Kipege Electronics

Kipege Electronics Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kipege Electronics, Business service, Njombe.

28/04/2017

"Ukiwa na hekima +ufahamu,biashara yako ni bora kuliko biashara ya fedha na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi"

05/12/2016

Karibu kwa duka jipatie simu ya kijanja kwa bei poa msimu huu wa sikuku

05/12/2016
Jipatie simu za kijanja Kipege mobile shop
05/12/2016

Jipatie simu za kijanja Kipege mobile shop

C8
12/05/2016

C8

PATA SIMU ORG NA YA VIWANGO FIKA KIPEGE ELECTRONICS ~~~NJOMBE
12/04/2016

PATA SIMU ORG NA YA VIWANGO FIKA KIPEGE ELECTRONICS ~~~NJOMBE

12/04/2016

PATA SIMU ORG NA YA VIWANGO KWA KIPEGE ELECTRONICS ~~~NJOMBE

Je unajua Jinsi Ya Kutambua Simu Feki?Soma hapa hizi njia 10 uelewe

1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii * #06 #, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua.
2. Ukishaandika itaonyesha namba ya pekee (serial number) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) ambayo ni lazima ziwe tarakimu 15 au zaidi na ni lazima ianze na 35.
3. Angalia kwa makini k**a namba unazoziona zinafanana moja kwa moja na namba zilizoandikwa katika simu yako kwenye sehemu ambayo betri inakaa. Namba hizi zinapaswa kufanana kwa simu ambayo ni halisi. K**a hazifananani simu hiyo ni feki.
4. Tuma namba ya pekee (IMEI) kwenda namba 15090 na utapokea ujumbe mfupi unaoelezea k**a simu yako ni orijino au feki.

KUJUA UBORA WA SIMU
1. Katika namba hizo namba ya sasa (7) na ya nane (8) ndizo zinazohakikisha ubora wa simu yako.
2. K**a namba ya saba na ya nane ni 00 ina maana kuwa simu yako imetengenezwa kwa ubora wa juu kabisa katika viwanda vya kuaminika.
3. K**a namba ya saba na ya nane ni 01 au 10 ina maana simu yako imetengenezwa Finland na ina ubora wa juu pia.
4. K**a namba ya saba na ya nane ni 13 ina maana simu yako imeunganishwa katika nchi za Azerbaijan na ni hatari kwa matumizi ya afya yako.
5. K**a namba ya saba na ya nane ni 02 au 20 ina maana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Emirates na ina kiwango cha chini, lakini siyo feki.
6. Kana namba ya saba na ya nane ni kati ya 03 au 30 au 04 au 40 ina maana simu yako imentengenezwa China, lakini ina ubora mzuri ila haijafikia zile zenye 00, 01 au 10.
7. K**a namba yako ya saba na ya nane ni 05 au 50 ina maana simu yako imetengenezwa labda Brazil au USA ama Finland.
8. K**a namba ya saba na ya nane ni 06 au 60, simu yako imetengenezwa Hong Kong, China au Mexico.
9. K**a namba ya saba na ya nane ni 08 au 80, simu yako imetengenezwa Ujerumani na ina ubora wa kawaida.

02/10/2015

USIKATE TAMAA HATAKAMA WANAO KUKATISHA TAMAA NI WENGI.

Karibu nikuhudumie
13/06/2015

Karibu nikuhudumie

26/01/2015

jipatie Tecn H6,H5,P5,P6,P7 TECNO 635,340,605,420 Kwa bei poa kabisaa..!!!!!!

Address

Njombe
578NJOMBE

Telephone

+255713353655

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kipege Electronics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share