MAFURU furniture

MAFURU furniture We deal in Making and selling of sofa set,tv stand, dressing table, coffee table, dinning table, office chair, cabinet, bedroom, n.k

15/02/2025
25/01/2025

EE MUNGU BABA NISAIDIE,UMENIPA SIKU YA LEO NJEMA,NAIKABIDHI MIKONONI MWAKONI MWAKO NAIAMBATANISHA NA BARAKA ZAKO SIKU YA LEO, BWANA NISAIDIE SIKU YA LEO NIKUTANISHE NA WATU WALIOBEBA KUSUDI LAKO LA KUFANIKIWA KWANGU,UNIKUTANISHE NA WATU AINA YA MALAIKA WALIOBEBA VITU KWA AJILI YANGU,NIKAKUONE WEWE KATIKA SIKU YA LEO KWENYE BIASHARA YANGU ,NIONGOZE BWANA KATIKA NJIA ZANGU NA YOTE YAKATENDEKE KATIKA UTUKUFU WA JINA LAKO. AMEN

Karibu
15/06/2023

Karibu

Karibu sana Mafuru Furniture, tunapatikana Mwanza Nyegezi karib na standi mpya ya mabasi ,kwa mawasiliano tucheki +25575...
16/07/2021

Karibu sana Mafuru Furniture, tunapatikana Mwanza Nyegezi karib na standi mpya ya mabasi ,kwa mawasiliano tucheki +255756257904 kazi zetu niza uakika K**a mnavyoziona

Amna kuteseka Sasa iv kazi nzuri,kwa ubora wa Hali ya juu
29/06/2021

Amna kuteseka Sasa iv kazi nzuri,kwa ubora wa Hali ya juu

PUNGUZO NA OFA KUBWA !!            Mafuru Furniture inawaletea Punguzo na Ofa Kubwa zaidi pata Furniture zote za Maofisi...
20/07/2020

PUNGUZO NA OFA KUBWA !!

Mafuru Furniture inawaletea Punguzo na Ofa Kubwa zaidi pata Furniture zote za Maofisini na Majumbani kwa Gharama nafuu k**a vile Sofa seats, Meza, Viti, Kabati, Dressing tables, Vitanda,TV Stand , Shoes stand, Bag holders, Kitchen Furniture's n.k
Tupo Mwanza Mkabala na Stand mpya ya mabasi (Nyegezi)
Wasiliana nasi
+255 756 257 904
Instagram: Mafuru-- Funiture
Facebook: Mafuru Furniture
"UBORA NI KIPAUMBELE CHETU"
KARIBUNI NYOTE...!!
@ Nyegezi, Mwanza, Tanzania

Bado aujachelewa ,muda unaruhusu wa kupendezesha nyumba yako,tembelea Mafuru Furniture ujipatie furniture nzuri na za Ki...
09/12/2019

Bado aujachelewa ,muda unaruhusu wa kupendezesha nyumba yako,tembelea Mafuru Furniture ujipatie furniture nzuri na za Kisasa kwa mawasiliano piga 0756257904.

OFA  BABU KUBWA NDANI YA MAFURU FURNITURE MSIMU HUU WA SIKUKUU.       Pata Furniture aina zote za Maofisini, Garden & Pu...
09/12/2019

OFA BABU KUBWA NDANI YA MAFURU FURNITURE MSIMU HUU WA SIKUKUU.
Pata Furniture aina zote za Maofisini, Garden & Pub pamoja na Majumbani k**a vile Sofa set za Kisasa design tofauti, Kabati imara za nguo na vyombo design tofauti, stuli za sofa, Meza pamoja na viti..nk. Kwa punguzo la 30%
NB. Mafuru Furniture tunatoa Ushauri na Kuboresha Sebule au Chumba (Design Arrangement) ya mteja BURE
TUPO: MWANZA, NYEGEZI KIJIWENI KARIBU NA STANDI MPYA YA MABASI (NYEGEZI)
WASILIANA NASI(WhatsApp):+255 756 257 904,
"Mwonekano Mzuri wa Nyumba yako ni Mafuru Furniture"

Welcome to Mafuru Furniture Location Nyegezi Mwanza karibu na stand ya nyegezi mwanza,namba za simu 0756257904
04/10/2019

Welcome to Mafuru Furniture Location Nyegezi Mwanza karibu na stand ya nyegezi mwanza,namba za simu 0756257904

Address

Nyegezi
Mwanza

Telephone

+255756257904

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAFURU furniture posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MAFURU furniture:

Share