Chriss Kyenda

Chriss Kyenda Wauzaji wa Mbao imara za kupaua
Kwa bei nafuu.

Size na Bei ya Rims: 14" 650,00015" 790,00015" pana 900,00016" 850,00016" pana 1,100,00017" 1,200,00017" pana 1.290,0001...
11/05/2022

Size na Bei ya Rims:

14" 650,000
15" 790,000
15" pana 900,000
16" 850,000
16" pana 1,100,000
17" 1,200,000
17" pana 1.290,000
18" 1.400,000
18" pana 1,550,000
19" 1,600,000
20" 1,950,000
22" 2.2mil.

Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) imetangaza bei mpya za nauli za mabasi na daladala nchini ambazo zitaan...
02/05/2022

Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) imetangaza bei mpya za nauli za mabasi na daladala nchini ambazo zitaanza kutumika baada ya siku 14 kuanzia leo.

Mkurugenzi Mkuu wa LATRA Gilliard Ngewe amesema nauli za daladala kuanzia KM 0-10 nauli itakuwa Tsh. 500 kutoka Tsh. 400 na KM 11-15 nauli itakuwa Tsh. 550 kutoka Tsh. 450 na bei ya mwisho ya daladala kwa KM 36 hadi 40 itakuwa Tsh. 1100 kwa daladala tu.

Kwa upande wa nauli za mabasi yaendayo mikoani zimepanda kwa daraja la kawaida ni Tsh. 41.29 kwa KM moja kutoka Tsh. 36.89 huku daraja la kati likipanda kwa shilingi 56.88 kutoka Tsh. 53.22.

Nauli kwa wanafunzi imebakia kuwa Tsh. 200 kwa daladala...

NBC
29/04/2022

NBC

Important Shortcuts Keys For ComputerCTRL+A. . . . . . . . . . . . . . . . . Select All CTRL+C. . . . . . . . . . . . . ...
27/04/2022

