Emmy-Redy products

Call Directions Contact the business

Emmy-Redy products Emmy-redy products huzalisha viungo bora vya chakula (multipurpose food masala) ambacho hutumika kupikia chakula chochote k**a nyama, samaki etc.

Viungo vya pilau na chai kutokana na mbegu ya parachichi na vimethibitishwa na TBS

Chai ni kiburudisho, kinywaji na tiba kwa mwili wako. Tea masala yenye unga wa mbegu ya parachihi huhakikisha unakukinga...
05/01/2024

Chai ni kiburudisho, kinywaji na tiba kwa mwili wako. Tea masala yenye unga wa mbegu ya parachihi huhakikisha unakukinga na magonjwa na kuuponya mwili wako

01/01/2024
Unga wa mbegu ya parachihi una faida kubwa sana kwa mama K kwa sababu una vitamin E, potassium,  Omega 3fatty acid na Fo...
30/12/2023

Unga wa mbegu ya parachihi una faida kubwa sana kwa mama K kwa sababu una vitamin E, potassium, Omega 3fatty acid na Folic acid ambavyo husaidia ukuaji mzuri wa mtoto aliyeko tumboni k**a kuimarisha mifupa, kuzuia mgongo wazi, ukuaji mzuri wa ubongo na hata mama mwenyewe.

Faida za kutumia chai yenye mchanganyiko wa mbegu ya parachichi
30/12/2023

Faida za kutumia chai yenye mchanganyiko wa mbegu ya parachichi

Kuna faida kubwa mama K kuja tuna la parachichi wakati wa ujauzito. Lakini ukumbuke ni 30% tu huliwa hivyo 70% huikosa. ...
29/12/2023

Kuna faida kubwa mama K kuja tuna la parachichi wakati wa ujauzito. Lakini ukumbuke ni 30% tu huliwa hivyo 70% huikosa. Emmy-redy products tumekurahisishia kukutengenezea tea masala na unga wa mbegu ya parachichi ambao hukupatia full package ya 70%

Emmy-redy products
25/12/2023

Emmy-redy products

Merry Christmas and Happy New year 2024.
24/12/2023

Merry Christmas and Happy New year 2024.

Najua unajua ila ninakukumbusha tuUnapokula tunda la parachichi unapata 30% ya virutubisho lakini 70% ya virutubisho vip...
22/12/2023

Najua unajua ila ninakukumbusha tu

Unapokula tunda la parachichi unapata 30% ya virutubisho lakini 70% ya virutubisho vipo kwenye mbegu ya parachihi.

Kwa kuzingatia umuhimu wa virutubisho hivyo Emmy-redy products tumekuandalia unga wa mbegu ya parachihi kuhakikisha unapata Ile 70% unayoikosa.

Unaweza ukauliza kwa nini uipate hii 70% ni
1. Hukusaidia kuondoa sumu mwilini
2. Kuupa mwili nguvu
3. Ukuaji mzuri wa ngozi na nywele
4. Ukuaji mzuri wa ubongo
5. Huweka Sawa presha, sukari na mfumo wa mwili kwa ujumla
7. Hupambanana na magonjwa ya manjano
8. Hupambana na magonjwa ya moyo na Hali ya kupata stroke
9. Huondoa gesi tumboni na vidonda vya tumbo
10. Husaidia mmeng"enyo wa chakula tumboni
11. Husaidia kuondoa vimelea vya saratani
12. HUIMQRISHA MFUMO WA UZAZJ

JUST CALL/SMS 0753072862

Address

Kawajense
Mpanda

Telephone

+255753072862

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emmy-Redy products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Emmy-Redy products:

Shortcuts

Share