Mafunzo Ya Ujasiriamali Sunrise online

Mafunzo Ya Ujasiriamali Sunrise  online SUNRISE UJASIRIAMALI NI AJIRA NI kampuni inayotoa elimu ya ujasiriamali kwa kutumia mitandao ya kijam

pesa ya shukrani kutoka kwa wanafunzi wangu ahsante ni sana Fasad Salanga Wa Sunrise
01/08/2024

pesa ya shukrani kutoka kwa wanafunzi wangu ahsante ni sana
Fasad Salanga Wa Sunrise

NIliwasaidia wajasiriamali zaidi ya 1500 kuwafundisha namna sahihi ya kufanya biashara ya pilipili ya biashara na iweze ...
16/06/2024

NIliwasaidia wajasiriamali zaidi ya 1500 kuwafundisha namna sahihi ya kufanya biashara ya pilipili ya biashara na iweze kukaa muda zaidi ya mwaka mmoja

Naitwa MWALIMU SALANGA CERTIFIED TRAINER & Consultant by Sido

Nimewafundisha wajasiriamali wengi sana kuhusu utengenezaji wa pilipili ya kibaishara isiharibika kukatika wala gesi

Nimekuandalia darasa la Whatsapp ambalo utajifunza kwa njia ya
✅video
✅audio
✅ maelezo (notes)

Utajifunza mambo yafuatayo
1.usindikaji ni nini?
2.kanuni Bora za usindikaji
3.Namna ya kuifanya pilipili isiharibike ikae muda mrefu Hadi mwaka mzima bila kuharibika wala kupoteza ladha

3.Utajifunza pilipili ya embe
4.Utajifunza pilipili ya karoti
5.Utajifunza pilipili ya mbilimbi
6.Utajifunza pilipili ya embe
7.utajifunza pilipili ya parachichi

8.Namna utajifunza namna ya kutengeneza pilipili pendwa mtaani yaani sweet chill ,hot chill , na smoked chill sauce

9.Utajifunza kutengeneza pilipili za kuuza Banda za chips zinazotumia maji

10.Utajifunza Pilau masala
11.Utajifunza Tea masala
12.Utajifunza birian masala
13.Utajifunza Beef masala
14.Utajifunza Fish masala
15.Utajifunza curry powder

15.Utajifunza chicken masala

16.utajifunza pilipili ya matone

17.siagi ya karanga

18.Garlic paste

19.Ginger paste

20.Garlic & Ginger paste

Masomo yote haya utasoma humo pia

Tutakupatia bonus za masomo k**a vile
✡️ Utajifunza namna ya kutengeneza tomato sauce
✡️ Utajifunza namna ya kupaki kwenye vifungashio na kuweka lebo na sealed

✡️ Utaunganishwa na watengeneza stika na wauza vifungashio wa jumla na reja reja

✡️ Utafundishwa maujanja mbalimbali yanayohusu biashara ya pilipili kutegemea na mkoa tofauti tofauti
✡️ Utafundishwa Siri tatu za biashara ya pilipili

*Kuangalia mwenedo wa darasa letu angalia video hii*
👇👇👇
https://youtu.be/pPDcLzCEeUg

Kwa maelezo zaidi tupigie
0682456819 (Whatsap
Mwalimu SALANGA

*ADA YA DARASA LA USINDIKAJI*

Ada Halisi ya Masomo yote haya ni TSH *100,000/=*

📚Leo nitakupa ofa utalipia *TSH.50,000/=*
Ya

Karibu sana kwenye darasa letu la Namna ya kufungua kiwanda kidogo Cha sabuni za mche ,magadi , laundry soap  na sabuni ...
16/06/2024

Karibu sana kwenye darasa letu la Namna ya kufungua kiwanda kidogo Cha sabuni za mche ,magadi , laundry soap na sabuni za mche multipurpose

Katika darasa hili utajifunza mambo mbalimbali k**a vile.
1.Elimu ya mafuta na aina zake
2.namna ya kutengeneza mold na vibao vya kukatia
3.vifaa vya muhimu vya kutengeneza sabuni
4.Namna ya kutengeneza
5.namna ya kukata sabuni
6.namna sahihi ya kutumia fillers na bulking agent
7.siri za sabuni na misingi ya yake
8.Namna ya kuanzisha kiwanda kidogo Cha sabuni
9.Upatikanajji wa malighafi na Siri zake
10.Mtaji wa biashara na faida zake

