CHIRAGWILE AGROBASE AND CONSULTANCY - C.A.C

CHIRAGWILE AGROBASE AND CONSULTANCY - C.A.C C.A.C is a Agro based firm,based on Consultation and Agricultural inputs,equipments and service
You are Welcome

TUNATOA HUDUMA ZA USHAURI WA KITAALAMU,MAFUNZO NDANI YA SEKTA YA KILIMO NA UJASIRIAMALI KWA UJUMLA PAMOJA NA KUUZA PEMBEJEO KUTOKA KWA WAZALISHAJI TOFAUTI POPOTE ULIPO MDAU MWENZETU

Tangazo Kwa Wakulima wa Eneo HusikaMATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA MALI SHAMBANI
04/02/2026

Tangazo Kwa Wakulima wa Eneo Husika
MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA
MALI SHAMBANI

Habari kwa MkulimaMbegu za Mahindi kutoka Kampuni ya BAYER zile za Dekalb aina zote za DK kwa kila kanda,sasa zinapatika...
31/01/2026

Habari kwa Mkulima
Mbegu za Mahindi kutoka Kampuni ya BAYER zile za Dekalb aina zote za DK kwa kila kanda,sasa zinapatikana maeneo yote ya wauzaji wa Pembejeo waliosajiliwa na watauza kwa mfumo ule ule wa Ruzuku.

Changamoto za uhaba wawakilishi wametujulisha zimetatuliwa.

Anza kujipanga kwa msimu ulio karibu kwa ukanda wako
Kuandaa shamba mapema ndio ujanja kwa malengo timilivu

Jiandae Mapema, wakati ni SasaMsimu wa Mvua za Masika tunausubiri tukiwa tumejiandaa vema
22/01/2026

Jiandae Mapema, wakati ni Sasa
Msimu wa Mvua za Masika tunausubiri tukiwa tumejiandaa vema

21/01/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Cevoreen Charles, Moses Magulu, Rebeka Kidulile

Baada ya mifumo mingine ya Umwagiliaji ya kawaida ikiwemo Umwagiliaji wa Matone,hivi karibuni kuna huu mpyaFlat Hose yen...
15/01/2026

Baada ya mifumo mingine ya Umwagiliaji ya kawaida ikiwemo Umwagiliaji wa Matone,hivi karibuni kuna huu mpya
Flat Hose yenye matundu yenye umbali tofauti
Inapatikana Maduka ya vifaa vya Pembejeo na umwagiliaji
Ni nzuri ikiwa una chanzo kizuri cha maji kwakuwa inamwagilia eneo kubwa kwa wakati mmoja

12/01/2026
Karibuni wateja wa nguvu kwa nguvu mpya ya 2026Heri ya Mwaka mpya na ulio mwema Kwenu
31/12/2025

Karibuni wateja wa nguvu kwa nguvu mpya ya 2026
Heri ya Mwaka mpya na ulio mwema Kwenu

Unapohitaji kumtibu mfugo wako wasiliana na Mtaalamu aliyepo karibu nawe Kwa manufaa ya Mzalishaji na MlajiUsitumie Dawa...
28/09/2024

Unapohitaji kumtibu mfugo wako wasiliana na Mtaalamu aliyepo karibu nawe Kwa manufaa ya Mzalishaji na Mlaji
Usitumie Dawa maalumu Kwa matumizi ya binadamu kumtibu mfugo wako
Athari inaenda Hadi Kwa Mlaji ikiwemo kutengeneza Usugu dhidi ya dawa na Magonjwa mbalimbali
Mlinde jirani yako, ilinde jamii na kizazi chako

Ni Msimu Wa KilimoTujitahidi........Mvua IPOKaribu Kwa Ushauri
09/04/2024

Ni Msimu Wa Kilimo
Tujitahidi........Mvua IPO
Karibu Kwa Ushauri

Address

Pangani Stand/sokoni
Pangani

Opening Hours

Monday 07:30 - 18:30
Tuesday 07:30 - 18:30
Wednesday 07:30 - 18:30
Thursday 07:30 - 18:30
Friday 07:30 - 18:30
Sunday 07:30 - 18:30

Telephone

+255655440970

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CHIRAGWILE AGROBASE AND CONSULTANCY - C.A.C posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CHIRAGWILE AGROBASE AND CONSULTANCY - C.A.C:

Share

Huduma Zetu/Our Service

TUNATOA HUDUMA ZA USHAURI WA KITAALAMU/TECHNICAL CONSULTATION

HUDUMA YA AFYA ZA MIMEA AU MAZAO/PLANT HEALTH SERVICE

HUDUMA YA AFYA YA MIFUGO/ANIMAL HEALTH SERVICE

UHAMILISHAJI/UPADISHAJI KWA CHUPA /ARTIFICIAL INSEMINATION