Happyness John - Kulenga

Happyness John - Kulenga Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Happyness John - Kulenga, Business service, Mwanza.

Eee!! Mwenyezi Mungu mpe nafuu MTOTO huyu kwa Mateso anayoyapata. K**a una ROHO ya huruma na unatamani ungemsaidia, andi...
07/10/2016

Eee!! Mwenyezi Mungu mpe nafuu MTOTO huyu kwa Mateso anayoyapata. K**a una ROHO ya huruma na unatamani ungemsaidia, andika "AMEN" kisha ''SHARE''

Wenye Roho Mbaya Hawata wala Ku na k**a hutojali Ipotezee...!!

04/10/2016
Huyu ndiye mtoto aliyepigwa risasi na kupasuliwa kichwa vibaya nchini Syria. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. ...
04/10/2016

Huyu ndiye mtoto aliyepigwa risasi na kupasuliwa kichwa vibaya nchini Syria.

Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.

Comment "R.I.P"

Like πŸ‘ Page Hii K**a Bado.

Siku k**a ya leo,mwaka 2011 ilikuwa ni ya majonzi makubwa nchini baada ya meli ya MV Spice Islander kuzama wakati ikitok...
11/09/2016

Siku k**a ya leo,mwaka 2011 ilikuwa ni ya majonzi makubwa nchini baada ya meli ya MV Spice Islander kuzama wakati ikitokea Unguja kwenda Pemba na kusababisha vifo vya watu zaidi ya1,000.

Comment RIP ndugu zetu waendelee kupumzika kwa amani

Kifo chake kilisababishwa na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani kageraMungu ailaze roho ya marehemu pahali pema AMINA
11/09/2016

Kifo chake kilisababishwa na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani kagera
Mungu ailaze roho ya marehemu pahali pema AMINA

Miili ya watanzania waliofariki Jana kwenye tetemeko la ardhi huko mkoani kagera ukiwepo mwili wa mama mjamzito mmoja ik...
11/09/2016

Miili ya watanzania waliofariki Jana kwenye tetemeko la ardhi huko mkoani kagera ukiwepo mwili wa mama mjamzito mmoja ikiagwa Muda huu huko Kagera.

Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi amina.πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

TUMIA  JAPO DAKIKA TATU KUSOMA MKASA HUU WA KUSIKITISHAHuyu kijana anaitwa Benson, Benson alitoka kijijini kwao miaka mi...
01/09/2016

TUMIA JAPO DAKIKA TATU KUSOMA MKASA HUU WA KUSIKITISHA

Huyu kijana anaitwa Benson, Benson alitoka kijijini kwao miaka mitano iliyopita na kuja mjini katika harakati za kutafuta maisha. Alibahatika kupata kazi ya ulinzi katika Shirika moja lisilokuwa la kiserikali na kuaminiwa sana.
Aliweza kuwasaidia wazazi wake kwa hali na mali, kwani alikuwa ni mtoto wa kiume pekee katika familia yao yeye watoto wawili, Benson na mdogo wake wa k**e aitwaye Neema.Hivyo alikuwa anawatumia kiasi fulani cha fedha kila alipopokea mshahara wake. Huo ndio ulikuwa utaratibu wake kila mwezi.

Miezi miatau iliyopita alipokea taarifa ya kifo cha Baba yake huko kijiji. Alipoomba Ruhusa ya kwenda kumzika baba yake, Mkurugenzi alimnyima ruhusa. Kutokana na Uchungu wa kupoteza mzazi wake Benson alifikia hatua ya kuzozana no bosi wake huyo na hatimaye kuamua kuondoka kwenda kuzika bila ya kupata ruhusa kazini kwake. Alikaa kule kijijini kwa muda wa wiki moja akarudi kazini lakini huku nyuma familia ile ikimtegemea yeye.

