Priscus shirima

Priscus shirima Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Priscus shirima, Business service, 7849, Old Moshi.

With School of Trade – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers! 🎉
24/10/2024

With School of Trade – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers! 🎉

15/12/2022

JUMAPILI YA KISIMA CHA MIUJIZA
Tumepata neema jumapili hii hapa kanisa la ECG Kilimanjaro kdc,tutakuwa na Ibada maalum,ambapo wagonjwa wote wa matatizo mbali mbali watapita ndani ya maji na magonjwa yao yataondoka na watapokea uzima.
Kwa maana kuna wakati ambapo malaika hushuka, akaingia katika ile birika, akayatibua maji. Basi yeye aliyeingia wa kwanza baada ya maji kutibuliwa, akapona ugonjwa wote uliokuwa umempata.]
Yohana 5:4

Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka huu,usikubali kuvuka mwaka mpya na mateso yako au ugonjwa huo,kumbuka maombi haya yatakuwa ya watu wa dini zote,kama una ndugu au jamaa yako mwenye ugonjwa wowote hakikisha unakuja naye hapa kanisani maana BWANA amemkumbuka na kuyaangalia mateso yako,na Bwana anasema YATOSHA SASA!

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
Apostle Mtalemwa Bushiri
Boneka Boneka
ECG The Jesus Nation Church Tanzania

Katika Maisha jitahidi sana kujadili Matukio na sio Watu! 🙏
04/10/2021

Katika Maisha jitahidi sana kujadili Matukio na sio Watu! 🙏

03/10/2021

Kinder Vibe 😋😍😍

Sikia dada Nina BUKU TANO tu hapa embu fanya kweli bhasi mida yenyewe imeenda hii ðŸĪŠ BARGAINING VERSION. Mambo ni ðŸ”ĨðŸ”ĨðŸĪĢðŸĪĢ
03/10/2021

Sikia dada Nina BUKU TANO tu hapa embu fanya kweli bhasi mida yenyewe imeenda hii ðŸĪŠ BARGAINING VERSION. Mambo ni ðŸ”ĨðŸ”ĨðŸĪĢðŸĪĢ

01/10/2021

Eskimo Kiss 💙

MSIMAMO wa ligi kuu Tanzania ðŸ‡đðŸ‡ŋ bara baada ya Mechi Za mzunguko wa kwanza. Am still love Simba one day tutakuwa 🔝
01/10/2021

MSIMAMO wa ligi kuu Tanzania ðŸ‡đðŸ‡ŋ bara baada ya Mechi Za mzunguko wa kwanza. Am still love Simba one day tutakuwa 🔝

Maisha ni MENU kubwa sana chagua unachotaka lakin usisahau mhudumu wako ni MUDA .
24/09/2021

Maisha ni MENU kubwa sana chagua unachotaka lakin usisahau mhudumu wako ni MUDA .

Waalimu hawapendi kuambiwa Ualimu ni wito!! ðŸĪĢðŸĪĢ
23/09/2021

Waalimu hawapendi kuambiwa Ualimu ni wito!! ðŸĪĢðŸĪĢ

🙏🙏
22/08/2019

🙏🙏

My God be with u my Son.
20/08/2019

My God be with u my Son.

Address

7849
Old Moshi

Telephone

+255783419116

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Priscus shirima posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Priscus shirima:

Share