Duka ujasiriamali

Duka ujasiriamali DMKIM'S SURFACTANTS ENTERPRISES.

Wauzaji wa chemicals zakutengeneza |bar soap|liquid soap|hand wash|shampoo|petroleum jelly|batiki|candles|disinfectant|tiles cleaner|stain removal|

Kwa mahitaji ya kemikali zinazotumika kwenyeutengenezaji wa sabuni za maji, Ushauri, kujifunzawasiliana nasi: 0768052308...
21/05/2026

Kwa mahitaji ya kemikali zinazotumika kwenye
utengenezaji wa sabuni za maji, Ushauri, kujifunza

wasiliana nasi: 0768052308

Tunapatikana: MWANZA

ฬ‡

16/05/2026

๐—–๐—ฎ๐˜‚๐˜€๐˜๐—ถ๐—ฐ ๐˜€๐—ผ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ณ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐˜€

Stock available: 25kg bag

Price: 65,000/=

๐—ฆ๐—ข๐——๐—” ๐—”๐—ฆ๐—› ๐—Ÿ๐—œ๐—š๐—›๐—ง (๐—ฆ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ๐˜‚๐—บ ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฏ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฒ)...Hii ni moja ya malighafi muhimu kwenye utengenezaji wa sabuni na detergents.โ€ข Husaid...
09/05/2026

๐—ฆ๐—ข๐——๐—” ๐—”๐—ฆ๐—› ๐—Ÿ๐—œ๐—š๐—›๐—ง (๐—ฆ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ๐˜‚๐—บ ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฏ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฒ)...

Hii ni moja ya malighafi muhimu kwenye utengenezaji wa sabuni na detergents.

โ€ข Husaidia kuongeza nguvu ya kusafisha
โ€ข Hulainisha maji na kuongeza povu
โ€ข Huboresha uwezo wa sabuni kuondoa mafuta na uchafu
โ€ข Husaidia kudhibiti pH kwenye formulation
โ€ข Hupunguza matumizi ya kemikali ghali kwenye uzalishaji

Inatumika sana kwenye:
โœ” Powder detergents
โœ” Liquid soap
โœ” Laundry soap
โœ” Industrial cleaning products

Kumbuk: Ubora wa bidhaa huanzia kwenye malighafi sahihi.

Jipatie Sodash yenye ubora toka kwetu.

Wasiliana nasi: simu/WhatsApp +255 768052308

Tunapatikana: MABATINI MWANZA

Umewahi kujiuliza ni thickener gani nzuri zaidi kwa sabuni za maji clear?K**a umewahi kujiuliza hilo swali basi HPMC (Hy...
28/04/2026

Umewahi kujiuliza ni thickener gani nzuri zaidi kwa sabuni za maji clear?

K**a umewahi kujiuliza hilo swali basi HPMC (Hydroxypropyl Methylcellulose) ndiyo chaguo bora zaidi...

Na hizi ndizo sababu:
โ—พInatoa sabuni safi (clear) isiyo na ukungu
โ—พInaendana vizuri na rangi, harufu, na preservatives
โ—พInaongeza uzito bila kufanya sabuni kuwa nzito kupita kiasi
โ—พHaibadilishi rangi wala texture ya bidhaa
โ—พHaishambuliwi kirahisi na vimelea

Ikiwa unataka kutengeneza sabuni ya maji iliyo clear
(safi k**a glasi), chagua HPMC.

Ni thickener ya kisasa, ya kuaminika, na inayotumika kwenye bidhaa za daraja la juu.

Kwa mahitaji ya HPMC

Wasiliana nasi simu/whatsapp: 0768052308
Bei: 350,000/= 25 kg bag

Tunapatikana: MABATINI , MWANZA

NOTE: Tunatuma mikoa yote

Unatumia malighafi gani kutengeneza bidhaa zako? ๐Ÿค”Raw materials feki zinaweza kukuangusha bila wewe kujua โ€” zinaathiri u...
20/04/2026

Unatumia malighafi gani kutengeneza bidhaa zako? ๐Ÿค”

Raw materials feki zinaweza kukuangusha bila wewe kujua โ€” zinaathiri ubora, usalama wa ngozi, na hata biashara yako.

โœ”๏ธ Bidhaa haifanyi kazi vizuri
โœ”๏ธ Inaweza kuharibu ngozi ya mteja
โœ”๏ธ Unapoteza uaminifu wa soko

Usikimbilie bei rahisi, chagua ubora.
Biashara bora huanza na malighafi sahihi.

