HB All Entertainer from HB

27/08/2017
MWANAHABARI MTOTO NASMA SADICK
17/04/2017

MWANAHABARI MTOTO NASMA SADICK

Naitwa Nasma Sadick Mwanahabari Mtoto kutoka Mwanza Tanzania, ujumbe wangu kuhusu sikuku ya pasaka, naiyomba jamii hiimarishe ulinzi wa watoto barabarani na sehemu za burudani au sehemu za kuchezea watoto.

06/03/2017

MOLAA NINGEKUWA NA UWEZO NINGEWAONYESHA WANAVYOFIKIRIA,NAULIZA YUPI MWANADAMU ALIEKAMIKA NA YUPI ALIEZIDI WALIOUBWA?TAFAKURI.

2016
31/01/2017

2016

Usikose kutazama kipindi cha The children's Planet,STAR KIDS kila siku za Ahamis,Jumamosi,Jumapili Asubuh 3:00-4:00
02/05/2016

Usikose kutazama kipindi cha The children's Planet,STAR KIDS kila siku za Ahamis,Jumamosi,Jumapili Asubuh 3:00-4:00

Tunafuraha kuwajulisha kuwa programu ya Mtandao wa wanahabari watoto Tanzania imepanuka zaidi na kuanza kurusha hewani kipindi kipya kabisa katika kituo cha televisheni cha Star TV kupitia chanel ya Star Kids. Ni kipindi cha "Children's Planet" kila siku ya jumatano saa 5:00-5:30 asubuhi na kurudiwa kila siku ya Alhamis saa 10:00-10:30 jioni, Jumamosi saa 10:30-11:00 jioni na Jumapili saa 7:30-8:00 mchana. Usikose kipindi hiki kinacholetwa na wanahabari watoto toka Mwanza kila wiki.

We are pleased to inform you that the Young Reporters Network program has expanded to airing a new children's TV show on Star TV through Star Kids channel. "Children's Planet" produced by young reporters from Mwanza airs every Wednesday 11-11:30am and is repeated every Thursday 4-4:30pm, Saturday 4:30-5pm and Sunday 1:30-2pm. Don't miss this program every week!

Photo credits: MYCN/2015/Idd Sungita

02/05/2016

Katika mkutano wa umoja wa mataifa NY Marekani.

Live TBC
02/05/2016

Live TBC

"Nlikuwa na ndoto ya kuonana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na nlifurahi sana nlipokutana naye...nawaomba viongozi wa Tanzania washirikiane na wananchi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa sababu waathirika wakubwa ni sisi watoto" Getrude Clement akiwa TBC1 live.

27/03/2016

HB inawatakia pasaka njema na usherekeaji mwema,Tunaweza cheza pamoja k**a hiviiiiiiiiii...

Address

Mwamza
6491

Telephone

+255765274405

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share