Mr kindole dsm.

Mr kindole dsm. Biashara na michezo. mpira ni ajila jiajili mwenyewe.

Kumfikia huyu kiumbe tufanye kazi kubwa maana sijaona mwingine tena hata wakufananisha nae hakuna .com
12/06/2020

Kumfikia huyu kiumbe tufanye kazi kubwa maana sijaona mwingine tena hata wakufananisha nae hakuna .com

Mtibwa sugar 1 simba 0 dk, 38com
13/01/2020

Mtibwa sugar 1 simba 0
dk, 38com

Leo ni fainal mapinduzi cup kati ya mtibwa sugar dhidi ya simba hapatoshi leo uwanja wa amani zanzibary Utabili wako nan...
13/01/2020

Leo ni fainal mapinduzi cup kati ya mtibwa sugar dhidi ya simba hapatoshi leo uwanja wa amani zanzibary

Utabili wako nani atakuwa bingwa
huku mtibwa wakiwa na k**a mwenyejicom

Hf, nusu fainali ya pili azam na simba Hakuna mbabe hadi sasacom
10/01/2020

Hf, nusu fainali ya pili azam na simba
Hakuna mbabe hadi sasacom

Leo hapatoshi nusu fainali ya pili inawakutanisha azam dhidi ya simba katika uwanja wa amani huko zanzibar baada ya nusu...
10/01/2020

Leo hapatoshi nusu fainali ya pili inawakutanisha azam dhidi ya simba katika uwanja wa amani huko zanzibar baada ya nusu fainali ya kwanza yanga kutupwa nje na mtibwa sugar na kutinga fainali, mechi ni saa mbili usikucom

  musimamo baada ya mechi za leo
08/01/2020

musimamo baada ya mechi za leo

Erasto Edward nyoni huyu jamaa anamchango mkubwa sana kwenye timu ya taifa ya tanzania ila watu wanamsahau wanayaona mat...
22/11/2019

Erasto Edward nyoni huyu jamaa anamchango mkubwa sana kwenye timu ya taifa ya tanzania ila watu wanamsahau wanayaona matatizo tu

Taifa stars bila Erasto nyoni na mkude tunawalaumu wanaofanya vizuri tumesahau mapenge ya hawa watu mhimu kuliko unavyo fikili

Huwezi ukamlaumu samatta kwenye makosa ya mabeki hiyo haipo samatta siyo beki ni forward akosekane Erasto umlaumu samatta inakuja hiyo tuwe wafatiliaji basi siya kukulupuka tu coment ya moyoni. cm

  imelipotiwa kuwa mabingwa wa tanzania, simba sport klabu wapo kwenye mazungumuzo na mshambuliaji hatari kutoka katika ...
21/11/2019

imelipotiwa kuwa mabingwa wa tanzania, simba sport klabu wapo kwenye mazungumuzo na mshambuliaji hatari kutoka katika klabu ya super sport united ya africa kusini mshambuliaji huyo anajulikana kwajina la luke fleurscom

Nahodha wa timu ya taifa ya tanzania mbwana ally samatta Baada ya kutoonyesha kiwango kizuri katika timu ya taifa binafs...
21/11/2019

Nahodha wa timu ya taifa ya tanzania mbwana ally samatta Baada ya kutoonyesha kiwango kizuri katika timu ya taifa binafsi nimeflahishwa na majibu yake kajibu vizuri kabisa kasema amechukulia k**a chachu itakayomfanya ajitume

Wakati hapo angekuwa mtu mwingine angetoa povu la kutosha lakine nahodha kajibu kiungwana kabisa angekuwa mwingine angechukua maamzi magumu na maneno makali nimpongeze tu samatta kwa maneno ya busala.com

Full TimeZanzibar 0-7 Tanzania bara⚽⚽ Donisia minja 26', 55"⚽ Diana msewa 31',⚽philemona daniel 69',⚽⚽ Asha mwalala 84',...
20/11/2019

Full Time
Zanzibar 0-7 Tanzania bara
⚽⚽ Donisia minja 26', 55"
⚽ Diana msewa 31',
⚽philemona daniel 69',
⚽⚽ Asha mwalala 84', 86',
⚽ Anastazia Anthon 90
. com

Address

Tandika
Sea View

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr kindole dsm. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share