28/12/2019
MBINU ZA MAFANIKIO , usipende Kuweka siri ya mipango yako hadhalani, usiwe mbinafsi, uwe unathamini kila thamani ya mtu, uwe mpenda ushauri, n.k. namna ya kuwekeza mtaji_ wekeza mtaji kwenye Mali endelevu, usipende kufanya maamuzi ukiwa na hasira, shirikiana vizuri na jamii, n.k kuwekeza rasilimali bila hasara ,eneo lisiwe na wizi, weka bidhaa ambazo wateja wanazohitaji, uwe na lugha nzuri kwa kila rika n.k. namna ya kufanya mtaji ukuwe kwa kasi ,punguza matumizi yasiyokuwa na ulazima , usikate tamaa, usiwaamini sana marafiki, n.k tujuzane kielimu.