02/02/2021
TUNABANDIKA STICKER COVER KWENYE LAPTOP NA SIMU AINA ZOTE!
Zuia michubuko na mikwaruzo isio ya lazima kwa kuweka sticker cover kwenye laptop au simu yako hapa philcoverz..
Baada ya kuweka stocker cover kifaa chako kitakua na muonekano wa tofauti kabisa na utakao kuvutia kuliko kawaida.
Bei zetu ni rafiki na huduma zetu bora zaidi.
LOCATION: Rock City mall,Mwanza
Smartphone zote hata zisizo na majina bei TSH. 10,000/=
Laptop full mpaka kwenye base(kitako) bei TSH. 30,000/=
Laptop full kasoro kwenye base (kitako) bei Tsh. Elf 25,000/=
Piga 0758399613 kwa maelezo zaidi