29/08/2017
Je umepata Habari kua;
Kuanzia Tarehe 1 Septemba Mabadiliko ya bei yatakua hivi:
1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!
Fahamu namna ya kufanya malipo ya kifurushi kwa njia ya Simu:
M-pesa
1.*150*00 #
2.Chagua namba 4 "Lipia Bill"
3.Chagua namba 3 "Chagua kwenye orodha"
4.Chagua namba 1"Kin'gamuzi"
5.Chagua namba 1"DStv"
6.Chagua namba 1"Malipo ya mwezi"
7. Ingiza tarakim 10 za mwanzo zilizo kwenye Kadi yako
8.Chagua kifurushi unachohitaji
9.Ingiza namba yako ya Siri
10.Bonyeza 1 Kuthibitisha
Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wa malipo
Tigo pesa
1.* 150*01 #
2.Chagua namba 4"Lipia bill"
3.Chagua 2 kupata majina ya kampuni
4 Chagua 5 "king'amuzi"
5.Chagua 1"Dstv"
6. Ingiza tarakim 10 za mwanzo zilizo kwenye Kadi yako
7.Ingiza kiasi
8.Ingiza namba ya siri
9. Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wa malipo
Airtel Money
1.*150*60 #
2.Chagua namba 5"Lipia bill"
3.Chagua namba 2 "Chagua kwenye orodha"
4 Chagua 1 "king'amuzi"
5.Chagua 1"Dstv"
6.Ingiza kiasi
7.Ingiza tarakim 10 za mwanzo zilizo kwenye Kadi yako
8.Ingiza namba ya siri
9. Utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wa malipo
https://www.dstv.com/en-tz/news/multichoice-yatangaza-neema-kwa-wateja-wa-dstv-20170829