02/06/2026
โ๐๐ฎ๐ฆ๐๐ฎ๐ค๐ ๐ฐ๐๐ฐ๐ ๐ง๐ข ๐ง๐๐ง๐ข.โ
Kwenye moja ya series za filamu ya 'The Lion King', Simba anaonekana akiwa mnyonge, muoga anajificha kichakani; anaonekana kupoteza muelekeo baada ya kufiwa na baba yake katika umri mdogo. Rafiki ambaye ni nabii(nyani), anamjia Simba na kumwambia aache kuhuzunika kwani baba yake hajafa yupo hai, Simba anastaajabu "inawezekanaje!" Rafiki anamwambia Simba "nifuate nikakuoneshe baba yako".
Rafiki anampeleka Simba kwenye bwawa na kumwambia Simba aangalie kwenye maji atamuona baba yake, Simba anaangalia lakini anachoona ni taswira yake tu, Rafiki anamwambia Simba "angalia kwa umakini zaidi". Simba anapoangalia kwa umakini zaidi anamuona baba yake, na anamsikia akimwambia "๐บ๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐". Simba anapokumbuka yeye ni nani anarudi nyumbani siyo k**a Simba tu bali ni 'mfalme Simba'.
Rafiki alipomwambia Simba โangalia kwa umakini zaidiโ, huo ni ufunguo. Si kuangalia kwa haraka au kwa macho ya mwili tu, bali ni kuangalia kwa umakini wa roho.
Simba alipoona taswira ya baba yake ndani ya maji, hakumwona Mufasa k**a aliyekufa tu โ alijiona yeye mwenyewe akiwa ameendelea, akiwa na hekima, nguvu na utukufu wa baba yake. Hii inakumbusha sana mafundisho ya Yesu:
"๐ด๐๐๐๐๐
๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐
๐๐๐ ๐๐ ๐ฉ๐๐๐, ๐๐ ๐ฉ๐๐๐ ๐๐ ๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐๐...;(๐๐๐๐๐๐ 14:11)
Na pia:
ย โ๐พ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐; ๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐ฉ๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐ ๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐; ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐; ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐".(๐๐๐๐๐๐ 17:21)
Umoja huu ndio siri. Sio kwamba Mungu yuko mbali na sisi, na sisi tunajaribu kumfikia. Bali Yeye yuko ndani yetu, na sisi tuko ndani yake. Tunaposahau hili, tunaishi k**a Simba aliyekuwa kichakani โ tunaogopa, tunajiona dhaifu. Lakini tunapokumbuka, tunasimama k**a ๐๐๐๐ฅ๐ฆ๐ ๐๐ข๐ฆ๐๐.
Yesu aliposema โUfalme wa Mungu uko ndani yenuโ (Luka 17:21), alikuwa anavunja dhana ya wakati ule (na hata kwetu leo) kwamba Mungu na wokovu vinapatikana mahali maalum, au baada..