Maxirotz

Maxirotz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maxirotz, Business service, Sanya Juu.

"R.I.P" Boniphas makusiro... Raha ya milele umpe ee bwana😭😭
28/01/2023

"R.I.P" Boniphas makusiro... Raha ya milele umpe ee bwana😭😭

23/09/2021

UJUMBE WA LEO:

UKIFA USIWE NA WASIWASI

Usiwe na wasiwasi wala usijali kuusu mwili wako kwani wapo watakao fanya yanayowazimu:

⚠Watakuvua nguo zako
⚠Watakuosha
⚠watakutoa nyumbani kwako wakupeleke maskani yako mpya.... (kaburini)......!!!

Watakuja wengi kusindikiza jeneza lako, bali wengi wataakhirisha kazi zao kwa ajili ya kukuzika, na huenda wengi hawakufikiria hata kukunasihi siku moja ............

Vitu vyako vitatolewa:

Funguo zako

Vitabu vyako

Mkoba wako

Viatu vyako

Nguo zako

Na watu wako wakiafikiwa watavitoa sadaka vikufae..

Na jua hakika kuwa :

Dunia haitakuhuzunikia!

Wala ulimwengu

na uchumi utaendelea

Kazi yako atakuja mwengine kuifanya.......

Mali yako yatakuwa ni halali ya warathi....! Na huku wewe ndiye utakaye hesabiwa kwa kidogo na kingi.!

Watakao kuhuzunikia ni watu aina :3

1. Watu wanaokujua juu juu watasema maskini

2. Marafiki zako watahuzunika masaa au masiku kisha watarudia mazungumzo yao na vicheko vyao....!!

3.Huzuni sana ni nyumbani! Watu wako?wiki, wiki mbili, mwezi, miezi miwili au hata mwaka...!!

Kishawatakuweka kwenye kumbukumbu !!

Namna hii "stori yako imekwisha baina ya watu" na kimeanza kisa chako na ukweli ambao ni akhera !!

Huna tena nguvu, mali, wala siha na watoto
Umeacha nyumba na makasri na mke/mume !!

Yakaanza maisha ya kweli

Na suali..⁉

Uliliandalia nini kaburi lako na akhera yako? Ukweli unaohitaji zingatio

Jitahidi kwa kutekeleza:
faradhi.....

Sunna......

Sadaka kwa siri......

Amali njema ya siri....

Sala ya usiku.....
ili uokoke

Na usisahau maneno ya Allah (swt): ((Kumbusha kwani ukumbusho unawafaa waumini)).

MWENYEZI MUNGU TUJAALIE MWISHO MWEMA

IMETAYARISHWA NA
🌿SANYAATV🌿

01/04/2021
😂😂😂
01/04/2021

😂😂😂

20/03/2021

Pumzika kwa amani 😒

 💕💕
28/12/2020

💕💕

SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA1. Wakarimu2. Waaminifu3 . Wavumilivu4. Wachapakazi5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌Nani ...
22/02/2020

SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA
1. Wakarimu
2. Waaminifu
3 . Wavumilivu
4. Wachapakazi
5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌

Nani anabisha ? 😁ajifanye k**a anajikuna😁😁😁😁😁Z
-
-
-
-👉je unatangazo?
👉nicheki watsapp nitalipost hapa
👉+255768280336

@ MIUJIZA BADO INAENDELEAA...!!!!.....Ikiwa bado KUNDI LA WANAWAKE wengi wakitahabika kiiimani kwa kusaka **WACHUNGAJI W...
19/02/2020

@ MIUJIZA BADO INAENDELEAA...!!!!.....
Ikiwa bado KUNDI LA WANAWAKE wengi wakitahabika kiiimani kwa kusaka **WACHUNGAJI WENYE MIUJIZAA** :mala kwenye mafuta ya upako::mala kwa nabii PANYA mpekuzi::: mala kwa mtume radiii:: na mitume chungu mzimaaa...!!!!....
MAXIRO ONLINE katika pekua pekua yake, akafanikiwa kukutana na PICHA ya MCHUNGAJI huyoo iliyovuja akiwa ANAWAOMBEA WANAWAKE WASIO FANIKIWA KUPATA MIMBA PIA WENYE GUNDU LA KUKOSA WANAUME WA KUWAOAA...!!!!...
mpaka sasa aijajulikana kua n mchungaji WA kanisa gani,kwani chanzo kamili cha nani kaivujisha HAIKUJULIKANA....
POINT ya msingi nayotaka KUJUA TOKA KWAKO NDUGU MSOMAJI👉👉**kwa mfano ungekuta ndugu yako au mkeo anafanyiwa maombi hayo Ungechukua maamuzi gani...??

Address

Sanya Juu

Telephone

+255768280336

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maxirotz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share