Ada ya darasa hili sh.100000
Ila Leo nitakupa ofa sh.50000 karibu snaa kujifunza kwetu

Ukilipia leo lipia sh.30000

Tuma kwa namba hiii
*NAMBA ZA MALIPO*

*0652875539*
*(Tigo pesa)*

*0682456819*
*Airtelmoney*

*0769316514*
*(m pesa)*

AKAUNTI NAMBA *CRDB* : *0152648496200*

*NMB*

*24210031299*

JINA : *FASAD MOHAMED SALANGA*

*NB: UKISHALIPIA TOA TAARIFA MAPEMA ILI UPEWE HUDUMA KWA WAKATI*

Ukisha lipia bofya link hii nitaapprove k**a haujalipia usibofye sitaapprove

https://chat.whatsapp.com/FURduLvHU2n2eXKY87KwGF

Mwalimu Awadhi Aman Awadhi Aman Fasadi Aman Salanga

SUNRISE ni KAMPUNI yenye MKUFUNZI aliyebobea katika mafunzo ya UJASIRIAMALI ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali Karibu ...
16/06/2024

SUNRISE ni KAMPUNI yenye MKUFUNZI aliyebobea katika mafunzo ya UJASIRIAMALI ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali

Karibu leo darasani kwangu ujifunze kupika UBUYU WA ZANZIBAR kupitia simu namba
0682456819

Au bofya link 👇👇👇
https://wa.me/message/AWUN5AFD3RYXG1

Kwa masomo ya BURE yanapatikana TELEGRAM Search ujasiriamali bure
Au bofya link hii
https://t.me/ujasiriamalibure

"KUMBUKA UJASIRILIAMALI NI AJIRA NA UNALIPA ANZA SASA"

Jiunge leo na madarasa yangu ya whatsapp ili uweze kutimiza NDOTO zako Usikae nyumbani KIHASARA wakati FURSA ipo MIKONON...
16/06/2024

Jiunge leo na madarasa yangu ya whatsapp ili uweze kutimiza NDOTO zako

Usikae nyumbani KIHASARA wakati FURSA ipo MIKONONI mwako

Karibu SUNRISE ujifunze jinsi ya kupika UBUYU WA ZANZIBAR kupitia simu namba
0682456819

Au bofya link 👇👇👇
https://wa.me/message/AWUN5AFD3RYXG1

Kwa masomo ya BURE yanapatikana TELEGRAM Search ujasiriamali bure
Au bofya link hii
https://t.me/ujasiriamalibure

"KUMBUKA UJASIRILIAMALI NI AJIRA NA UNALIPA ANZA SASA"

Jiunge na SUNRISE leo ili UPATE kilicho BORA ZAIDI kupitia MADARASA yangu ya WHATSAPP Wengi WAMEJIAJIRI sasa ni zamu yak...
16/06/2024

Jiunge na SUNRISE leo ili UPATE kilicho BORA ZAIDI kupitia MADARASA yangu ya WHATSAPP
Wengi WAMEJIAJIRI sasa ni zamu yako ya kumiliki BIASHARA yako kupitia simu namba
0682456819

Au bofya link 👇👇👇
https://wa.me/message/AWUN5AFD3RYXG1

Kwa masomo ya BURE yanapatikana TELEGRAM Search ujasiriamali bure
Au bofya link hii
https://t.me/ujasiriamalibure

"KUMBUKA UJASIRIAMALI NI AJIRA NA UNALIPA ANZA SASA"

Je unahitaji kuwa MJASIRIAMALI ili ujitengenezee KIPATO tofauti na MSHAHARA wako Karibu SUNRISE nawafundisha WAJASIRIAMA...
16/06/2024

Je unahitaji kuwa MJASIRIAMALI ili ujitengenezee KIPATO tofauti na MSHAHARA wako

Karibu SUNRISE nawafundisha WAJASIRIAMALI jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kupitia mtandao wa whatsapp

