Bossan Dingy

Bossan Dingy Tatizo sio unamawazo gani tatizo ni utayafanyia nini mawazo yako?

Mama
24/09/2021

Mama

The first and last born
29/07/2021

The first and last born

23/11/2020

Huu mwaka kabla ya kuanza nilisema mpaka uishe nitajitahidi niwe na pesa kichizi sasa unaelekea kuisha UCHIZI wenyewe nimeupata ila PESA bado PDF yake haijafunguka bado ni kipengele sana

TANZIA: AGGREY MORIS AFIWA NA MKE WAKATI AKIJIFUNGUATaarifa kutoka club ya AZAM inaeleza juu ya kifo cha mke wa mchezaji...
11/01/2020

TANZIA: AGGREY MORIS AFIWA NA MKE
WAKATI AKIJIFUNGUA
Taarifa kutoka club ya AZAM inaeleza juu ya kifo cha mke wa mchezaji wa timu hiyo Aggrey moris marehemu kifo kimemkuta wakati akiwa katika harakati za kujifungua mungu akampenda zaidi

Tunawapa pole familia na wanachama wa azam pamoja na Aggrey moris awape uvumilivu katika kipindi hichi kigumu

ANYWA SUMU KWA KUPATA DIVISION FOUR KIDATO CHA NNE  Mwanafunzi Michael Aron Mkazi wa Kijiji cha Ihana Mkoani Songwe amba...
11/01/2020

ANYWA SUMU KWA KUPATA DIVISION FOUR KIDATO CHA NNE

Mwanafunzi Michael Aron Mkazi wa Kijiji cha Ihana Mkoani Songwe ambaye amehitmu Form Four St.Aggrey Secondary Mkoani Rukwa amelazwa katika Hospitali ya Vwawa baada ya kujaribu kujiua kwa kunywa sumu kwa kinachodaiwa ameechukizwa na matokeo yake.

Michael amekunywa sumu ya kuulia magugu (Gramoxone) baada ya kupata Division four ya point 26 wakati ambapo yeye alitarajia apate Division one ili atimize ndoto zake za kuwa Daktari.

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe Dkt.Ahmed Ramadhani amethibitisha kumpokea na kusema wanaendelea kumpatia matibabu.

Anybody talking About this MONEY but whn you get it anybody acting funny
11/01/2020

Anybody talking About this MONEY but whn you get it anybody acting funny

Watoto wawili mapacha walioungana waliozaliwa January 29 mwaka 2018 huko Kagera na kupelekwa Saudi Arabia kwaajili ya ku...
30/08/2019

Watoto wawili mapacha walioungana waliozaliwa January 29 mwaka 2018 huko Kagera na kupelekwa Saudi Arabia kwaajili ya kufanyiwa huduma ya kuwatenganisha zoezi hilo limefanikiwa na unaambiwa Afya zao zipo fresh kabisa

Allah Akbar Mungu Mkubwa Nimesha maliza kutengeneza mtandao wa kijamii wa kiislamu tu kilichopo ni  kuweza kuunganisha n...
23/08/2019

Allah Akbar Mungu Mkubwa Nimesha maliza kutengeneza mtandao wa kijamii wa kiislamu tu kilichopo ni kuweza kuunganisha na wataalamu wa dini ili waweze kutupa maarifa kila siku kupitiamtandao huo
K**a upo tayari kuutumia mtandao huo jibu nipo tayari Naamini kwa pamoja tunaweza
Link ya App mtandao huo wa ISLAMIC FORUM ni http://www.mediafire.com/file/1ara22zjh5omk2r/ISLAMIC_FORUM.apk/file

"Masters yangu nilimaliza 2012, lakini baada ya kumaliza watu walikuwa wakiuliza kazi wapi, nikawa nasema kazi najifanyi...
23/08/2019

"Masters yangu nilimaliza 2012, lakini baada ya kumaliza watu walikuwa wakiuliza kazi wapi, nikawa nasema kazi najifanyia mimi. Ningekuwa nimeajiriwa, nisingeweza kufanya vitu vyote hivi ninavyofanya leo" - MwanaFA
Wewe unasemaje??....,......................................................
-->App no 1 ya wasomi TZ IPO Google play store!

Mungu ni mungu 2 chukua hata dk 1 kumuombea huyu jamaa aliyenusurika kwenye Ajari ya moto Morogoro msamvu!Mungu ni mungu...
23/08/2019

Mungu ni mungu 2 chukua hata dk 1 kumuombea huyu jamaa aliyenusurika kwenye Ajari ya moto Morogoro msamvu!

Mungu ni mungu2!
-App no 1 ya wasomi Tz IPO Google play store!

😂😂 Hivi kweli???
18/08/2019

😂😂 Hivi kweli???

Address

Mwanza

Telephone

+255756017961

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bossan Dingy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bossan Dingy:

Share