MAKE MONEY

MAKE MONEY Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MAKE MONEY, Business service, BOX 500, Muansa.

Make money through fishing activities in Lake Victoria,this will be one step ahead to eradicate poverty for all people or societies around the vicinity area of Lake Victoria.

24/08/2018

*KUZUNGUKWA NA NGAO YA MUNGU

Ukaniite siku ya mateso; Nitakuokoa, na wewe utanitukuza. Zaburi 50:15.

đź“–Majaribio yanapoinuka ambayo yanaoelekea kutoku-elezeka, hatupaswi kuruhusu amani yetu kuharibiwa. Hata tutendewe isivyo haki kiasi gani, hebu hasira kali isiinuke. Kwa kuendekeza roho ya kulipiza kisasi tunajidhuru sisi wenyewe. Tunaharibu imani yetu wenyewe kwa Mungu, na kumhuzunisha Roho Mtakatifu. Kando yetu yuko Shahidi, Mjumbe wa mbinguni, ambaye atainua kwa ajili yetu bendera dhidi ya adui. Atatufungia ndani kwa miale angavu ya Jua la Haki. Shetani hawezi kupenya ndani ya miale hii. Hawezi kuipita ngao hii ya nuru takatifu.

đź“–Wakati dunia ikisonga mbele katika uovu, asiwepo hata mmoja kati yetu atakayejidanganya kwamba hatutakuwa na magumu. Bali ni magumu haya haya ndiyo yanayotufikisha katika chumba cha uwapo wa Mungu. Tunaweza kutafuta ushauri wa Yeye asiye na kikomo katika hekima.

📖Bwana anasema, “Ukaniite siku ya mateso” (Zaburi 50:15). Anatualika kumpelekea matatizo yetu pamoja na mahitaji ya lazima, pamoja na hitaji letu la msaada wa Mungu. Anatuambia omba haraka. Mara tu tatizo linapoinuka, tunapaswa kumtolea maombi yetu ya uaminifu na ya dhati. Kwa kuombaomba sana kwetu tunatoa ushahidi wa imani yetu kubwa kwa Mungu. Hisi ya uhitaji wetu hutuongoza kuomba kwa bidii, na Baba yetu wa Mbinguni anaguswa na kusihi kwetu. Mara nyingi wale wanaoshutumiwa au kuteswa kwa ajili ya imani yao wanajaribiwa kufikiri kwamba wameachwa na Mungu. Katika macho ya wanadamu wako upande wa wachache. Katika mwonekano wote adui zao wanaonekana kushinda juu yao. Lakini hebu na wasikiuke dhamiri yao. Yeye aliyeteseka kwa niaba yao, na kubeba huzuni na mateso yao, hajawaacha.

📖Watoto wa Mungu hawajaachwa peke yao na kuwa bila ulinzi. Maombi hugusa mkono wa Mwenyezi. Maombi “hushinda milki za wafalme, kufunga vinywa vya simba, kuzima nguvu ya moto” – Tutaelewa kinachomaanishwa pale tutakaposikia taarifa za wafia dini ambao walikufa kwa ajili ya imani yao- “walikimbiza majeshi ya wageni” (Waebrania 11:33, 34). - Christ’s Object Lessons, uk. 171, 172.

*MUNGU AKUBARIKI UNAPOTAFAKARI*

16/07/2018
04/07/2018

Waskie wataftia tumbo

20/01/2017

What better to get b4 another btn money and plans

26/08/2016

VP PATO LA TAIFA AWAMU YA TANO,NA AWAMU ZLZOPTA,JE LNAKUWA AU LNAPOROMOKA?

10/10/2015

How 2fight poverty

10/10/2015

Hw much capital can initiate bznes?

18/12/2014

TANZANIAN DONT LIKE MONEY COZ LIKE CCM

04/12/2014

THROUGH ENTERPREURSHIP CAN I ACHIEVE LIFE?

04/12/2014

GIVE OUT ANY TECHNIQUES THAT CAN GENERATE MORE MONEY

Address

BOX 500
Muansa
200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAKE MONEY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share