Important Shortcuts Keys For Computer

CTRL+A. . . . . . . . . . . . . . . . . Select All CTRL+C. . . . . . . . . . . . . . . . . Copy
CTRL+X. . . . . . . . . . . . . . . . . Cut
CTRL+V. . . . . . . . . . . . . . . . . Paste
CTRL+Z. . . . . . . . . . . . . . . . . Undo
CTRL+B. . . . . . . . . . . . . . . . . Bold
CTRL+U. . . . . . . . . . . . . . . . . Underline
CTRL+I . . . . . . . . . . . . . . . . . Italic
F1 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Help
F2 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Rename selected object
F3 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Find all files
F4 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Opens file list drop-down in dialogs
F5 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Refresh current window
F6 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Shifts focus in Windows Explorer
F10 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Activates menu bar options
ALT+TAB . . . . . . . . . . . . . . . . Cycles between open applications
ALT+F4 . . . . . . . . . . . . . . . . . Quit program, close current window
ALT+F6 . . . . . . . . . . . . . . . . . Switch between current program windows
ALT+ENTER. . . . . . . . . . . . . . Opens properties dialog
ALT+SPACE . . . . . . . . . . . . . . System menu for current window
ALT+¢ . . . . . . . . . . . . . . . . . . opens drop-down lists in dialog boxes
BACKSPACE . . . . . . . . . . . . . Switch to parent folder
CTRL+ESC . . . . . . . . . . . . . . Opens Start menu
CTRL+ALT+DEL . . . . . . . . . . Opens task manager, reboots the computer
CTRL+TAB . . . . . . . . . . . . . . Move through property tabs
CTRL+SHIFT+DRAG . . . . . . . Create shortcut (also right-click, drag)
CTRL+DRAG . . . . . . . . . . . . . Copy File
ESC . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Cancel last function
SHIFT . . . . . . . . . . . . . . . . . . Press/hold SHIFT, insert CD-ROM to bypass auto-play
SHIFT+DRAG . . . . . . . . . . . . Move file
SHIFT+F10. . . . . . . . . . . . . . . Opens context menu (same as right-click)
SHIFT+DELETE . . . . . . . . . . . Full wipe delete (bypasses Recycle Bin)
ALT+underlined letter . . . . Opens the corresponding menu
PC Keyboard Shortcuts
Document Cursor Controls
HOME . . . . . . . . . . . . . . to beginning of line or far left of field or screen
END . . . . . . . . . . . . . . . . to end of line, or far right of field or screen
CTRL+HOME . . . . . . . . to the top
CTRL+END . . . . . . . . . . to the bottom
PAGE UP . . . . . . . . . . . . moves document or dialog box up one page
PAGE DOWN . . . . . . . . moves document or dialog down one page
ARROW KEYS . . . . . . . move focus in documents, dialogs, etc.
CTRL+ > . . . . . . . . . . . . next word
CTRL+SHIFT+ > . . . . . . selects word
Windows Explorer Tree Control
Numeric Keypad * . . . Expand all under current selection
Numeric Keypad + . . . Expands current selection
Numeric Keypad – . . . Collapses current selection
¦ . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Expand current selection or go to first child
‰ . . . . . . . . . . . . . . . . . . Collapse current selection or go to parent
Special Characters
‘ Opening single quote . . . alt 0145
’ Closing single quote . . . . alt 0146
“ Opening double quote . . . alt 0147
“ Closing double quote. . . . alt 0148
– En dash. . . . . . . . . . . . . . . alt 0150
— Em dash . . . . . . . . . . . . . . alt 0151
… Ellipsis. . . . . . . . . . . . . . . . alt 0133
• Bullet . . . . . . . . . . . . . . . . alt 0149
• ®️ Registration Mark . . . . . . . alt 0174
• ©️ Copyright . . . . . . . . . . . . . alt 0169
• ™️ Trademark . . . . . . . . . . . . alt 0153
• ° Degree symbol. . . . . . . . . alt 0176
• ¢ Cent sign . . . . . . . . . . . . . alt 0162
• 1⁄4 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . alt 0188
• 1⁄2 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . alt 0189
• 3⁄4 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . alt 0190
• PC Keyboard Shortcuts
• Creating unique images in a uniform world! Creating unique images in a uniform world!
• é . . . . . . . . . . . . . . . alt 0233
• É . . . . . . . . . . . . . . . alt 0201
• ñ . . . . . . . . . . . . . . . alt 0241
• ÷ . . . . . . . . . . . . . . . alt 0247
• File menu options in current program
• Alt + E Edit options in current program
• F1 Universal help (for all programs)
• Ctrl + A Select all text
• Ctrl + X Cut selected item
• Shift + Del Cut selected item
• Ctrl + C Copy selected item
• Ctrl + Ins Copy selected item
• Ctrl + V Paste
• Shift + Ins Paste
• Home Go to beginning of current line
• Ctrl + Home Go to beginning of document
• End Go to end of current line
• Ctrl + End Go to end of document
• Shift + Home Highlight from current position to beginning of line
• Shift + End Highlight from current position to end of line
• Ctrl + f Move one word to the left at a time
• Ctrl + g Move one word to the right at a time
• MICROSOFT®️ WINDOWS® SHORTCUT KEYS
• Alt + Tab Switch between open applications
• Alt +
• Shift + Tab
• Switch backwards between open
• applications
• Alt + Print
• Screen
• Create screen shot for current program
• Ctrl + Alt + Del Reboot/Windows®️ task manager
• Ctrl + Esc Bring up start menu
• Alt + Esc Switch between applications on taskbar
• F2 Rename selected icon
• F3 Start find from desktop
• F4 Open the drive selection when browsing
• F5 Refresh contents
• Alt + F4 Close current open program
• Ctrl + F4 Close window in program
• Ctrl + Plus
• Key
• Automatically adjust widths of all columns
• in Windows Explorer
• Alt + Enter Open properties window of selected icon
• or program
• Shift + F10 Simulate right-click on selected item
• Shift + Del Delete programs/files permanently
• Holding Shift
• During Bootup
• Boot safe mode or bypass system files
• Holding Shift
• During Bootup
• When putting in an audio CD, will prevent
• CD Player from playing
• WINKEY SHORTCUTS
• WINKEY + D Bring desktop to the top of other windows
• WINKEY + M Minimize all windows
• WINKEY +
• SHIFT + M
• Undo the minimize done by WINKEY + M
• and WINKEY + D
• WINKEY + E Open Microsoft Explorer
• WINKEY + Tab Cycle through open programs on taskbar
• WINKEY + F Display the Windows®️ Search/Find feature
• WINKEY +
• CTRL + F
• Display the search for computers window
• WINKEY + F1 Display the Microsoft®️ Windows®️ help
• WINKEY + R Open the run window
• WINKEY +
• Pause /Break
• Open the system properties window
• WINKEY + U Open utility manager
• WINKEY + L Lock the computer (Windows XP®️ & later)
• OUTLOOK®️ SHORTCUT KEYS
• Alt + S Send the email
• Ctrl + C Copy selected text
• Ctrl + X Cut selected text
• Ctrl + P Open print dialog box
• Ctrl + K Complete name/email typed in address bar
• Ctrl + B Bold highlighted selection
• Ctrl + I Italicize highlighted selection
• Ctrl + U Underline highlighted selection
• Ctrl + R Reply to an email
• Ctrl + F Forward an email
• Ctrl + N Create a new email
• Ctrl + Shift + A Create a new appointment to your calendar
• Ctrl + Shift + O Open the outbox
• Ctrl + Shift + I Open the inbox
• Ctrl + Shift + K Add a new task
• Ctrl + Shift + C Create a new contact
• Ctrl + Shift+ J Create a new journal entry
• WORD®️ SHORTCUT KEYS
• Ctrl + A Select all contents of the page
• Ctrl + B Bold highlighted selection
• Ctrl + C Copy selected text
• Ctrl + X Cut selected text
• Ctrl + N Open new/blank document
• Ctrl + O Open options
• Ctrl + P Open the print window
• Ctrl + F Open find box
• Ctrl + I Italicize highlighted selection
• Ctrl + K Insert link
• Ctrl + U Underline highlighted selection
• Ctrl + V Paste
• Ctrl + Y Redo the last action performed
• Ctrl + Z Undo last action
• Ctrl + G Find and replace options
• Ctrl + H Find and replace options
• Ctrl + J Justify paragraph alignment
• Ctrl + L Align selected text or line to the left
• Ctrl + Q Align selected paragraph to the left
• Ctrl + E Align selected
__________The End__________

