IMMA NGUMA Clasic

IMMA NGUMA Clasic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IMMA NGUMA Clasic, Business service, Box 167 marangu, Moshi.

02/07/2025
your welcome 0752910878
03/07/2019

your welcome 0752910878

Duh
22/06/2017

Duh

Rais Magufuli: Hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule ktk utawala wangu. Siwezi kufanya kazi ya kusomesha wazazi.

- Inaweza kufika kipindi darasa zima linawatoto, Mwalimu akifundisha wao wanatoka nje kwenda kunyonyesha.

Zaidi, soma => http://bit.ly/2sUqEjO

25/10/2016

Nawapata sana wakali wangu kutoka hapa nyumban tz
kenya nairobi pale pamoja sana wana masela zangu wa kampala bro mkubwa hapo kwa hewa vp kaka yoye kwa yote nawashukuru sana kwa support yenu.nipe dili masela ili tumake do simnajua tena me ndo yule mkal wa circuit za umeme electrical imelala kinomal ni ww tu msela unipe madili nifanye maajabu yangu ama nn wadau nawakubali sana pamoja tutafika.

I deal with this
14/08/2016

I deal with this

27/07/2016

Hamjambo wadau napenda kuwatakia jion njema maana nawapenda sana.PIA KWA YEYOTE AMBAE ANAHITAJI FUNDI UMEME KWA KAZI YEYOTE INAYOHUSU ELECTRICITY MIMI NIMTAALAMU WA MAMBO YA UMEME NAFANYA WAYARING ZAKISASA PIA NAFUNGA MASHINE ZA KILA AINA MOTORS,PIAH NATENGENEZA MAJENERETA NA MOTOR FRIJI NA MAJIKO YA UMEME YALIYOUNGUA AU KUPIGA SHoTI.K**A UKINIHITAJI PIGA NAMBA0752910878 UNAMJENGO WAKO UNAHITAJI WIRING YA KISASA NICHEKI ANY TIME.asanten wadau pamoja sana

16/06/2016

Movement for change natoa pole zangu za dhat kwa wale sim zao zitazimwa leo usiku.jipen moyo ndugu hakuna makuu yasiyokuwa na mwisho nadhan leo itakuwa ndo mwisho wa sim fake kwa hapa kwetu tz njia ya kukwepa labda uhamie zimbabwe na je life la pale utaliweza all in all tukubaliane tu na huyu magufuli.

05/11/2015

NAWASALIMU WAPENZI WASOMAJI WA PAGE HII.ILA NAWASIHI MPENDANE MSHIRIKIANE NA MKUBALIANE NA MATOKEO YA RAHIS MLOMPATA NA MUWE TAYARI KUFANYA KAZI K**A ALIVOAIDI KWAMBA SAIV NI KAZI 2 ILI TUIJENGE TANZANIA BORA YENYE UCHUMI WA JUU NA DAIMA TUUKWEPE UMASKIN ULIOKIDHIRI KATIKA JAMII ZETU.

Address

Box 167 Marangu
Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IMMA NGUMA Clasic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share