Pata ushauri ili uboresha maisha yako kupitia kilimo, ufugaji au Biashara

Pata ushauri ili uboresha maisha yako kupitia kilimo, ufugaji au Biashara Badilisha maisha yako, tumia teknolojia rahisi ili upate maji kwa matumizi ya nyumbani, mifugo na bustani, nishati ya jua, mbolea asilia, n.k.

Page hii ni kwa ajili ya kuwasaidia wakulima, wafugaji na wafanya biashara kupata ushauri wa kitaalamu kwa bei nafuu kwa kutumia mtandao. Mtu yeyote mwenye uhitaji wa ushauri toka kwa wataalamu atatakiwa kuwasiliana na sisi kwa kutumia simu, facebook au e-mail ili kupewa maelekezo namna ya kupata ushauri huo. Kuandika mchanganuo wa biashara ni Shs. 250,000/=
Ushauri pasipo fika field(Site) ni Shs. 30,000/=

Kwenda site: Nauli na Shs. 80,000/= kwa siku. Unaweza kupiga simu No. 0658152878 kwa maelekezo.

Address

SUA
Morogoro
3003

Telephone

0658152878

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pata ushauri ili uboresha maisha yako kupitia kilimo, ufugaji au Biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pata ushauri ili uboresha maisha yako kupitia kilimo, ufugaji au Biashara:

Shortcuts

Share