Aliporudi kazini Mkurugenzi wake alimtengenezea kesi ya wizi na upotevu wa mali mbalimbali za kampuni zenye thamani ya Tshs 5,000,000/=(milioni tano) hivyo alifukuzwa kazi bila kupata malipo yoyote.
Ni miezi mitatu sasa toka alipofukuzwa kazi, Benson aliishi kwa uzoefu tu wa mjini akisaidiwa na marafiki.
Hivi juzi asubuhi alipokea taarifa kuwa mama yake ni mgonjwa sana huko kijijni, hivyo zilihitajika fedha kwa ajili ya kumpeleka hospitali. Benson alihangaika kutafuta msaada hata kujaribu kukopa lakini kila aliyemwendea alishindwa kumsaidia kwa chochote.

Jana aliamka asubuhi mapema huku akili na mawazo yake yakiwa kijijini kwa mama yake. Aliamua kwenda kutafuta japo kibarua kitakachompatia japo pesa kidogo ili aweze kuwatumia kijijini waweze kumpeleka mama yake hospitalini.

Katika mizunguko yake alibahatika kupata kibarua cha kupanga bidhaa kwenye ghala ya duka moja kubwa hapa jirani akiwa na wenzake watatu.
Wakati wakiendelea na kazi, mwenzake mmoja ambaye alikuwa mzoefu pale alimwambie achukue boksi moja la sigara aliweke Uchochoroni, Bila ya kutafakari na kutokana na shida ya fedha aliyokuwa nayo wakati ule, Benson alifanya k**a alivyoelekezwa.
Wakati analiweka lile Boksi, Mara mtoto wa tajiri alimwona na kuanza kumhoji, Benson alishindwa kujitetea, Ndipo yule mtoto alipoanza kumpigia kelele za mwizi.

K**a ujuavyo jiji hili, Benson alipokea kipigo kikali kutoka kwa watu wenye hasira. watu walianza kumpiga kwa mawe, matofali,na silaha mbalimbali hadi kupelekea kuwa katika hali hii.

Masikini kijana Benson amepoteza maisha wakati kijijini wakisubiria msaada wake ili waweze kumpeleka mama yake hospitali.

COMMENT CHOCHOTE KUONESHA HURUMA YAKO, Lakini pia SHARE NA MARAFIKI WAWEZE KUJIFUNZA CHOCHOTE HAPA.πŸ‘πŸ‘

baada ya ule wimbo wa hainaga USHEMEJI sasa umetoka mwingine hainaga UBIBI........ baada ya babu kuoa mke mpya😨😨
01/09/2016

baada ya ule wimbo wa hainaga USHEMEJI sasa umetoka mwingine hainaga UBIBI........ baada ya babu kuoa mke mpya😨😨

01/09/2016

teh teh teh hebu Cheka na hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

REPOST.

Jamaa mmoja alimwambia mkewe,leo tukumbushie enzi za uchumba wetu,wakakubaliana wakutane gesti saa 5asbh,jamaa akawa wa kwanza kufika alikaa mpaka saa12 jioni,dem hakutokea akarudi nyumbani kwa hasira akamuuliza mkewe kwanini haujaja???,mkewe akajibu mdingi alibana tufanye kesho bby..

