Mande's Food & Chicken sellers Tanzania

Mande's Food & Chicken sellers Tanzania Keki za sherehe,Kuku Kisasa na kienyeji, n.k Weka oda online & wasiliana nasi kupitia 0789852874,0767014049 au [email protected]
Please share our page

*ENEO LINAUZWA ZIWANI* ZURI SANA KWA WAFUGAJI SAMAKI.LINA MABWAWA MANNE, YANAHITAJI KUREKEBISHWA TU.LINAPAKANA MIGUU 15 ...
19/05/2019

*ENEO LINAUZWA ZIWANI*
ZURI SANA KWA WAFUGAJI SAMAKI.

LINA MABWAWA MANNE, YANAHITAJI KUREKEBISHWA TU.

LINAPAKANA MIGUU 15 TU NA ZIWA VICTORIA.

BEI 6.3 MILIONI

PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI:

0625625066 AU 0715987536
KARIBU KWA KUKAGUA NA UNUNUZI.

PUNGUZO LIPO..
(SERIOUS BUYERS )

🌟✨✨ *ALLIANCE IN MOTION* (GLOBAL) β›…πŸŒ€β˜€Habari Ndugu Mtanzania, KARIBU ktk fursa hii.. Mimi ni Mmoja wa washiriki na wa wan...
24/09/2017

🌟✨✨ *ALLIANCE IN MOTION* (GLOBAL) β›…πŸŒ€β˜€

Habari Ndugu Mtanzania, KARIBU ktk fursa hii.. Mimi ni Mmoja wa washiriki na wa wanufaika wa Kampuni ya Alliance in Motion Global..

*Kampuni/Platform hii inafaida mara mbili*::
⚜⚜1) *FAIDA YA KIAFYA*;
Na hii ndio lengo la Kwanza la Kampuni. AIM Global ni wazalishaji wa dawa bora kabisa zinazokubalika duniani kwa kutumia *Mitishamba* na zisizo na KEMIKALI.. Dawa/Bidhaa zetu zaweza tumika k**a kinga na tiba ya magonjwa k**a vile: -Kansa --Upungufu wa nguvu za kiume na k**e ---Presha aina zote ----Miguu kuvimba nk..
πŸ”±πŸ”±Pia tuna bidhaa zenye kuimarisha afya zilizotengenezwa Kwa VIRUTUBISHO ASILIA...

2) *FAIDA YA KIBIASHARA*:::

A) πŸ”°πŸ”° Unapojiunga na fursa hii utapewa bidhaa zetu Kwa Gharama ya chini kabisa na Wewe utaziuza kwa bei ya sokoni na kunufaika hadi asilimia 30% ya bidhaa husika..

B) πŸ”°πŸ”°β™»β™» Unapomuunganisha mtu na Kampuni yetu utalipwa 34000/= kwa kila mtu mmoja na endapo ukiwaunga wawili utalipwa 68000/= na zawadi ya 69000/=

πŸŒ€πŸ’ πŸŒπŸŒ~β˜€πŸŒ€KIKUBWA ZAIDI KUNA ZAWADI~ : K**a vile magari, viwanja na pesa taslimu kwa washiriki...

Kwa mawasiliano ZAIDI nitafute ktk namba zifuatazo....

+255717815543

au +255715382993.

πŸ’—πŸ’—ULIZA NITAKUJIBU. *KARIBU SANA AIM GLOBAL*πŸ’—πŸ’—πŸ’“πŸ’“πŸ’“

πŸ”°πŸŒKARIBU KTK FURSA ILIYOWANUFAISHA WENGIβ™»πŸ’ πŸŒ€

https://chat.whatsapp.com/FCDCtSdKGRhDHwV6lKA6zp Habari ndugu zangu.  Karibuni ktk kundi jipya la whatsapp la wajasiriam...
12/07/2017

https://chat.whatsapp.com/FCDCtSdKGRhDHwV6lKA6zp

Habari ndugu zangu. Karibuni ktk kundi jipya la whatsapp la wajasiriamali.

