Kilimanjaro Natural Mineral Water

Kilimanjaro Natural Mineral Water Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kilimanjaro Natural Mineral Water, Brand, P. O. Box 1352, Shiri Matunda, Moshi.

K**a Kilimanjaro Natural Mineral Water haikuwepo kwenye ndoto… basi huyo hakuwa sisi! 😌
08/09/2026

K**a Kilimanjaro Natural Mineral Water haikuwepo kwenye ndoto… basi huyo hakuwa sisi! 😌

Bonite Bottlers tunajivunia kutangazwa na kutunukiwa nafasi ya Mshindi wa Pili katika sekta ya Vinywaji Visivyo na Pombe...
04/09/2026

Bonite Bottlers tunajivunia kutangazwa na kutunukiwa nafasi ya Mshindi wa Pili katika sekta ya Vinywaji Visivyo na Pombe kwenye Tuzo za PMAYA 2026, ilikabidhiwa na Mhe. Judith Kapinga (Mb), Waziri wa Viwanda na Biashara.

Utambuzi huu unaadhimisha utendaji na mchango wa kampuni katika kukuza sekta ya vinywaji visivyo na pombe nchini Tanzania, huku ukiangazia dhamira yake endelevu ya kutoa bidhaa zenye ubora, ubunifu na zinazokidhi mahitaji na matarajio ya watumiaji.

Mafanikio haya yanatufanya kuwa miongoni mwa chapa zinazoongoza zilizotambuliwa katika tuzo hizi za heshima mwaka huu.

Happy new monthHakikisha unahydrate na maji asilia ya kuaminika kila siku.
03/09/2026

Happy new month
Hakikisha unahydrate na maji asilia ya kuaminika kila siku.

Tunayo furaha kubwa kutangaza kwamba kwa mara nyingine tena, Kilimanjaro Natural Mineral Water imetajwa kuwa Superbrand ...
31/08/2026

Tunayo furaha kubwa kutangaza kwamba kwa mara nyingine tena, Kilimanjaro Natural Mineral Water imetajwa kuwa Superbrand East Africa 2026–2028.

Hii ni heshima kubwa na uthibitisho wa safari yetu ya kuendelea kujenga chapa inayowakilisha ubora na uaminifu wetu kwa jamii, huku tukihakikisha tunawapatia wateja wetu kilicho bora zaidi.

Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini na kuwa sehemu ya safari hii.
Kilimanjaro Natural Mineral Water, Maji Asilia ya Kuaminika Kila Siku.

29/08/2026

Asante kwa kutuchagua Kilimanjaro Natural Mineral Water. Tunawapenda na tunawathamini.

27/08/2026

Umekunywa maji kiasigani leo?
Tuambie kwenye comment

Tunawatakia waislam wote heri ya sikukuu ya Maulid
25/08/2026

Tunawatakia waislam wote heri ya sikukuu ya Maulid

24/08/2026

Taarifa zote kiganjani mwako, kwa taarifa ya bidhaa, maoni au mapendekezo Scan QR – Code kwenye label
Sikuizi tunascan tu.

22/08/2026

K**a ilivyo kawaida yetu, kwa mara nyingine tena tumewakaribisha wafanyabiashara wetu kutoka Dodoma kutembelea kiwanda chetu kilichopo Shirimatunda, Moshi.

Katika ziara hiyo, walipata fursa ya kujionea chanzo chenye madini asilia cha maji ya Kilimanjaro Natural Mineral Water, pamoja na kushuhudia hatua mbalimbali za uzalishaji, kuanzia chanzo hadi maji yanapomfikia mtumiaji wa mwisho.

Kilimanjaro Natural Mineral Water, maji asilia yakuaminika kila siku.

K**a ilivyo kawaida yetu, kwa mara nyingine tena tumewakaribisha wafanyabiashara wetu kutoka Dodoma kutembelea kiwanda c...
21/08/2026

K**a ilivyo kawaida yetu, kwa mara nyingine tena tumewakaribisha wafanyabiashara wetu kutoka Dodoma kutembelea kiwanda chetu kilichopo Shirimatunda, Moshi.

Katika ziara hiyo, walipata fursa ya kujionea chanzo chenye madini asilia cha maji ya Kilimanjaro Natural Mineral Water, pamoja na kushuhudia hatua mbalimbali za uzalishaji, kuanzia chanzo hadi maji yanapomfikia mtumiaji wa mwisho.

Kilimanjaro Natural Mineral Water, maji asilia yakuaminika kila siku.

Address

P. O. Box 1352, Shiri Matunda
Moshi

Telephone

+255758979641

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimanjaro Natural Mineral Water posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kilimanjaro Natural Mineral Water:

Shortcuts

Share

Category