๐Ÿฐ. ๐—ฆ๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ฎWatu wengi huamini kuwa natural = safe 100%.๐—จ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ:โ–ช๏ธEssential oils zinaweza kusa...
19/04/2026

๐Ÿฐ. ๐—ฆ๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ฎ
Watu wengi huamini kuwa natural = safe 100%.
๐—จ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ:
โ–ช๏ธEssential oils zinaweza kusababisha irritation au allergy
โ–ช๏ธBaadhi ya herbs zina compounds zenye nguvu (bioactive)
๐— ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ผ: Tea tree oil au clove oil zinaweza kuwa harsh kwa ngozi sensitive
๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐—ณ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฒ๐˜„:
Safety inategemea dosage na formulation, siyo asili ya ingredient pekee.

๐Ÿฑ. ๐—ฅ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐˜‚๐—ณ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜‚๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ถ
Hii ni perception inayochangiwa na aesthetics.
๐—จ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ:
โ–ช๏ธRangi nyingi huja kutoka additives (clays, colorants)
โ–ช๏ธHarufu hutokana na essential oils au fragrance oils
๐—”๐˜๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ:
โ–ช๏ธHarufu kali inaweza kuwa irritant
โ–ช๏ธHaionyeshi effectiveness ya sabuni

๐— ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ: Natural herbal soap inaweza kuwa bidhaa bora ikiwa imetengenezwa kwa uelewa wa kisayansi na mbinu sahihi za formulation. Hata hivyo, kuamini myths k**a โ€œnatural ni bora kwa kila mtuโ€ au โ€œzaidi ni boraโ€ ...

kunaweza kuathiri ubora wa bidhaa na hata afya ya mtumiaji.

Kwa mtazamo wa kitaalamu na kibiashara, mafanikio yanatokana na data-driven formulation, siyo dhana au mitazamo ya soko.

๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—ง ๐—œ...Natural herbal soap imekuwa maarufu sana kutokana na ongezeko la uelewa wa watumiaji kuhusu viambato vya asili ...
17/04/2026

๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—ง ๐—œ...

Natural herbal soap imekuwa maarufu sana kutokana na ongezeko la uelewa wa watumiaji kuhusu viambato vya asili na afya ya ngozi. Hata hivyo, umaarufu huu umeambatana na imani nyingi zisizo sahihi (myths) ambazo zinaweza kupotosha watumiaji na hata wazalishaji wapya.

Ili kujenga bidhaa bora na brand yenye kuaminika, ni muhimu kutofautisha kati ya ukweli wa kisayansi na dhana zisizo na msingi.

Hizi ndizo common myth kuhusu Natural herbal soap:

๐Ÿญ. ๐—ก๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—น ๐˜€๐—ผ๐—ฎ๐—ฝ ๐—ป๐—ถ ๐—ฏ๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜‡๐—ถ
Hii ni dhana iliyoenea sana lakini si sahihi kitaalamu.
๐—จ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ:
โ–ช๏ธSabuni zote zinazotokana na saponification
โ–ช๏ธhuwa na pH ya juu (alkaline), kwa kawaida kati ya 8โ€“10
โ–ช๏ธNgozi ya binadamu ina pH ya takriban 5.5 (acidic barrier)
๐—”๐˜๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ:
Sabuniโ€”even ikiwa ni ya asiliโ€”inaweza kukausha au kuharibu skin barrier, hasa kwa ngozi nyeti au yenye matatizo k**a eczema
๐—ก๐—ผ๐˜๐—ฒ:
Ubora wa sabuni hauamuliwi tu na kuwa โ€œnatural,โ€ bali na jinsi formulation ilivyobalance (mfano: superfatting, uchaguzi wa oils).

๐Ÿฎ. ๐—ž๐—ฎ๐—ฑ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ต๐—ฒ๐—ฟ๐—ฏ๐˜€ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ, ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ฒ๐—ณ๐—ณ๐—ฒ๐—ฐ๐˜๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ
Hii ni assumption ya kawaida kwa beginners.
๐—จ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ:
โ–ช๏ธSabuni ni wash-off productโ€”inakaa kwenye ngozi kwa muda mfupi sana
โ–ช๏ธHerbs nyingi hazina muda wa kutosha kutoa therapeutic benefits
๐—”๐˜๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ:
โ–ช๏ธOverloading ya herbs inaweza kuathiri texture ya sabuni
โ–ช๏ธInaweza kusababisha microbial instability au rancidity

๐Ÿฏ. ๐—ก๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—น ๐˜€๐—ผ๐—ฎ๐—ฝ ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐—ฒ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ
Hii ni myth inayotokana na tafsiri potofu ya neno โ€œchemicalโ€.
๐—จ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ:
โ–ช๏ธKila kitu ni kemikaliโ€”mafuta, maji, hata herbs
โ–ช๏ธSabuni yenyewe ni matokeo ya reaction ya kemikali (saponification)
๐—ก๐—ผ๐˜๐—ฒ: โ€œChemical-freeโ€ siyo neno la kisayansi, bali ni marketing language
..................................................................................................
๐—œ๐—ป๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฟ๐˜ ๐—œ๐—œ

Makosa 5 ya Beginners Katika Kutengeneza Natural Herbal Soap...Utengenezaji wa sabuni za asili unahitaji uelewa wa kemia...
13/04/2026

Makosa 5 ya Beginners Katika Kutengeneza Natural Herbal Soap...

