Jikwamue Sasa

Jikwamue  Sasa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jikwamue Sasa, Business Center, Moshi.

Niko tayari kumfundisha kila mmoja hadi aweze njoo niweze kukusaidia ,kukushika mkono.  Piga 0718165899
16/08/2024

Niko tayari kumfundisha kila mmoja hadi aweze njoo niweze kukusaidia ,kukushika mkono. Piga 0718165899

Mwajiliwa na mfanyakazi, Chukua hii Itakusaidia sana,Mshahara haujawahi kutosha,Njoo nikufundishe biashara ambayo Utaten...
15/08/2024

Mwajiliwa na mfanyakazi,
Chukua hii Itakusaidia sana,
Mshahara haujawahi kutosha,
Njoo nikufundishe biashara ambayo Utatengeneza kipato cha ziada na Utaachana na Stress za Mshahara🔥🔥🔥🔥

Mafunzo ni Bure
Watsap 0718165899

Posted  • @ Tumefikiwa sisi wa sina mtaji hali ngumu sana. Sina kitu kabisa maisha yangu ni magumu sana mimi nafanya bia...
03/08/2024

Posted • @ Tumefikiwa sisi wa sina mtaji hali ngumu sana. Sina kitu kabisa maisha yangu ni magumu sana mimi nafanya biashara zinakufa sina hela ya kuanzia upya. Mimi ni wahivi hivi. Ni kwambie tu ukiendelea kujinenea hivi hakuna kitu kitaenda kubadilika hata siku moja kwa sababu umejipatia ukomo wa kutoka kwenye hizo hali. Kumbuka hakuna mtu atakuonea huruma isipo kuwa wewe mwenyewe. Wewe unapitia hali ngumu k**a wewe hujionei huruma na kutafuta Suluhisho la kutoka hapo ulipo unatengemea kuna mtu atakuonea huruma. Jifunze kujifikiria mema na utaona mabadiliko...check me kwa ushauli zaidi..
0718165899

THE BUSINESS OF 21CENTURY. UKIONA NA KUTAFUTA SANA. JUA NAKUPENDA NA KUTAKIA MEMA WATU NI WENGI SANA WANAO HITAJI FURSA....
03/08/2024

THE BUSINESS OF 21CENTURY. UKIONA NA KUTAFUTA SANA. JUA NAKUPENDA NA KUTAKIA MEMA WATU NI WENGI SANA WANAO HITAJI FURSA. MIMI NIPO UNSTOPPABLE NA KUFANYA KAZI. UZURI WA BIASHARA YANGU USIPO FANYA WEWE. MIMI NAENDELEA KUTAFUTA THE RIGHT PEOPLE WA KUFANYA NAO KAZI. SHUKRAN MUNGU NA KUJIBU KWA WAKATI. HAWA WOTE MIMI CJUI WAJUI HAWANIJUI ILA NMEKUTANAO KUPITIA SOCIAL MEDIA. TUNJIA NZURI YA KUKUSAIDIA KUJENGA BIASHARA BELIEVE ME.....
0718165899

Posted  •  ntilie Mstaafu… anaitwa Jacky. Ni mama ntilie alieacha kazi ya upishi kwa ajili ya hii biashara….hivi unajua ...
10/07/2024

Posted • ntilie Mstaafu… anaitwa Jacky. Ni mama ntilie alieacha kazi ya upishi kwa ajili ya hii biashara….hivi unajua huku kwetu tuna faida zaidi ya 10…......
Jamani mambooooh ni motoooooooo usichukulie mzaa nenda kaanze biasharaaaaaaaaaa..
0718165899

Posted  •  PID inaweza kukufanya upate tabu kupata ujauzito .Bacteria wanaosababisha PID husambaa maeneo lukuki muhimu y...
08/07/2024

Posted • PID inaweza kukufanya upate tabu kupata ujauzito .
Bacteria wanaosababisha PID husambaa maeneo lukuki muhimu ya uzazi na kusababisha magonjwa mengine.
Na magonjwa hayo yooooote huchangia kwenye kuzuia ujauzito usiingie...
Maeneo hayo ni k**a
mlango Wa mfuko Wa uzazi ,mfuko Wa uzazi ,mirija na kwenye o***y.. .

Bacteria wakifiaka kwenye mfuko Wa uzazi hapa huweza kusababisha endometriosis, vile vile huweza kusababisha fibroid yaan ni hatari
Bacteria wakifija kwenye mirija hapa husababisha mirija kuziba au kujaa maji au kuleta makovu kwenye mirija na hata uvimbe pia ambayo yote haya husababisha mirija kuziba pia...
Pia wanawez fika kwenye o***y hapa wanaweza sababisha PCOS ...
Haya maeneo yote ni sehem ambazo Hormone zinafanya kazi zake ikiwemo kwenye o***y zinapotengenezwa pia !!
Kwa matatizo haya lazima mtu apate tatizo la hormone imbalances.
Ndo hapa mimba kuingia inakuwa shughuri mnoo.

@0756372711

Umewahi kujiuliza kwanini Simba anaitwa Mfalme wa mbuga na sio tembo wala twiga? Twiga ni mkubwa kuliko Simba na tembo n...
25/06/2024

Umewahi kujiuliza kwanini Simba anaitwa Mfalme wa mbuga na sio tembo wala twiga? Twiga ni mkubwa kuliko Simba na tembo ni mkubwa kuliko Simba lakini kinachomfanya Simba kuwa mfalme wa Mbuga ni namna ya kufikiri kwake. Anapomtazama twiga licha ya ukubwa wake anaona chakula.

Jifunze kuwa na ujasiri. Si mazingira ya nje, wala muonekano wala kiwango cha fedha kitakachokufikisha kule unapotamani kufika lakini ujasiri wako ndio utakaokupeleka pale unapotamani kuwa. Badili namna yako ya kufikiri." -......

MAFUNZO  YA BIASHARA  YATAKAYOKUWEZESHA   KUJIKWAMUA  KIMAENDELEO
03/06/2024

MAFUNZO YA BIASHARA YATAKAYOKUWEZESHA KUJIKWAMUA KIMAENDELEO

MAFUNZO  YA  KUJIJENGA  KIUCHUMI  NA KUKUZA  KIPATO  CHAKO
03/06/2024

MAFUNZO YA KUJIJENGA KIUCHUMI NA KUKUZA KIPATO CHAKO

LIFE STYLE  YA KUFURAHIA  MAISHA  PAMOJA  NA  KUJUMUIKA  NA  WENGINE
03/06/2024

LIFE STYLE YA KUFURAHIA MAISHA PAMOJA NA KUJUMUIKA NA WENGINE

03/06/2024
03/06/2024

Address

Moshi
23456

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jikwamue Sasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share