Jiunge nami ujifunze jinsi ya kutengeneza SABUNI kupitia simu namba
0682456819

Au bofya link 👇👇👇
https://wa.me/message/AWUN5AFD3RYXG1

Kwa masomo ya BURE yanapatikana TELEGRAM Search ujasiriamali bure
Au bofya link hii
https://t.me/ujasiriamalibure

"KUMBUKA UJASIRILIAMALI NI AJIRA NA UNALIPA ANZA SASA"

Alhamdulillah naendelea kusambaza ELIMU ya UJASIRIAMALINashukuru sana kuona WATU wenye uthubutu wanapiga hatuaNatoa mafu...
16/06/2024

Alhamdulillah naendelea kusambaza ELIMU ya UJASIRIAMALI

Nashukuru sana kuona WATU wenye uthubutu wanapiga hatua

Natoa mafunzo ya ujasiriamali kwa njia ya mtandao wa whatsapp

Karibu kwenye darasa langu la whatsapp ujifunze kupitia simu namba
0682456819

Au bofya link 👇👇👇
https://wa.me/message/AWUN5AFD3RYXG1

Kwa masomo ya BURE yanapatikana TELEGRAM Search ujasiriamali bure
Au bofya link hii
https://t.me/ujasiriamalibure

"KUMBUKA UJASIRIAMALI NI AJIRA NA UNALIPA ANZA SASA"

SUNRISE inawafanya WATU wanafinikiwe katika JAMBO ambalo wenyewe HAWAKUAMINI k**a watawezaHOFU yako ya kushindwa itaisha...
16/06/2024

SUNRISE inawafanya WATU wanafinikiwe katika JAMBO ambalo wenyewe HAWAKUAMINI k**a wataweza

HOFU yako ya kushindwa itaisha ukiwa SUNRISE karibu darasani kwangu ujifunze jinsi ya KUSINDIKA ACHALI kupitia simu namba
0682456819

Au bofya link 👇👇👇
https://wa.me/message/AWUN5AFD3RYXG1

Kwa masomo ya BURE yanapatikana TELEGRAM Search ujasiriamali bure
Au bofya link hii
https://t.me/ujasiriamalibure

"KUMBUKA UJASIRILIAMALI NI AJIRA NA UNALIPA ANZA SASA"

Wengi wanapata HAMASA ya kujiunga na MASOMO yangu ya UJASIRIAMALI Lakini kutokana na HOFU waliyonayo NDOTO zao zinazimik...
16/06/2024

Wengi wanapata HAMASA ya kujiunga na MASOMO yangu ya UJASIRIAMALI

Lakini kutokana na HOFU waliyonayo NDOTO zao zinazimika bila MAFANIKIO

Pambania kile unachokiamini na kujipa MOYO wa IMANI jiunge na SUNRISE ujifunze USINDIKAJI kupitia simu namba
0682456819

Au bofya link 👇👇👇
https://wa.me/message/AWUN5AFD3RYXG1

Kwa masomo ya BURE yanapatikana TELEGRAM Search ujasiriamali bure
Au bofya link hii
https://t.me/ujasiriamalibure

"KUMBUKA UJASIRILIAMALI NI AJIRA NA UNALIPA ANZA SASA"

HOFU inakwamisha sana SAFARI za MAPAMBANO ya WATU Toa HOFU kwenye SAFARI yako na jipe IMANI uku ukimtegemea MUNGU utafik...
16/06/2024

HOFU inakwamisha sana SAFARI za MAPAMBANO ya WATU

Toa HOFU kwenye SAFARI yako na jipe IMANI uku ukimtegemea MUNGU utafikia MALENGO yako

NIA na UTHUBUTU ndo SILAHA pekee ya MAFANIKIO yetu SOTE

Karibu SUNRISE ujifunze nami jinsi ya kutengeneza SABUNI ZA MAJI kupitia simu namba
0682456819

Au bofya link 👇👇👇
https://wa.me/message/AWUN5AFD3RYXG1

Kwa masomo ya BURE yanapatikana TELEGRAM Search ujasiriamali bure
Au bofya link hii
https://t.me/ujasiriamalibure

"KUMBUKA UJASIRILIAMALI NI AJIRA NA UNALIPA ANZA SASA"

Address

Mtwara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mafunzo Ya Ujasiriamali Sunrise online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mafunzo Ya Ujasiriamali Sunrise online:

Share