Utengenezaji wa sabuni za asili unahitaji uelewa wa kemia ya saponification pamoja na mbinu sahihi za formulation. Beginners wengi hukosea kwenye misingi hii na kuathiri ubora wa bidhaa.

1. Uwiano mbaya wa mafuta na lye
Kutokokotoa kwa usahihi husababisha sabuni kuwa kali au dhaifu. Tumia lye calculator kila wakati au tumia tested formula

2. Kutokujua kazi ya kila mafuta
Mafuta tofauti yana roles tofauti. Kukosa balance husababisha sabuni kukosa povu au kukausha ngozi.

3. Kutumia herbs bila maandalizi sahihi
Herbs mbichi husababisha mold. Tumia zilizokaushwa au fanya infusion ili kuongeza stability.

4. Udhibiti mbaya wa joto
Temperature isiposimamiwa vizuri huathiri texture na quality ya sabuni. Range salama ni 35โ€“45ยฐC.

5. Kukosa curing ya kutosha
Sabuni inahitaji wiki 4โ€“6 kuwa tayari kwa matumizi. Kutumia mapema husababisha kuwa harsh na isiyodumu.

Ubora wa natural herbal soap unatokana na mchanganyiko wa kemia sahihi, uchaguzi wa malighafi, na process control.

Kuepuka makosa haya huongeza ubora na uwezo wa bidhaa kushindana sokoni.

Watu wengi hutumia pesa nyingi kwenye bidhaa za skincare wakidhani ndizo suluhisho la ngozi nzuri...Lakini, kuna jambo m...
01/04/2026

Watu wengi hutumia pesa nyingi kwenye bidhaa za skincare wakidhani ndizo suluhisho la ngozi nzuri...

Lakini, kuna jambo moja rahisi ambalo mara nyingi hupuuzwaโ€”usingizi.

Kutolala vya kutosha sio tu kunafanya uonekane mchovu, bali kunaharibu ngozi yako kimfumo kuanzia ndani kabisa ya mwili.

๐—›๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ถ "๐˜๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜" ๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐—ฑ๐—ผ๐˜‡๐—ถ:

๐Ÿญ. ๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐—š๐—˜๐—ญ๐—˜๐—ž๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—ข๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—ฆ๐—ข๐—ก๐—š๐—ข (๐—ฐ๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ถ๐˜€๐—ผ๐—น)
Unapokosa usingizi, mwili huingia kwenye hali ya stress na kuongeza cortisol. Hii hupelekea:
โ–ช๏ธKuvunjika kwa collagen
โ–ช๏ธNgozi kuwa dhaifu na kupoteza uimara
โ–ช๏ธKuongezeka kwa mafuta usoni (sebum), hivyo kusababisha chunusi

๐Ÿฎ. ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—จ๐—ญ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—”๐—๐—œ ๐—ช๐—” ๐—–๐—ข๐—Ÿ๐—Ÿ๐—”๐—š๐—˜๐—ก
Usingizi mzito ndio wakati ngozi inajijenga upya. Ukikosa:
โ–ช๏ธUzalishaji wa collagen hupungua
โ–ช๏ธNgozi hupoteza elasticity
โ–ช๏ธDalili za kuzeeka k**a mikunjo huanza kuonekana mapema

๐Ÿฏ. ๐— ๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—ž๐—ข ๐——๐—จ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—” ๐——๐—”๐— ๐—จ (๐—ฝ๐—ผ๐—ผ๐—ฟ ๐—ฐ๐—ถ๐—ฟ๐—ฐ๐˜‚๐—น๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป)
Kutolala huathiri mtiririko wa damu mwilini:
โ–ช๏ธNgozi hupoteza mngโ€™ao wake wa asili
โ–ช๏ธMiduara myeusi chini ya macho huongezeka
โ–ช๏ธRangi ya ngozi inakuwa isiyo sawa

๐Ÿฐ. ๐—ž๐—จ๐—”๐—ง๐—›๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐—ก๐—š๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—œ (๐˜€๐—ธ๐—ถ๐—ป ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฟ๐—ถ๐—ฒ๐—ฟ)
Ngozi ina mfumo wa kujilinda unaoitwa skin barrier:
โ–ช๏ธUsingizi mdogo huudhoofisha
โ–ช๏ธNgozi huwa kavu na nyeti
โ–ช๏ธInaathirika haraka na mazingira k**a jua na uchafuzi

