Kasherente TV

Kasherente TV Professional youtube coach

14/08/2026

KUMBE MASHABIKI WA SIMBA MUMEFIKIA UKU DAAAH

πŸš¨πŸ’£ 𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š: Klabu ya Young African SC imefanya Maamuzi ya Kumuuza Allan Okello Kwenda AS Far Rabat ya Nchini Morocco Ba...
13/08/2026

πŸš¨πŸ’£ 𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š: Klabu ya Young African SC imefanya Maamuzi ya Kumuuza Allan Okello Kwenda AS Far Rabat ya Nchini Morocco Baada ya kukamilisha Usajili wa Stephen Aziz ki βœ….

AS Far Rabat wametuma Ofa ya Pili yenye Thamani ya Bilioni 3

Taratibu za Allan Okello Kujiunga na AS Far Rabat ziko Mwishoni βŒ›

🚨 TAARIFA YA HUZUNI:Mchezaji wa soka wa Nigeria, Chinedu Ozor, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kuanguka ghafla uwanj...
13/08/2026

🚨 TAARIFA YA HUZUNI:

Mchezaji wa soka wa Nigeria, Chinedu Ozor, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kuanguka ghafla uwanjani wakati wa mchezo wa maandalizi ya msimu mpya.
Tukio hilo limeacha huzuni kubwa miongoni mwa wachezaji, mashabiki na wadau wa soka. Kwa masikitiko makubwa, mchezo ambao ulipaswa kuwa sehemu ya maandalizi ya msimu umegeuka kuwa tukio la majonzi.
πŸ•ŠοΈ Pumzika kwa amani, Chinedu Ozor.
Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi, na awape nguvu familia, ndugu, marafiki na wote walioguswa na msiba huu. πŸ’”πŸ•ŠοΈ

Wakenya wameibua maswali kuhusu kwa nini Charlene Ruto alifunikwa kwa leso wakati wa sherehe yake ya uchumba.Kwa mujibu ...
13/08/2026

Wakenya wameibua maswali kuhusu kwa nini Charlene Ruto alifunikwa kwa leso wakati wa sherehe yake ya uchumba.

Kwa mujibu wa utamaduni, katika hafla k**a hiyo, bibi harusi pamoja na mwenzake hufunikwa kabisa kwa leso. Kisha bwana harusi hupewa jukumu la kumchagua mwenza wake. Endapo atafanya uchaguzi usio sahihi, huombwa kulipa faini.

13/08/2026

Huyu itakua ndio tabia yake ya siku zote, mwanaume aliyekamilika hawezi ongea kwa kujiamini ivyo

13/08/2026

Kweli dunia imeisha, mtoto anapata wapi nguvu ya kumuambia mama yake hivi

MFAHAMU NADIA CHERONO RUTO, BINTI WA RAIS WILLIAM RUTO Nadia Cherono Ruto amezua hisia za wengi baada ya kuonekana kwa f...
09/08/2026

MFAHAMU NADIA CHERONO RUTO, BINTI WA RAIS WILLIAM RUTO

Nadia Cherono Ruto amezua hisia za wengi baada ya kuonekana kwa furaha akihudhuria sherehe ya Koito ya dada yake Charlene Ruto iliyofanyika katika makazi ya familia yao huko Kilgoris, Kenya.

Nadia alitelekezwa akiwa mtoto mchanga, lakini baadaye aliokolewa na kupelekwa katika kituo cha kulea watoto Yatima cha Madre Ippolata Children’s Home huko Machakos, kinachosimamiwa na watawa wa Kanisa Katoliki.

Mwaka 2015, wakati huo akiwa Naibu Rais wa Kenya, William Ruto alitembelea kituo hicho na kuguswa na historia ya maisha ya Nadia. Aliamua kumchukua na kumfanya kuwa sehemu ya familia yake Mtoto wake.

Rais Ruto alimpa jina la Cherono kwa heshima ya mama yake, Mama Sarah Cherono Cheruiyot.
Tangu hapo, Nadia amekulia ndani ya familia ya Ruto na amekuwa akionekana mara kwa mara katika matukio mbalimbali akiwa pamoja na Rais William Ruto na Mama wa Taifa Rachel Ruto.

Leo Nadia ni binti mkubwa na anaendelea kuishi k**a sehemu ya familia ya Ruto ❀️

09/08/2026

Hii ilikua ajali mbaya sana.

Poleni sana wafiwa.

Msanii wa stand-up comedy nchini, Asma Majed, amewaacha mashabiki wake na maswali mengi baada ya kuandika ujumbe mzito k...
09/08/2026

Msanii wa stand-up comedy nchini, Asma Majed, amewaacha mashabiki wake na maswali mengi baada ya kuandika ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram akimtaja msanii mwenzake Said Said.

Katika ujumbe huo, Asma amedai kuwa kuna mtu aliyetaka kumuua Said Said, huku akisema kuwa Said bado ataendelea kuishi kwa kuwa

β€œAllah bado hajaamua kumchukua.”
Asma pia amedai kuwa damu iliyomwagika itamrudia aliyefanya tukio hilo, huku akieleza kuwa alishindwa kupakia video inayohusiana na ujumbe huo kutokana na hofu ya akaunti yake kufungiwa.

πŸ‘‰ β€œUlietaka kumuua Said Said, leo nikwambie SAID ATAISHI. ALLAH bado hajaamua kumchukua bado… na hiyo damu uliomwaga itarudi kwako hata kwa kizazi chako,” aliandika Asma Majed.

Ujumbe huo umeibua sintofahamu kubwa kwa mashabiki, wengi wakijiuliza nini hasa kimetokea kwa Said Said na iwapo kweli ameshambuliwa au kuna tukio jingine linalohusiana na ujumbe huo.

⚠️ Hadi sasa, hakuna taarifa rasmi iliyotolewa hadharani inayoeleza kwa undani tukio hilo.

08/08/2026

Address

Moshi

Telephone

+255656179490

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kasherente TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kasherente TV:

Shortcuts

Share