Maggie na fursa

Maggie na fursa Nasaidia watu kuanza biashara Kwa mtaji mdogo sana utapata kuanzia 50000 na kuendelea Kwa siku
0745264905

28/04/2026

Kutoka kuwa tegemezi hadi kuwa na maisha ya kujitegemaea na kusaidia wengine.
This is a true definition of never giving up ๐Ÿง˜๐Ÿ™๐Ÿผ
Ndoto zako unazo wewe unatakiwa uzipambanie wewe na uzitimize wewe. Hakuna atakayekusaidia
K**a hujaamua kupambana mwenyewe.

28/04/2026

Hakika tumepata muda mzuri wa kujifunza na kupata maarifa ambayo yamebadilisha mitazamo,mawazo,hisia hata akili zetu,
Asante sana mgeni rasmi 1 DIAMOND DIRECTOR
HUSNA MKUPETE, wewe ni hazina kwa taifa na vijana wengi sanaa

28/04/2026

About today's meeting๐Ÿค—๐Ÿค—

Hellooooo hellooooooKesho ndiyo keshoooo,Tutakuwa sehemu Moja tuuu Rungwe hotel kwa ajili ya kuchukua hatua za ushindi k...
28/04/2026

Hellooooo helloooooo
Kesho ndiyo keshoooo,
Tutakuwa sehemu Moja tuuu Rungwe hotel kwa ajili ya kuchukua hatua za ushindi kwa waliowahi kushindaaaa.
Unapangaje kukosaaaaa
Wahiii wahiiiii
Ukichelewa umeachwaaaa๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ๐Ÿ’ƒ๐Ÿผ

Eid Mubarak from this side๐Ÿฅ‚๐ŸŽŠ๐ŸŽ‰I wish you a prosperous year and happy day
21/03/2026

Eid Mubarak from this side๐Ÿฅ‚๐ŸŽŠ๐ŸŽ‰
I wish you a prosperous year and happy day

Happy birthday to me.Namshukuru MUNGU kwa kunipe neema ya kufika siku ya Leo .Ni imani yangu kwamba future yangu ni anga...
20/03/2026

Happy birthday to me.
Namshukuru MUNGU kwa kunipe neema ya kufika siku ya Leo .
Ni imani yangu kwamba future yangu ni angavu kuliko Giza nililotoka,na furaha yangu ni kuu kuliko huzuni zilizopita.
Am grateful for the new year ๐ŸŽŠ ๐Ÿ•›
Mwaka wa kufanya mambo makubwa ndiyo huu sasa

Je,wewe ni yule mtu unayesema watanionaje watanichukuliaje au watanifikiriaje??UNAONA AIBUJe,wewe ni yule mtu unayesema ...
13/03/2026

Je,wewe ni yule mtu unayesema watanionaje watanichukuliaje au watanifikiriaje??
UNAONA AIBU

Je,wewe ni yule mtu unayesema nikishindwa je, nikifeli je, nisipofanikiwa je,au nikipoteza je??
HUWEZI KUTHUBUTU

Je,wewe ni yule mtu unayesema nitaanzaje, nitafanyaje, itakuwaje au nitawezaje??
UNAOGOPA

Leo nataka nikwambie ,hivyo vitu ndivyo vinakuletea umasikini bila wewe kujua, vinakuandaa kuwa mlalamikaji wa baadaye na vinakuandaa kuwa mtoa laana wa baadaye kwa watu wako wa karibu.

Jifunze KUTHUBUTU
Jifunze kuwa JASIRI
Jifunze KUAMINI

ukifanya hvyo vitu ,ndani ya muda utaanza kuona matokeo chanya katika Kila jambo unalolifanya.
AMUA SASA,ANZA SASA,FANYA SASA



11/03/2026

Vacation Time ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
Johannesburg _South Africa ๐ŸŒ

Kila jibu la swali lipo kwenye kujifunza na kutafuta maarifa yanayohusiana na kile unachotaka kukifahamu.Mafunzo huondoa...
04/03/2026

Kila jibu la swali lipo kwenye kujifunza na kutafuta maarifa yanayohusiana na kile unachotaka kukifahamu.
Mafunzo huondoa ujinga ambao unaweza kuonekana k**a ni ukweli kumbe ni udanganyifu.
Mafunzo Huleta Nuru mpya kwenye akili ya mfundishwaji.
JIFUNZE, JIFUNZE, JIFUNZE


Address

Mwanza

Telephone

+255745264905

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maggie na fursa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maggie na fursa:

Shortcuts

Share