02/08/2016

Siku moja rafiki yangu alinifuata akiomba ushauri, alikuwa na matatizo makubwa sana , na kimsingi alikuwa amekata tamaa ya maisha na kujiona ana mikosi na Mungu amemwacha.Ki ukweli nilishindwa hata la kumwambia.Nikamwomba tukutane siku inayofuata....kwamba kuna ufumbuzi ninao mzuri tu ( kiukweli sikuwa na chochote kichwani)
Jioni nilitafakari sana nifanyeje, na nikapata wazo.
Nikamwambia naomba kesho tuonanane unisindikize mahali....na nikamwambia k**a unahela kidogo nunua miche ya sabuni..ntakwambia cha kufanya.
Tukaingia garini...baada ya k**a dk 30..akaniuliza kaka..kwani tunaenda wapi lakini? nikwamwambia usiwe na shaka ndugu..
Ghafla akaona tunaingia getini ..na Bango limeandikwa Ocean road hospitali..
Nikapita naye kuona wagonjwa na kuwapa zawadi za sabuni.
Lakini wakati tunapita kuona wagonjwa ....ghafla nikaona ananivuta mkono kwa chini chini...ni k**a alikuwa ananizuia tusiendelee mbele.....sikumwelewa...
Akaninong`oneza angaliaa palee...huku akionyesha kwa macho kitanda kinachofuata....macho yangu yalipogonga pale kitandani ...ni nili freeze kwa sekunde kadhaa..... tulibaki midomo wazi...maana tuliona kitu kimelala kitandani na kwa haraka haraka huwezi jua k**a ni binadamu jinsi kansa ilivyomharibu..hujui kichwa kiko wapi..pua..wala mdomo...Tukapita pale na kuendelea ....wengine hata ukiwapa pole wanakutazama tu machozi yanawatoka maana kwa wakati ule pole haina maana yeyote..
Baada ya mzunguko wote tulikuwa macho mekundu kabisa kwa uchungu.
Nikamwambia asante kwa kunisindikiza..naomba sasa tuongelee yale ya jana wakati tunarudi.
Akasema..no.no.no..kwanza namshukuru Mungu sana kwa haya ya kwangu...nimepona kaka...mimi sina tatizo kaka ..maaana hwa wagonjwa wasemeje sasa..akanambia kaka nimeelewa kwa nini umenileta huku..Mungu nisamehe na wape kupona hawa ndugu zetu.
Laiti k**a kila mtu angetembea na Ubao wenye orodha ya matatizo yake usoni...nakuhakikishia..hayo yanayokutatiza wewe sasa...ungeona k**a uko mbinguni...
Wakti wewe unalalmika na Kumlaumu Mungu amekuacha eti hujaolewa, hujaoa, huna kazi, huna nyumba, huna mtoto...
Kuna mtu muda huu yuko msituni anakwepa risasi, yuko kitandani anaoza, yuko mahututi anapumulia machine..Kuna mama mjamzito wakati huu anapoteza maisha wakati wa kujifungua..yupo baba muda huu anapiga yowe kilio cha kumpoteza mkewe...Yupo mtu anapasuka kichwa dakika hii kwa ajali ya gari
Hebu fumba macho kidogo ,tafakari..na naomba ufanye uhakiki wa hali yako.....K**a kweli ni zaidi ya haya..basi ruksa kumlaumu Mungu, Ruksa kukata tamaa..Ruksa kudhani Mungu anakuonea, Ruksa kusema Kwanini mimi tu Mungu..
HEBU SIMAMA ..SHUSHA PUMZI..SEMA ASANTE MUNGU
Acha kulalamika rafiki, Acha kumlaumu Mungu...uliyonayo ni size yako..Mwombe Mungu akufunulie kilichoko ndani ya jaribu lako.JIFUNZE KUMSIFU NA KUMSHUKURU MUNGU.USILIE ILA SHUKURU THEN LIKE NA KU' SHARE PAGE HIIπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

"My OUTLOOKS"* * * * * * * * * *WANAUME, NINI SHIDA.*Utakuta Mwanaume Mungu Kamjaali, Ana Kipato Kizuri Tu, Lakn Cha Kus...
25/07/2016

"My OUTLOOKS"
* * * * * * * * * *

WANAUME, NINI SHIDA.
*Utakuta Mwanaume Mungu Kamjaali, Ana Kipato Kizuri Tu, Lakn Cha Kushangaza Matumizi Anayoacha Nyumbani Wala Hayalingani Na Pesa Anayotumia Bar.

*Sasa Kaka, Wewe Bar Unakula Nyama Choma Na Bia Lakn Nyumbani Kwako Mkeo Na Watoto Wanakula Mirungi(Tembele) Tena Sio Kwa Kupenda Bali Kwa Shinikizo La Ujinga Wako.

