unaweza kulipa kidogokidogo Hadi miezi 10.ushindwe wewe tu😁.

Karibu tukutengenezee Madirisha, Milango na Partitions (ofsi) za Aluminium kwa Bei nzuri na nafuu.bila kusahau ubora uli...
21/07/2019

Karibu tukutengenezee Madirisha, Milango na Partitions (ofsi) za Aluminium kwa Bei nzuri na nafuu.bila kusahau ubora uliotukuka.Pia unaweza kulipa kwa awamu kidogokidogo kwa mkopo Hadi miezi kumi.Tunapatikana Morogoro Bonaroad karibu na KCB bank.pia unaweza kutupata kupitia 0754538747/0655699819.KARIBU SANA.

Design yoyote utakayotaka ndio tunatengeneza.karibu utupagie design yako unayopenda tukutengenezee madirisha ya aluminiu...
19/04/2019

Design yoyote utakayotaka ndio tunatengeneza.karibu utupagie design yako unayopenda tukutengenezee madirisha ya aluminium kwa Bei nzuri na utalipa kidogokidogo kwa mkopo nafuu.tupo Morogoro mjin karibu na KCB bank.unaweza kutupata kupitia 0754538747/0655699819.karibu Sana

Kwetu Kila aina ya rangi ya aluminum inapatikana;madirisha yetu Yana ubora unaoutaka wewe,karibu tukutengenezee madirish...
09/04/2019

Kwetu Kila aina ya rangi ya aluminum inapatikana;madirisha yetu Yana ubora unaoutaka wewe,karibu tukutengenezee madirisha/milango ya aluminum vyenye ubora na uimara upendavyo kwa Bei nafuu,pia tunaweza kukutengenezea kwa mkopo na ukalipa Hadi miezi 10.
Tupo Morogoro mjini karibu na KCB bank bomaroad.pia unaweza kutucheck kupitia 0754538747/0655699819

Ni nzuri ila imependeza Zaid na SASI PUBLIC LINK.Co.LTD, Alumium & Glassworks.karibu nawe tukupendezeshee nyumba yako kw...
21/03/2019

Ni nzuri ila imependeza Zaid na SASI PUBLIC LINK.Co.LTD, Alumium & Glassworks.karibu nawe tukupendezeshee nyumba yako kwa gharama nafuu.
1.kupima kwetu ni bure popote ulipo,
2.kuleta na kufunga madirisha ni kwa gharama zetu.
3.Utaweza kulipa kidogokidogo kwa mkopo nafuu.karibuni Sana.

Karibu tukutengenezee madirisha ya Alumium kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu
17/03/2019

Karibu tukutengenezee madirisha ya Alumium kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu

17/03/2019
14/03/2019
Tunatengeneza madirisha ya Alumium kwa ubora mkubwa na kwa Bei nafuu, tunatengeneza kwa Cash na MKOPO utakao lipa kidogo...
05/03/2019

Tunatengeneza madirisha ya Alumium kwa ubora mkubwa na kwa Bei nafuu, tunatengeneza kwa Cash na MKOPO utakao lipa kidogo kidogo Hadi miezi kumi.Karibu Sana
Tuko Morogoro bomaroad karibu na KCB bank kwa matengo.
Kupimiwa ni bure.usafiri wa kuyaleta na kuyafunga ni juu yetu.
Tupigie kwenye 0754538747/0655699819.

Tunatengeneza madirisha ya aluminium kwa bei nafuu kabisa.  Wasiliana nasi kwa namba 0754 538747. Tunapatikana Boma rd, ...
18/02/2019

Tunatengeneza madirisha ya aluminium kwa bei nafuu kabisa. Wasiliana nasi kwa namba 0754 538747. Tunapatikana Boma rd, Morogoro.

Address

Wami Street
Morogoro
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sasi Public Link Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share