REKODI ZA UBINGWA WA LIGI KUU TANZANIA TANGU 1965Ligi kuu Tanzania Bara rasmi ilianzishwa mwaka 1965 miaka minne baada y...
19/04/2022

REKODI ZA UBINGWA WA LIGI KUU TANZANIA TANGU 1965

Ligi kuu Tanzania Bara rasmi ilianzishwa mwaka 1965 miaka minne baada ya Uhuru wa Tanzania.
Yanga na Simba ndizo zilizo chukua ubingwa mara nyingi zaidi kuliko nyingene zote hapa Tanzania Bara.

Timu nyingine zilizochukua katika miaka 54 ya ligi kuu Bara ni pamoja na Coastal Union, Tukuyu Stars, Azam FC na Mtibwa Sugar.

Yanga ndiyo iliyochukua mara nyingi zaidi ubingwa huo ikifuatiwa kwa karibu na Simba ambayo zamani ilijulikana k**a Sunderland Sports Club. Yanga imechukua mara 27 Simba mara 22 mchuano ni mkali kweli kweli.

Hapa chini tumekuwekea orodha kamili ya historia ya ubingwa huo tangu mwaka 1965:

1965 Sunderland (Simba SC)
1966 Sunderland
1967 Cosmopolitan
1968 Young Africans
1969 Young Africans
1970 Young Africans
1971 Young Africans
1972 Young Africans
1973 Simba SC
1974 Young Africans
1975 Mseto SC
1976 Simba SC
1977 Simba SC
1978 Simba SC
1979 Simba SC
1980 Simba SC
1981 Young Africans
1982 Pan Africans
1983 Young Africans
1984 Simba SC
1985 Young Africans
1986 Tukuyu Stars
1987 Young Africans
1988 Coastal Union
1989 Young Africans
1990 Simba SC
1991 Young Africans
1992 Young Africans
1993 Young Africans
1994 Simba SC
1995 Simba SC
1996 Young Africans
1997 Young Africans
1998 Young Africans
1999 Mtibwa Sugar
2000 Mtibwa Sugar
2001 Simba SC
2002 Young Africans Sc
2003 Simba SC
2004 Simba SC
2005 Young Africans Sc
2006 Young Africans Sc
2007 Simba SC
2007-08 Young Africans Sc
2008-09 Young Africans Sc
2009-10 Simba SC
2010-11 Young Africans
2011-12 Simba SC
2012-13 Young Africans
2013-14 Azam FC
2014-15 Young Africans
2015-16 Young Africans
2016-17 Young Africans
2017-18 Simba SC
2018-19 Simba SC
2019-20 Simba SC
2020-21 Simba SC
2021-22 ???

Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika.1. Dar es Salaam Trilion 25.22. Mwanza Trilioni 10.953. Mbeya Trilion...
27/03/2022

Utajiri wa mikoa kwa kuangalia pato la mkoa husika.
1. Dar es Salaam Trilion 25.2
2. Mwanza Trilioni 10.95
3. Mbeya Trilioni 8.3
4. Shinyanga Trilioni 7.5
5. Morogoro Trilioni 7.1
6. Tanga Trilioni 6.96
7. Arusha T6.94
8. Geita T6.66
9. Kilimanjaro T6.62
10. Ruvuma Trilioni 5.6

MICHEZO ZIJUE SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU DUNIANIByRaheem.ZIFAHAMU SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU .1. UWANJAKwa kawaida uwa...
15/02/2022

MICHEZO ZIJUE SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU DUNIANI
ByRaheem.
ZIFAHAMU SHERIA 17 ZA MPIRA WA MIGUU .

1. UWANJA

Kwa kawaida uwanja wa mpira Wa miguu huwa na Urefu Wa mita 100 – 120 na Upana Wa mita 50 – 60 . Kwa kawaida Uwanja Wa mpira Wa miguu Una alama za mistari ambazo ni pamoja na

– Mstari mrefu pembeni mwa Uwanja Unaoashiria mwisho Wa Uwanja .

– Mstari mrefu Wa Katikati Unaogawa Uwanja katika pande 2 Zilizolingana .katikati ya Uwanja kuna mduara wenye nusu kipenyo cha mita 9.15.

– Mstari mrefu Upande Wa goli Unaoashiria mwisho Wa Uwanja upande Wa goli .

– Pia kuna nusu duara katika makutania ya Mstari Wa pembeni na Mstari Wa goli ambapo huitwa Kona .

2. MPIRA

Mpira Wa miguu unaweza kutengenezwa kwa kutumia Ngozi , plastiki , au makunzi mengine yanayofaa . Kwa kawaida mpira Wa miguu huwa na kipenyo cha sm 68 – 70 na Uzito Wa gramu 410 – 450 na Ujazo Wa 1.1 – 1.6 .

– Utofauti Wa Kipenyo na Uzito Wa mpira Wa miguu hutegemea Uwezo ama rika la mchezaji au watumiaji .

3. IDADI YA WACHEZAJI

Mpira Wa miguu huchezwa na wachezaji 22 maana ya wachezaji 11 Kwa kila timu , Wachezaji Wa akiba wanaoruhusiwa ni 7 na kati ya hao wanaoruhusiwa kucheza ni wachezaji watatu (3) tu .

Katika mashindano ambayo hayatambuliwi na FIFA Idadi ya wachezaji Wa akiba inategemeana na makubaliano ya timu 2 husika .

4. VIFAA VYA MICHEZO

Vifaa vya michezo ni muhimu katika mchezo Wa mpira Wa miguu , kwa kawaida mpira Wa miguu unahitaji vifaa k**a vile Sare ambazo hazifanani na timu pinzani wala mwamuzi Wa mchezo na walinda milango , Viatu , soksi , Kitambulisho/Kitambaa cha Unahodha , Filimbi , Daftari la kutunzia Kumbukumbu za mchezo , Saa , Kadi ya Njano na Nyekundu , Pia na Ubao Unaotumika kubadilishia wachezaji , Kibendera Kwaajili ya Waamuzi wasaidizi na Nyavu za magoli .

5. MWAMUZI

– Mwamuzi ndiye anayeongoza mchezo na Kutafsiri sheria wakati Wa mchezo .Hutoa maamuzi ndani ya Kipindi cha mchezo na kutoa taarifa ya mchezo husika .

– Ndiye msemaji au mwamuzi Wa mwisho Pale inapobainika kwamba Sheria ya mchezo imekiukwa kwa namna yeyote ili ikiwa ni pamoja na kutoa adhabu pindi mchezaji anapofanya Kosa ndani ya Uwanja .

6. WAAMUZI WASAIDIZI

Hawa ni Watendaji wengine wanaomsaidia mwamuzi Wa katikati wakati mchezo unaendelea .

– Humsaidia mwamuzi mkuu kuhusu matukio yanayotendeka nje na ndani ya Uwanja .