*Nyumbani Daily Ugali Kauzu, Mkeo Na Watoto Wanapata Protin Kwny Ndondo(Maharage) Tu, Yani Mpaka Wakienda Kwa Jirani Wanatia Aibu Kwa Uroho Wa Wali Nyama.

*Penda Familia Yako Kaka, Acha Ujinga K**a Amigo. Huo Ujinga Unaoufanya Unatengeneza Msingi Wa Out Post(Mchepuko) Kwa Mkeo.

*Au Pesa Zako Unazipata Kwa Misingi Ya Kishetani Ndio Maana Hata Hutaki Kuifurahisha Familia Yako.

*Mara Ya Mwisho Kutoka Out Na Mkeo Ni Tangu Enzi Zile Unamfukuzia Pindi Ile Unakesha Mnachati Daily. Tangu Umemtoa Pindi Ile Yani Ndio Mpaka Leo!!!, Du. . . . Kweli Bro We Nouma, Yani Ukitajiwa Gharama Unavyoruka K**a Mkude Simba.

*Mwanamke Humpi Hata Vijisent Vya Kununua Mafuta Mpaka Abane Vijihela Vyako Vya Kununua Maharage Na Dagaa. Ndio Maana Kila Siku Unaona Uzuri Wa Wake Wa Wenzako Coz Wako Unamfuja K**a Tambaa La Deki.

EBU NIKUFUNZE WE MWANAUME:
*Nunua Vitu Vya Kutosha Ndani Mwako.
>Mchele, Unga, Mafuta Ya Kula, Maharage, Dagaa Na Nk. K**a Una Uwezo Nunua Zaidi Ya Kilo5 Au 10 Kulingana Na Familia Yako, Usinunue Chini Ya Kilo5, Hii Itakufanya Ubane Matumizi Yako Na Pia Familia Iishi Vyema.

*Hivi Huoni Aibu Mkeo Kwenda Gengeni Kubeba Mafuta Ya Kula Kijiko Kimoja Kimoja Kwny Kamfuko Keupe Wakat Una Kipato Kizuri??.

MKEO AKIWA ANAPIKA.
*Badala Ya Kuangalia Mafuta Yanayoingia Kwny Sufuria, Anaangalia Yalotoka Kwny Chupa Ili Abakishe Na Kesho Maana Ukiambiwa Yameisha Unaanza Gubu Utafikiri Umetendwa Na Mchepuko.

NAKUPA SIRI.
*Mkeo K**a Humpi Pesa Ya Matumizi Binafsi Basi Hata Siku1 Huwezi Kumwona Mzuri, Sasa Mwanamke Hata Hela Ya Pad Mpaka Abane Kwny Kodi Ya Meza!! We Baba Wewe!! Laana Hizo Baba Ndugu Yangu.

*Utakuta Mwanaume Anatengeneza Excuse.
>Unajua Mimi Mke Wangu Hapendi Kutoka K**a Zamani, Kumbe Wewe Ndio Hupendi Kutokanae Kisa Hana Nguo Na Hapendezi. Kazi Yako Kuwekeza Out Post Wakat Central Njaa K**a Somalia.

WANAUME FANYEN HIVI.
*Watafutieni Wakezenu Shughuri Za Kufanya Ili>
1. Wajiweze.
2. Wasiwe Take Away Siku Hampo Dunian Au Mkiyumba Kiuchumi.
3. Wapendeze Maana Wao Ni Pambo La Nyumba.
4. Waongeze Mapenzi Lakn K**a Wana Hofu Ya Mungu.
5. Mkuze Kipato Chenu Kwa Manufaa Yenu.

NB: WEKEZENI CENTRAL JAMAN MAANA HUKO NDIPO USALAMA ULIPO, OUT POST HATA GOBOLE HAKUNA SIKU UKIYUMBA UTALIA NA MOYO WAKO.

IMEJIPOSTπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ BY....HAPPYNESSπŸ‘Œ

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Happyness John - Kulenga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share