Habari BURE

Habari BURE �BIDHAA YA KILIMO BORA SANA
�INAKUFIKIA ULIPO TANZANIA
�HII TUNAITA TONE LA MAAJABU
MKULIMA INUA KILIMO CHAKO

Haya wale wakali wa MaTheMATICSnaomba jibu.
17/07/2020

Haya wale wakali wa MaTheMATICS
naomba jibu.

11/06/2020
04/07/2017
29/12/2015

Genuine Stewardship always provokes the release of divine favour,

16/08/2015

Officials have come up with a surprisingly low-tech way to fight the region's water crisis.

28/02/2015

R.I.P Captain John Komba

13/02/2015

Tha observations about the happenings in CT are well stated. There are fights in EU parliaments because there are people there. People who are politicians (for some of them read 'idiots') who will occasionally show their primeval instincts and fight. That doesn't make it acceptable here. AND - this is MY parliament and it matters to me. Yesterday wasn't members throwing punches. Yesterday it was like hitler's Storm Troopers raiding parliament and enforcing will. Just in plain clothes.

13/02/2015

I merit you for your lively and educative remarks! Long-live your presidency!

11/02/2015

Watanzania tusione pesa ndo kila kitu tukajikuta tunamaliza kizazi chetu ambacho ni muhimili wa Taifa, Fuatilia video hii na uone jinsi watu tunavyojisahau pengine hawa kuku wanaotengenezwa kwa mabaki ya uchafu wa mfugo na pengine hata ndugu zao wanakula uchafu huu.

Unaweza kuwa hauna furaha katika maisha lakini wapo ambao wanafurahi kwasababu wewe upo"Katika maisha unaweza kumkuta mt...
01/02/2015

Unaweza kuwa hauna furaha katika maisha lakini wapo ambao wanafurahi kwasababu wewe upo"

Katika maisha unaweza kumkuta mtu hana furaha kutokana na changamoto za maisha anazopitia, lakini kwa wakati huo huo kuna watu ambao wapo na wanafuraha kwasababu wewe umekuwa sababu ya furaha waliyonayo kwamfano familia yako inayokutegemea, watoto wako ambao hufurahi na kucheza wakati wote kutokana na kula vizuri, na kulala vizuri huku wakipata mapenzi ya Baba na Mama, ni jambo la kumshukuru Mungu k**a kuna watu wanapata faraja au furaha kwasababu yako hata k**a wewe hauna furaha.

01/02/2015

Video hii inaonesha jinsi kuku wanavyoongezewa mabaki ya uchafu wa nyama za mifugo kwa kusudi la kuwaongezea unene, Hii imekuwa ni kawaida ndani ya mikoa maarufu k**a Dar es salaam,Mwanza,Kilimanjaro,Arusha,Morogoro na mingine mingi. Habari bure waliongea na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula hata hivyo hatukupata ushirikiano wake kwa bahati nzuri tulimpata Msaidizi wake hata hivyo majibu yake hayakukata kiu,hata baada ya kuonyesha kuwa kitu kinachoongelewa kuwa ni kigeni masikioni mwake.

Address

Nyegezi Mwanza
Mwanza
0688811874

Telephone

+255752742626

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari BURE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari BURE:

Share