– Idadi ya waamuzi wasaidizi Hutegemea mashindano au mchezo husika , Waamuzi hao hutambulika k**a washika vibendera Namba 1&2 na Kamisaa Wa mchezo anayetunza kumbu kumbu . Pia mashindano mengine huruhusu waamuzi wakae nyuma ya goli mfano UEFA CHAMPIONS LEAGUE .

7. MUDA

Kwa kawaida mpira Wa miguu huchezwa kwa dakika 90′ katika Vipindi 2 Yaani dk 45′ Kwa kila kipindi , Baada ya dakika 45 za kipindi cha kwanza cha mchezo mchezo husimama ( mapumziko) kwa muda Usiopungua dk 10 na Usiozidi 15 .

Pia , K**a muda Wa nyongeza dk 30′ Utaongezwa kwa Lengo la kumpata mshindi , timu zitapumzika kwa dk 5′ tu baada ya dk 15′ Wa kipindi cha kwanza katika dk 30 za nyongeza ( Extra time ) na kipenyo kisha kubadilishana magoli tayari kwa kumalizia kipindi cha 2 . Ila muda waweza kupunguzwa kwa makubaliano ya timu husika .

8. KUANZA NA KUANZISHWA TENA MCHEZO

Mpira huanzishwa kwa timu 1 kucheza mpira baada ya mwamuzi kuruhusu mchezo kuanza .

– Mchezo huanzishwa tena baada ya goli kufungwa na baada ya kosa kutendeka na mwamuzi akapuliza Filimbi au k**a mpira ukatoka nje au mchezaji kuumia N.K

9. MPIRA KUWA NJE NA NDANI YA UWANJA

Mpira Utakuwa nje ya mchezo k**a mpira Utatoka nje ya Uwanja na pia baada ya goli kufungwa .

Na pia , mpira Utakuwa ndani ya mchezo k**a uko ndani ya Uwanja na Unaendelea Kuchezwa .

10. NAMNA YA KUFUNGA GOLI

Katika mchezo Wa mpira Wa miguu , goli litahesabiwa k**a mpira utavuka Mstari wa goli na kuingia katika eneo la wavu kwa Kufungwa au Kujifunga .

Pia goli litahesabiwa k**a mpira Litavuka Mstari chini ya Uwanja au Ukiwa hewani na Likaonekana Ukavuka Mstari Wa goli .

11. KUOTEA

KUOTEA Ni kitendo cha mchezaji kuzidi au kupokea mpira akiwa mbele ya wachezaji wote Wa timu pinzani na akiwa ndani ya Eneo la timu pinzani .

– Mchezaji anaweza akawa katika nafasi ya kuotea lakini asitafsiriwe k**a ameotea k**a Hajajishughulisha kabisa na mpira .

– Dhana ya kuotea hutegemea mambo matatu muhimu ambayo ni Nafasi , kucheza na Kutoa .

– Pia mchezaji hatakuwa ameotea ikiwa walinzi Wa timu pinzani Watamkimbia au kutojishughulisha kabisa pale mchezaji Wa timu pinzani atakapo pokea mpira na kufunga goli .

– Mchezaji Hatatafsiriwa k**a ameotea akiwa amepasiwa na mchezaji wa timu pinzani kwa Kujua au Kutojua .

– pia , Ikiwa mchezaji yuko katika nafasi ya kuotea na mwenzake mwenye mpira akapiga mpira golini moja kwa moja bila kumpasia mpira huyo aliyeko katika nafasi ya kuotoa na kufunga goli , hapo mwamuzi attaruhusu goli bila kutafsiri Kuotea .

– Mchezaji atakuwa ameotea Iwapo mpira Utapigwa golini Ukagonga mlingoti mojawapo Wa goli au mlinda mlango na kurudi ndani ya Uwanja na kuguswa na mchezaji aliyekuwa katika nafasi ya Kuotea .

– Aidha , Hakutakuwa na dhana ya kuotea pale mchezaji atakapokutana na mpira Uliochezwa na mlinda mlango .

– Mpira Wa kurushwa Hauna kuotea , Pia mchezaji hatakuwa ameotea endapo atapokea mpira katika eneo lake kabla hajavuka Mstari Wa katikati ya Uwanja .

12. MAKOSA YA UTOVU WA NIDHAMU

Ni kutenda jambo ambalo lililo nje ya kanuni za kimchezo Wa mpira Wa miguu au kuonyesha tukio lisilo la Kiungwana pale mchezaji anapokuwa nje au ndani ya Uwanja .