Mande's Foods & Chicken sellers Tz ni wauzaji wakubwa kuku wa nyama walio ktk viwango hitajika hapa Tanzania.
Pia wanajihusisha ktk utngenezaji na uuzaji wa keki aina ya smart cake kwa bei ya jumla.
Na pia karanga za kila aina.
Karibuni tupate kuelimishana na kupeana ushauri juu ya ujasiriamali.

https://chat.whatsapp.com/FCDCtSdKGRhDHwV6lKA6zp ..

Habari wajasiriamali na watanzania kwa ujumla. Sasa tunauza keki kwa jumla. βœ¨πŸ’¦Kwa oda, tafadhali wasiliana nasi. ( # 078...
11/05/2017

Habari wajasiriamali na watanzania kwa ujumla.
Sasa tunauza keki kwa jumla.
βœ¨πŸ’¦Kwa oda, tafadhali wasiliana nasi.
( # 0789852874)
Pia tunatengeza keki kwa ajili ya Sikukuu za kuzaliwa, kitchen party n.k.

Mahali: Morogoro(Mjini), Nanenane...

Karibuni sana..

Best chicken sellers.Tunauza kuku wa nyama wenye kwango poa kwa bei poa sana.Kwa mawasiliano tutafute kupitia nambari zi...
22/10/2016

Best chicken sellers.

Tunauza kuku wa nyama wenye kwango poa kwa bei poa sana.
Kwa mawasiliano tutafute kupitia nambari zifuatazo
+255789852874 au +255715382993.. Karibuni sana

Kwa kuku bora wa nyama wa kisasa. Wapo tayari..Tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari zifuatazo....0789852874 / 071538...
14/10/2016

Kwa kuku bora wa nyama wa kisasa. Wapo tayari..

Tafadhali wasiliana nasi kupitia nambari zifuatazo....
0789852874 / 0715382993
Au kupitia barua pepe: [email protected]
Weka oda sasa...

"Kuku wa Nyama"Sasa wapo tayari. Jipatie kwa bei poa ya shillingi 6500/= tu....Uzito wao 1.5Kg hadi 2kg.Tuko Morogoro Mj...
25/09/2016

"Kuku wa Nyama"
Sasa wapo tayari. Jipatie kwa bei poa ya shillingi 6500/= tu....

Uzito wao 1.5Kg hadi 2kg.

Tuko Morogoro Mjini.

Karibuni sana..
Mawasiliano.... 0789852874 au 0715382993.

Kuku wa kisasa wa nyama wanapatikana kwa bei poa. Kwa oda wasiliana nasi kupitia nambari 0789852874. Tafadhali share kur...
02/09/2016

Kuku wa kisasa wa nyama wanapatikana kwa bei poa. Kwa oda wasiliana nasi kupitia nambari 0789852874.
Tafadhali share kurasa hii....

Nawatakieni mwanzo mzuri wa wiki. Jumatatu njema Nyote...Hapa kazi tu..
11/04/2016

Nawatakieni mwanzo mzuri wa wiki. Jumatatu njema Nyote...

Hapa kazi tu..

Know your true power. Together we can...
03/04/2016

Know your true power. Together we can...

Ijumaa Mubarak
11/03/2016

Ijumaa Mubarak

Asubuhi na mapema kazi ya kutengeneza keki imeanza...  Kwa mwenye kuhitaji Kwa oda wasiliana nasi kupitia  #+25578985287...
07/03/2016

Asubuhi na mapema kazi ya kutengeneza keki imeanza... Kwa mwenye kuhitaji Kwa oda wasiliana nasi kupitia #+255789852874 au 0784014044. Keki za aina mbalimbali... Tafsdhali SHARE OUR PAGE

Address

Morogoro
-6.808999

Opening Hours

Monday 07:10 - 20:00
Tuesday 07:31 - 20:31
Wednesday 07:30 - 20:30
Thursday 07:30 - 20:30
Friday 07:30 - 20:30
Saturday 10:30 - 18:30
Sunday 10:30 - 18:30

Telephone

0789852874

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mande's Food & Chicken sellers Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mande's Food & Chicken sellers Tanzania:

Share