Kitulo drinking water

Kitulo drinking water Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kitulo drinking water, Business service, nundu, Njombe.

OLESCO FOOD PRODUCTS LTD
Website: www.olesco.co.tz
Address: P.O.BOX 620 Njombe
Email: [email protected]
Phone +255659800872
instagram: www.instagram.com/kitulodrinkingwater/

Big wish to you..
25/12/2019

Big wish to you..

we wish you Merry Christmas
25/12/2019

we wish you Merry Christmas

Asanteni sana wana songwe  mkoa mpya .Asante    Kunywa maji ishi vizuri .Kitulo drinking water fahari ya nyanda za juu k...
05/11/2019

Asanteni sana wana songwe mkoa mpya .
Asante
Kunywa maji ishi vizuri .
Kitulo drinking water fahari ya nyanda za juu kusiniπŸ’§
πŸ‘πŸ€πŸ‘

Kunywa maji Ishi vizuriPata maji safi na salama  ya kunywa Kwa ujazo tofauti tofauti.πŸ’§
04/11/2019

Kunywa maji Ishi vizuri
Pata maji safi na salama ya kunywa
Kwa ujazo tofauti tofauti.
πŸ’§

Wakazi wa Tunduma na jiji la Mbeya kuujumla kampuni ya OLESCOFOODPRODUCTS ina kuletea       maji safi na salama ya kunyw...
01/11/2019

Wakazi wa Tunduma na jiji la Mbeya kuujumla kampuni ya OLESCOFOODPRODUCTS ina kuletea maji safi na salama ya kunywa kutoka nyanda za juu kusini ni juma mosi ya tar 2-11-2019 tupo ndani ya mji wa TUNDUMA.

Ulipo tupo  burudika, imarika, relax piautabasamu na    maji safi na salama ya kunywa.
28/10/2019

Ulipo tupo burudika, imarika, relax pia
utabasamu na maji safi na salama ya kunywa.

Asante sana wana mbeya kwa mapokezi mazuri   Furahia maji yenye ubaridi asili
28/10/2019

Asante sana wana mbeya kwa mapokezi mazuri

Furahia maji yenye ubaridi asili

Team ya    ikiwa moja wapo ya makampuni na taasisi zilizo shiriki  kwenye maonesho ya kilimo na mifugo katika viwanja vy...
28/10/2019

Team ya ikiwa moja wapo ya makampuni na taasisi zilizo shiriki kwenye maonesho ya kilimo na mifugo katika viwanja vya sabasaba mkoani njombe.
Yaliyo fanyika toka tar 25 hadi 27 oktoba 2019

Team ya    ikiwa sawa kwaajili promotion ya maji safi na salama ya kunywa  Jijini mbeya πŸ’ͺ
28/10/2019

Team ya ikiwa sawa kwaajili promotion ya maji safi na salama ya kunywa
Jijini mbeya πŸ’ͺ

28/10/2019

Timu ya nguvu Ikiwa tayari kukuletea kilicho bora kabisa kutoka nyanda za juu kusini yaani Njombe
faharia ya njombe

Address

Nundu
Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kitulo drinking water posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share