Makosa atendayo mchezaji anaweza kuonywa kwa kadi ya Njano au Nyekundu na kutolewa nje ya Uwanja . kwa kawaida makosa yanayoonywa kwa kadi ya manjano ni k**a Vile kushika na Kuunawa mpira bila kukusudia , Kumsukuma mchezaji Wa timu pinzani katika hali ya kutaka kuchukua mpira , Kupoteza muda , Kumvuta au kumshika mchezaji Wa timu pinzani wakiwa katika hali ya kucheza mpira .

Makosa ya kadi nyekundu ni k**a vile , Kutukana , Kupigana , Kucheza rafu kwa nyuma , Kukaba kwa nguvu kwa kunyoosha miguu mmoja au yote miwili mbele wakati mchezaji mwingine anataka kupokea mpira au kucheza N.K

Kwa mujibu Wa sheria hii

– Mchezaji atakayeonyeshwa kadivnyekundu ya moja kwa moja atakosa mechi 3

– Mchezaji atakayeonywa kwa kadi ya njano 2 katika mchezo mmoja atatolewa kwa kadi nyekundu na kukosa mchezo 1 .

– Mchezaji akionyeshwa kadi za njano katika michezo 5 ndani la Ligi 1 au mashindano atakosa mechi 1 , kadi 10 atakosa michezo 2 na kadi 15 atakosa michezo 3 .

– Endapo mchezaji atafikisha kadi za njano 20 katika msimu mmoja , basi k**ati ya maadili ya wachezaji itakaa na kuamua adhabu kwa mchezaji huyo .

13. PIGO HURU

Ni hali ya mwamuzi Wa michezo kuamuru mpira upigwe kuelekea upande Wa timu ya mtenda makosa .

– Wakati mpira Unapigwa golini , Wachezaji wengine wanatakiwa kuwa katika Umbali Usiopungua mita 9.15 au hatua zisizopungua 10 kutoka pale mpira Ulipo .

14 . PIGO LA PENATI

Ni kitendo cha mpira kutengwa kwenye Kisanduku cha meta 12 kutoka goli .Pigo la penati linawahusisha wachezaji wawili tu , mpigaji na mlinda mlango na wachezaji wengine wrote wanatakiwa kuwa nje ya 18 .

Kuna aina 2 za pigo la penati ambazo ni , Penati ndani ya muda Wa mchezo yaani ndani ya dk 90′ na pigo la penati baada ya muda Wa mchezo ambalo linalenga kutafuta mshindi Wa mchezo Mara baada ya timu zote kutoshana nguvu ndani ya dakika za mchezo.

Mpiga penati ndani ya muda Wa mchezo hufanya mambo mawili ambayo ni Kupiga mpira golini 1 kwa 1 au kumtengea mwenzake aliye nje ya 18 ….mfano mzuri ni Lionel messi na Luis Suarez msimu Wa 2015/2016

– Mpigaji Wa penati anaruhusiwa kuucheza tena mpira uliorudi ndani ya Uwanja baada ya mlinda mlango kuucheza na hatoruhusiwa kuucheza endaoo Utagonga mlingoti na kurudi Uwanjani .

15. MPIRA WA KURUSHA

Hutokea pale ambapo timu pinzani watakapokuwa wameutoa .

Hauhusiani na GoaL Kick , na Utarushwa kuelekea katika Lango la aliyeutoa .

16 . PIGO LA GOLI

Hiii ni GoaL Kiki , Hutokea endapo timu shambulizi ikatoa au kupaisha Juu au pembeni ya Lango shambuliwa .

17. PIGO LA KONA

Baada ya timu shambuliwa kutoa katika Mstari Wa goli alishi , timu shambulia hupewa nafasi ya Kupiga Pigo la kona katika timu pinzani ( shambuliwa ) .

Katika upigaji Wa kona mchezaji anaweza kupiga moja kwa moja au kuanza kwa Kupasia .

mbao za kupaulia
10/02/2022

mbao za kupaulia

mbao safi
10/02/2022

mbao safi

nyumba ya kisasa
25/01/2022

nyumba ya kisasa

28/12/2021
piga paa zuri na mbao zetu
25/11/2021

piga paa zuri na mbao zetu

Address

Njombe Mjini
Njombe
1234

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chriss Kyenda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chriss Kyenda:

Share