10/02/2026
🛑USISUBURI HASARA
Kuna sababu mbalimbali zinazopelekea mazao kushambuliwa na magonjwa, ambayo ni changamoto kubwa kwa wakulima wengi na husababisha upungufu wa mavuno pamoja na hasara za kiuchumi.
- Kutotumia mbegu/Miche bora
- Usafi hafifu wa shamba
- Matumizi yasiyo sahihi ya maji na mbolea,
- Wadudu waharibifu
Epuka hasara kabla haijatokea!
Pata ushauri wa kitaalamu, dawa sahihi za kilimo na miundombinu ya kilimo cha kisasa
📞 Wasiliana nasi sasa: +255 753 200 670
🌐 Tembelea: www.haicco.co.tz