๐Ÿฑ. ๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐—š๐—˜๐—ญ๐—˜๐—ž๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ข๐—ซ๐—œ๐——๐—”๐—ง๐—œ๐—ฉ๐—˜ ๐—ฆ๐—ง๐—ฅ๐—˜๐—ฆ๐—ฆ
Mwili unapokosa usingizi huzalisha radicals huru nyingi:
โ–ช๏ธHuharibu seli za ngozi
โ–ช๏ธHusababisha kuzeeka mapema
โ–ช๏ธNgozi inapoteza ubora wake kwa haraka

๐Ÿฒ. ๐—ž๐—จ๐—ฉ๐—จ๐—ฅ๐—จ๐—š๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—ช๐—” "๐—•๐—œ๐—ข๐—Ÿ๐—ข๐—š๐—œ๐—–๐—”๐—Ÿ ๐—–๐—Ÿ๐—ข๐—–๐—ž" ๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—œ (๐—ฐ๐—ถ๐—ฟ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ๐—ป ๐—ฟ๐—ต๐˜†๐˜๐—ต๐—บ)
Ngozi ina ratiba yake ya kufanya kazi:
โ–ช๏ธUsiku ni muda wa repair
โ–ช๏ธKutolala kunavuruga mchakato huu
โ–ช๏ธMatokeo yake ni ngozi kuchoka na kuharibika polepole

๐— ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ: Usingizi si chaguoโ€”ni msingi wa afya ya ngozi.
Bila saa 7โ€“9 za usingizi wa ubora, hata skincare ya gharama kubwa haitatoa matokeo unayotaka.

Exfoliation ni hatua muhimu ya skincare inayosaidia kuondoa dead skin cells, kuboresha texture ya ngozi, na kuongeza ufa...
27/03/2026

Exfoliation ni hatua muhimu ya skincare inayosaidia kuondoa dead skin cells, kuboresha texture ya ngozi, na kuongeza ufanisi wa bidhaa nyingine...

๐—›๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ผ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ฒ๐˜…๐—ณ๐—ผ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐˜๐˜€:๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿญ. ๐—ฃ๐—›๐—ฌ๐—ฆ๐—œ๐—–๐—”๐—Ÿ ๐—˜๐—ซ๐—™๐—ข๐—Ÿ๐—œ๐—”๐—ก๐—ง๐—ฆ (Mechanical)
Hufanya kazi kwa abrasion (kusugua ngozi).
๐— ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ผ:
โ–ช๏ธSugar (Sucrose)
โ–ช๏ธSalt (Sodium chloride)
โ–ช๏ธCoffee grounds
โ–ช๏ธJojoba beads (biodegradable, uniform particles)
๐—ฆ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚:
โ–ช๏ธMatokeo ya haraka (ngozi laini instantly)
โ–ช๏ธInategemea nguvu ya kusugua
๐—™๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ:
โ–ช๏ธRahisi kutengeneza (low cost)
โ–ช๏ธInafaa zaidi kwa body scrubs
๐—›๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ:
โ–ช๏ธRisk ya micro-tears
โ–ช๏ธHaifai kwa sensitive au acne-prone skin

๐Ÿฎ. ๐—–๐—›๐—˜๐— ๐—œ๐—–๐—”๐—Ÿ ๐—˜๐—ซ๐—™๐—ข๐—Ÿ๐—œ๐—”๐—ก๐—ง๐—ฆ
Hufanya kazi kwa kuvunja bonds za seli za ngozi (chemical exfoliation).
๐— ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ผ:
โ–ช๏ธAHA
โ–ช๏ธGlycolic acid
โ–ช๏ธLactic acid
โ–ช๏ธBHA
โ–ช๏ธSalicylic acid
โ–ช๏ธPHA
โ–ช๏ธGluconolactone
๐—ฆ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚:
โ–ช๏ธExfoliation ni uniform na controlled
โ–ช๏ธInafanya kazi pia k**a treatment (acne, pigmentation)
๐—™๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ:
โ–ช๏ธHuboresha tone, texture na glow
โ–ช๏ธInafaa kwa matatizo ya ngozi
๐—›๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ
โ–ช๏ธInaweza kusababisha irritation k**a ikitumika vibaya
โ–ช๏ธInahitaji matumizi ya sunscreen

๐—ง๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ๐—ž๐˜‚๐˜‚...
๐Ÿ‘‰Physical โ†’ manual, fast results
๐Ÿ‘‰Chemical โ†’ controlled, long-term results

Kwa matumizi sahihi:
Physical exfoliants โ†’ bora kwa body care na matumizi ya haraka
Chemical exfoliants โ†’ bora kwa facial care na matokeo ya kitaalamu ya muda mrefu
๐Ÿ‘‰ Njia bora ni kuchagua exfoliant kulingana na aina ya ngozi na lengo, si kufuata trend pekee.

Address

Mabatini
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 10:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Duka ujasiriamali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Duka ujasiriamali:

Share