Temi Alminium Works Ltd

Temi Alminium Works Ltd Temi Alminium Works ni Company yenye vijana wenye ujuzi wa muda mrefu latika utengenezaji wa milango, madirisha na shughuli zote zinazohusika na alminium.

Temi Alminium Works ni kampuni iliyopo Moshi Mjini inayojishughulisha na uuzaji wa vioo, vifaa vya alminium pamoja na huduma ya utengenezaji wa milango, madirisha ya alminium, kabati za alminium na vitu vyote vinavyotengenezwa na alminium. Utendaji wetu wa kazi ni wa kushrikiana zaidi kati yetu binafsi na wateja wetu.

Karibuni Temi Alminium Works kwa huduma bora ya madirisha ya Alminium, Milango na Showcase, wasiliana nasi kupitia numbe...
14/11/2019

Karibuni Temi Alminium Works kwa huduma bora ya madirisha ya Alminium, Milango na Showcase, wasiliana nasi kupitia number +255755789503

Habari wapendwa, je ungependa kutengenezewa madirisha na milango ya Alminium? Wakati ndio sasa, haujachelewa, wasiliana ...
18/03/2017

Habari wapendwa, je ungependa kutengenezewa madirisha na milango ya Alminium? Wakati ndio sasa, haujachelewa, wasiliana nasi kwa kututumia ujumbe mfupi kupitia page yetu ya facebook, [email protected] au tupigie kupitia namba 0755789503. Ulipo tupo, wakati ndio sasa.

Kijana Juma Mihanjo akiwa eneo la kazi katika kukata eneo la ofisi. Wasiliana nasi k**a ungependa kutengenezewa ofisi ya...
16/09/2016

Kijana Juma Mihanjo akiwa eneo la kazi katika kukata eneo la ofisi. Wasiliana nasi k**a ungependa kutengenezewa ofisi yako kwa kugawa kwa umakini na vipimo sahihi. Tuandikie kupitia [email protected] au tupigie kupitia namba zetu 0755789503

Je ungependa kupendezesha nyumba yako kwa kutumia milango ya kisasa ya Alminium na madirisha ya Alminium? Wakati ndio sa...
27/08/2016

Je ungependa kupendezesha nyumba yako kwa kutumia milango ya kisasa ya Alminium na madirisha ya Alminium? Wakati ndio sasa, wasiliana nasi kupitia Email yetu [email protected] au tupigie 0755789503.

Juma na Alhaji wakiwajibika pamoja katika kuhakikisha kazi inaenda vizuri. Wasiliana nasi sasa kwa huduma ya show case, ...
26/05/2016

Juma na Alhaji wakiwajibika pamoja katika kuhakikisha kazi inaenda vizuri. Wasiliana nasi sasa kwa huduma ya show case, madirisha, milango na vyote vinavyohusiana na alminium. Piga number +255 755 789 503 au tuandikie kupitia [email protected]

Juma akiwajibika katika Depol ya Serengeti Breweries iliyopo Moshi maeneo ya Majengo katika utengenezaji wa sehemu ya of...
21/05/2016

Juma akiwajibika katika Depol ya Serengeti Breweries iliyopo Moshi maeneo ya Majengo katika utengenezaji wa sehemu ya ofisi.

Address

Moshi
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Telephone

+255784299160

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Temi Alminium Works Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Temi Alminium Works Ltd:

Share

Category